Kwaninini kila nikimutongoza mwanamke lazima watangulize pesa

Kwaninini kila nikimutongoza mwanamke lazima watangulize pesa

Kwema wanajf nashindwa kuelewa hivi vitu kwa wanawake wa sasa
1. Wengi wanatazama material things kama magari, uchawi wao ni magari yaan ukiwa na nyumba labda uibebe kichwani waone uko na nyumba au kiwanja/shamba.

2. Wengi wanatanguliza pesa sana yaani nimejaribu kwa madada wengi afu hii mi naona ni kero mfano unachukua namba unachat naye first time ashaanza unasikia samahani naomba nitumie sh. 30000 au sijui nirushie sh.5000 ya bando.

Kiukweli hii kitu inakera no upendo hapa hata kama nina iyo pesa.

3. Hili swala linaniface sana hadi naona amna haja ya mahusiano bora ubaki pekee yako kuliko kero za hivi.

Mi nachukulia seriously relationship afu nakuta hii kitu first time tu mizinga kibao kuombana ombana.

Au tuassume wanawake wa sasa amna aliye serious umalaya tu ndio unatrend,
maana mapenzi ya sasa yamekuwa ni utapeli au biashara fulani ya gambling kamari.
Hata kama utalipa pesa upewe penzi bado amna mapenzi hapo ni uhuni lakini naona wanaume ndio tunaonyanyaswa.

Pengine mimi binafsi nasemaga kama lady atanifuata kwa pesa atakuwa amejiharibia sana.
Au mkichati akianza tu kukutumia picha zake za uchi, ujue Saa 1 baadaye atakwambia nataka nikasuke, nirushie 50 chap
 
Nimeona tu huu uzi nimekumbuka natakiwa nitume vocha


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Vocha, saloon ni vitu wanaume tunatoa kwa moyo tena ushukuru wanakupiga mizinga ya huruma mkuu, subiri uletewe ile ya Mama anaumwa nitumie 100k utaisoma namba. Mapenzi ni kama Wali, pesa ni kama maharage, tatizo mnashazoea mapenzi bubu, vigharama kidogo vikubali mkuu au unataka usaidiwe kuhudumiwa wewe ule free meal tu?!!. It's the 21st Century, life is changing nawe nenda na mabadiliko.

Sent using Jamii Forums mobile app

gentlemen [emoji1319][emoji1319]
 
Back
Top Bottom