Kwapa

Mimi sijui nina nini tu na kwapa la mwanamke. Huwaga nikiona mwanamke kavaa nguo (gauni, blauzi, n.k.) ambayo haina mikono (sleeveless) lazima nitajitahidi kumwangalia kwenye kwapa lake. Yaani nitafanya kila niwezalo ili nilione. Nitageuka, nitajifanya nimeangusha kitu kwa hiyo nitainama n.k.
Akinyanyua mikono ndio kabisa nashindwa kujiuzia. Lazima nipige chabo.

Je kuna ukweli wowote kuhusu ile nadharia ya kwapa? Kwamba harufu fulani na mwonekano wake vinatoa kemikali ambazo humvutia mwanaume?

NN jamani...
 
Ukipata mwenza mwenye harufu nzuri ya kwapa,ukinusa kidogo tu uko tayari kwa sarakasi,ina raha yake tuko pamoja NN.
 
daaaaaaa hivi ni vituko Nyani Ngabu vip bado unaendelea na tabia hiyooo
 
Mimi sijui nina nini tu na kwapa la mwanamke. Huwaga nikiona mwanamke kavaa nguo (gauni, blauzi, n.k.) ambayo haina mikono (sleeveless) lazima nitajitahidi kumwangalia kwenye kwapa lake. Yaani nitafanya kila niwezalo ili nilione. Nitageuka, nitajifanya nimeangusha kitu kwa hiyo nitainama n.k.
Akinyanyua mikono ndio kabisa nashindwa kujiuzia. Lazima nipige chabo.

Je kuna ukweli wowote kuhusu ile nadharia ya kwapa? Kwamba harufu fulani na mwonekano wake vinatoa kemikali ambazo humvutia mwanaume?

armpit-smell.jpg

that is nonsense in its maximum review
 
Umeshakutana na kwapa lina rangi ya rainbow?

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Mimi sijui nina nini tu na kwapa la mwanamke. Huwaga nikiona mwanamke kavaa nguo (gauni, blauzi, n.k.) ambayo haina mikono (sleeveless) lazima nitajitahidi kumwangalia kwenye kwapa lake. Yaani nitafanya kila niwezalo ili nilione. Nitageuka, nitajifanya nimeangusha kitu kwa hiyo nitainama n.k.
Akinyanyua mikono ndio kabisa nashindwa kujiuzia. Lazima nipige chabo.

Je kuna ukweli wowote kuhusu ile nadharia ya kwapa? Kwamba harufu fulani na mwonekano wake vinatoa kemikali ambazo humvutia mwanaume?

armpit-smell.jpg

Bado nachunguza ukweli wenyewe ila kwa kuanza tu, ngoja nianze na hawa nione unapagawa kivipi, kisha naomba unipe a true feedback ili nijuwe nianzie wapi.
hairy-armpits.jpg

s-EMER-O-TOOLE-large640.jpg
Naomba uniambie unajisikiaje baada ya kuona hizo nywele. Umepata stimu yeyote?
 
Mhhhhhh!!! hahahahahah lol!!!! Nimecheka kwa kukupiga picha ukiwa busy baada ya kumuona mdada kavaa sleeveless kutaka "kumchungulia" kwapa lake hahahahahah :):):)Kuhusu jasho halisi ya mdada ambayo haijachanganyika na perfume kupendwa sana na Wanaume walio wengi hilo ni kweli kabisa. Yaani kuna jasho lingine ukilisikia harufu yake basi huweza kuamsha hisia kali sana na hata kutaka kujirusha naye sehemu za faragha.

Mimi sijui nina nini tu na kwapa la mwanamke. Huwaga nikiona mwanamke kavaa nguo (gauni, blauzi, n.k.) ambayo haina mikono (sleeveless) lazima nitajitahidi kumwangalia kwenye kwapa lake. Yaani nitafanya kila niwezalo ili nilione. Nitageuka, nitajifanya nimeangusha kitu kwa hiyo nitainama n.k.
Akinyanyua mikono ndio kabisa nashindwa kujiuzia. Lazima nipige chabo.

Je kuna ukweli wowote kuhusu ile nadharia ya kwapa? Kwamba harufu fulani na mwonekano wake vinatoa kemikali ambazo humvutia mwanaume?

armpit-smell.jpg
 
Mhhhhhh!!! hahahahahah lol!!!! Nimecheka kwa kukupiga picha ukiwa busy baada ya kumuona mdada kavaa sleeveless kutaka "kumchungulia" kwapa lake hahahahahah :):):)Kuhusu jasho halisi ya mdada ambayo haijachanganyika na perfume kupendwa sana na Wanaume walio wengi hilo ni kweli kabisa. Yaani kuna jasho lingine ukilisikia harufu yake basi huweza kuamsha hisia kali sana na hata kutaka kujirusha naye sehemu za faragha.

Salama wewe BAK? Long time usipotee that much
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom