Kwaninini kila nikimutongoza mwanamke lazima watangulize pesa

Kwaninini kila nikimutongoza mwanamke lazima watangulize pesa

We unalilia mvua ila unaogopa radi?

Achana na type hizo unazotongoza, watoto wa kike macho juu juu hawafai wanaitwaga slay queens hao..Wanachoweza ni kujipamba na kupost picha mitandaoni na kufuatilia matukio ya kimbeya mtandaoni jioni wanavizia bia za offer. Hao ukiomba penzi unakula radi mwanzo mwisho mpaka ukimbie🤣🤣🤣
 
mnapata taaabu,
siku hizi dunia ya sasa kama upo dsm usihangaike kutongoza na wala usitake kumiliki manzi wa peke yako,mbona kuna vijiwe vingi tu unakula mzigo fresh tu kwa buku tatu au nne,na mademu wakali tu mwana,
acha za kutaka demu akufuate geto ili wana wakuone,mambo hayo waachie akina ziro ikiyu,ambao wana ulimbo wa kuwanasia mademu yaani chips,
wewe nenda kwenye vijiwe kamatia kagonge fanya payment ya buku nne,then sepa.
mengine achana nayo,mademu wengi wako kibiashara zaidi ingawa hawawezi kukuambia aisee,kama unaendelea kutaka kumiliki,utapata taabu sana mwana..
mabaharia tunafanya hivyo.
 
Tatizo Wenye Bahati Hua Hawabahaiki, Hiki Nikilio Cha Wengi Sana Mkuu Bt Endelea Kusearch 1day Yes Utampata Wakufanana Nae
 
Mi nakanuni zangu siwezi kununua mapenzi hata siku moja km ananiona mm bahili its okey off u go

Wanawake wengine ukiwaendekeza inakuwa kero kuna dada kaniganda eti nimkopeshe 150,000/- nyooo ki urahic hivyo haijawahi kutokea hata siku moja...si bora nikaitoe kanisani au niwanunulie mahitaji mayatima


Yaani wamegeuka kabisa ...kuwa omba omba inakera ,inachosha ....yaani ni kiwakazia tu ....sina kitu aseme bahili ,mwanaume suruali atajua yeye mwenyewe ! Ila ataniona najipa raha dairly



Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenifanya nicheke asee[emoji23][emoji23]
Mapenzi siku hizi ni pasua kichwa.
Tafuta mmoja funga naye ndoa, achana na wafanyabiashara
Bora 100k ya mama anaumwa lakin sio mizinga ya yeye achukue pesa yangu ya jasho anione boya akale matanuzi na wahuni.
Hapo ni kazi kuwajua japo kuna muda nachanganya wa kanisani na hawa wa barabarani lakini naona bora hawa wa barabarani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
suala la mwanamke kuomba kodi ya nyumba ili hali mwenzi wake niko chuo mnalionaje na hili wadau, huku mi niko hostel ye anataka boom likitoka nimgawie alipie kodi, af ni single maza
 
suala la mwanamke kuomba kodi ya nyumba ili hali mwenzi wake niko chuo mnalionaje na hili wadau, huku mi niko hostel ye anataka boom likitoka nimgawie alipie kodi, af ni single maza
Dogo acha kujitafutia magonjwa ya moyo
 
Ili jambo kuna kipindi lilinitesa nilijidai nunda wa kumlipia pango ...ndio akabweteka kabisa hataki kujiongeza pango likikaribia utapewa mapenzi mpk na sarakasi

Kumbe mwenzio analenga kodi ya nyumba , yaani hata ukimlipia haoni msaada wako hata kidogo

Kulipa kodi mwanamke ni kujionhezea magonjwa ya moyi kbs ......kuna siku utamfuma na mwanaume mwingine anapakua bila huruma ...ndipo utachanganhikiwa

Maisha ya sasa sio ya kumuonea mtu aibu ?? Kataa kavu kavu ....kuna mwingine kaniomba laki na nusu juzi ...nikamwambia live hela ninayo sikupi wala sikukopeshi katafute yako , kanuna akachukia na akaniblock but ....nimeepusha mengi hawa sio wa kuonea aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom