Kwaninini kila nikimutongoza mwanamke lazima watangulize pesa

Kwaninini kila nikimutongoza mwanamke lazima watangulize pesa

Wanawake wasiopenda hela wamebaki wachache

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi waongo na matapeli wa mapenzi nimetokea dada mmoja anafanya kazi ya stationary eti anasema kaka nisaidie laki 2 nadaiwa kodi napoishi afu tutakuwa wapenzi, sasa hii kitu imenikata kabisa kwa kitendo alichosema japo uwezo wa laki 2 ningeweza mpaa ila daah.
 
H
Bro siku hiz hatutongozi ila tuna enda direct kuomba mzigo,atajiongeza yeye kusema bei yake.

Siku hiz ukimtongoza mwanamke ni kama vile tayari kapata ajira so ni bora Uende kununua Malaya ujilie kuliko kumiliki,ukisema siku hiz uwe kwenye mahusiano na demu wa kibongo unaweza jikuta unazeeka bila kujenga.
Hii ni ukweli broh wa siku hizi ni maelewano sasa tatizo unakuta unataka kuoa kabisa uoneshe wazazi kuwa wewe sio muhuni afu ndio mavitu yanakaa namna hii hupati Mke unaishia kukutana na wale wa barabarani
 
Nitafute nikupe Dawa nilopata tanga hiyo ukimgusa tu kaliwa
Kwema wanajf nashindwa kuelewa hivi vitu kwa wanawake wa sasa
1. Wengi wanatazama material things kama magari, uchawi wao ni magari yaan ukiwa na nyumba labda uibebe kichwani waone uko na nyumba au kiwanja/shamba.

2. Wengi wanatanguliza pesa sana yaani nimejaribu kwa madada wengi afu hii mi naona ni kero mfano unachukua namba unachat naye first time ashaanza unasikia samahani naomba nitumie sh. 30000 au sijui nirushie sh.5000 ya bando.

Kiukweli hii kitu inakera no upendo hapa hata kama nina iyo pesa.

3. Hili swala linaniface sana hadi naona amna haja ya mahusiano bora ubaki pekee yako kuliko kero za hivi.

Mi nachukulia seriously relationship afu nakuta hii kitu first time tu mizinga kibao kuombana ombana.

Au tuassume wanawake wa sasa amna aliye serious umalaya tu ndio unatrend,
maana mapenzi ya sasa yamekuwa ni utapeli au biashara fulani ya gambling kamari.
Hata kama utalipa pesa upewe penzi bado amna mapenzi hapo ni uhuni lakini naona wanaume ndio tunaonyanyaswa.

Pengine mimi binafsi nasemaga kama lady atanifuata kwa pesa atakuwa amejiharibia sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitongoza demu wa kiswahili kipindi hiki inakuwa kama yeye amepata ajira..ni vizinga tu

Oohoo baby mama mgonjwa naomba unitumie 150k,,ohoo mdogo wangu kapungukiwa na ada naomba 200k..wakati mwingine ishu sio kutoa,,ishu ni kutoa then unaonekana boya,na kakudanganya tu

Cha msingi ni kuangalia unatongoza kwa lengo gani,,kama ni la kupata tu papuchi kwa muda basi vizinga lazima uvitimize
 
H

Hii ni ukweli broh wa siku hizi ni maelewano sasa tatizo unakuta unataka kuoa kabisa uoneshe wazazi kuwa wewe sio muhuni afu ndio mavitu yanakaa namna hii hupati Mke unaishia kukutana na wale wa barabarani
Mkuu umepewa ushauri mzuri sana na wadau. Kama una nia ya kuoa wanawake wa kuoa wamejaa nchi hii.
 
Mkuu achana tu na mapenzi
Mwanamke unayotakiwa umuhudumie ni mke wako hawa wengine unajipendekeza tu.
 
Mi nina nyumba tu na usafiri wa pikipiki, magari sipendi maana ni showoff yaan ukiwa na gari ya kutembelea unapata marafiki wengi wa uongo nitanunua baadae yaan sipendi sport light.
Mkuu wewe upo Kama Mimi yaani Kuna kipindi walinitesa Sana ila nishawazoea.
Na kuhusu gari hata Mimi sina hobby nayo ila ninamiliki nyumba.
Kuna kipindi nilijaribu kununua gari yaani ilikuwa kero Sana unapata marafiki hovyohovyo,yaani kabla hujaamka unaanza kusumbuliwa kupigiwa simu wanataka wajue ratiba yako ya leo.
Wabongo ndio wako hivyo kwenye ishu ya ulimbukeni wa magari.
Sasa mkuu kinachokutesa wewe pia kilinitesa miaka ya nyuma ila Sasa hivi nimewazoea nawaburuza ninavyotaka na situmii gharama kubwa.
Kuna mbinu ndogo tu ambayo bado hujaigundua mkuu ndio hiyo inakutesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
H

Hii ni ukweli broh wa siku hizi ni maelewano sasa tatizo unakuta unataka kuoa kabisa uoneshe wazazi kuwa wewe sio muhuni afu ndio mavitu yanakaa namna hii hupati Mke unaishia kukutana na wale wa barabarani
Ukitaka mwanamke wa kuoa siku hiz tafuta yule ambaye ana biashara rasimi ya kumwingizia Hata buku achana na Hao wanao ishi kutegemea papuchi bro.
 
Wew tumia njia zote, ndio maana Sadio Mane akishindwa kufunga kawaida anaamua kutafuta penalty.
Kwahiyo na wew wengine wadanganye tu, hamna namna.
Akileta maneno ooh..wanaume wahongo, sisi tutamwambie akome...
 
Back
Top Bottom