Kwanini............??

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,799
59,262
Guys naomba mnisaidie kitu ehh....kuna kazi natakiwa kufanya ila naona itachukua muda sana kuuliza watu one on one kwahiyo nimeona nitafute njia rahisi kwa kuuliza hapa jamvini instead!

Kwa wale ambao hamjaoa/olewa je mna mpango wa kufanya hivyo???
Kama jibu ni ndio kwanini unataka na kama jibu ni sio kwanini hutaki????

Kuna msichana mmoja kanichekesha kweli....ye kaniambia anataka tu ili avae gauni zuri na kua kama malkia kwa siku moja yatakayofuata hajali!!Haya naomba basi nisikie sababu zenu!!
 
mi nitaolewa coz maisha ya peke yangu ni magumu (uchumi kaka mdogo) lazima nimtafute anayeweza kuniongezea
 
mmh kuolewa kuoa si lazima(japo inaongeza heshima) na inategemea na mapendekezo ya mtu japo wapo wanaotamani kuolewa hasa,kuoa wachache ambao hawajapata bahati hiyo kama ni bahati.Tunaoa/kuolewa mostly
  • Kufuata maandiko ya Mungu(kila mtu awe na mke/mume wake mwenyewe)
  • Kuanzisha familia
  • Kusaidiana ktk maisha ya kila siku
  • Kuwa na mshauri wa karibu ktk mambo mbalimbali
  • Kuonyesha/kudhilihisha Upendo wako wa dhati kwamba yy ni bora/wathamani kwako na ni ngumu kuwa mbali nae(achana na wale wanaooa/kuolewa kwajili ya mali,tamaa,kuiga,fashion etc,ndoa za copy and paste)
  • Kuwa na mapenzi salama(not ng'ono zembe)
 
ntaolewa cz nataka kuwa na family
nataka kuwalaea wanangu chini ya baba mmoja
nataka kuwa na rafiki wa kudumu amabe ntashare nae MAMBO YOTE
NTAOLEWA CZ NATAKA KUWA NA ADAMU/MWANAUME WANGU AMbae NTAMMILIKI NA YEYE ATANIMILIKI.

NAWASILISHA.
Rose hapo kwenye red hupati mtu!
 
mi nitaolewa coz maisha ya peke yangu ni magumu (uchumi kaka mdogo) lazima nimtafute anayeweza kuniongezea

Ahsante Trustme,TRUTH SHALL ALWAYS SET YOU FREE,hongera kwa kuwa candid,i love the spirit.
 
Rose hapo kwenye red hupati mtu!

mbona nishampata ?
ninae tayar...ananimiliki na ninammilik...so TWAMILIKIANA.

WEWE tu labda autak kuisubmit kwake na mkashare na kuplan pa1 mpk ukajihisi uwez bila yeye na yeye awez bila wewe....
tulia waza n saka utampata wa ivo..lakin ile habar yako ya kubadirisha chuchuz kila wik na kimwana kipya sidhan km unaweza ikafika siku ukasema yaaap she is....na yeye akajihisi yap he is....
byeeeeeeeeeeeee babu njaa mie...
 
Hii ingefaa wajibu wenye mategemeo ya kuoa/kuolewa na wasiotaka kabisa kufanya hivyo.

Sisi tulio kwenye ndoa majibu tutakayokupa si sawa na ambayo tungekupa kabla ya kuoa/kuolewa kwani most of us after 6 years there are times we ask ourselves this question. Hasa tukiwa kwenye conflict. Unakuta unamuwazia mwenzi wako you where too pushy other wise I wouldn't have married you! aaah

Unaanza kupima labda ningeolewa na fulani ningekuwa more happy na mawazo mengine mengi.

Ila sababu kubwa ni upendo ambao tatizo ni kuwa ni ngumu ku maintain mapenzi yale yale mlokuwa nayo wakati mnaoana. Si kwamba unaanza kumchuki mumeo (kwa mimi) ila kuna vitu unajikuta hufanyi bila wewe kugundua. Na wanaume wana mind kishenzi wanapenda tuendelee kwa speed ile ile.

Rose hapo kwenye red hupati mtu!
 
ntaolewa cz nataka kuwa na family
nataka kuwalaea wanangu chini ya baba mmoja
nataka kuwa na rafiki wa kudumu amabe ntashare nae MAMBO YOTE
NTAOLEWA CZ NATAKA KUWA NA ADAMU/MWANAUME WANGU AMbae NTAMMILIKI NA YEYE ATANIMILIKI.

NAWASILISHA.

Hapo kwenye red, Mhhh!!!! Ngumu kidogo. Labda yeye akumiliki wewe. Au labda usubiri kidogo ambao hawajazaliwa, katika karne ya S.L.P. wala dot com ambaye sidhani kama tutakuwa bado tuko hai.
 
mbona nishampata ?
ninae tayar...ananimiliki na ninammilik...so TWAMILIKIANA.

WEWE tu labda autak kuisubmit kwake na mkashare na kuplan pa1 mpk ukajihisi uwez bila yeye na yeye awez bila wewe....
tulia waza n saka utampata wa ivo..lakin ile habar yako ya kubadirisha chuchuz kila wik na kimwana kipya sidhan km unaweza ikafika siku ukasema yaaap she is....na yeye akajihisi yap he is....
byeeeeeeeeeeeee babu njaa mie...
we mjukuu we,mbona unarusha kombora ikulu?
 
Mimi nitaoa hivi karibuni kwa sababu ndoa ni institution iliyoanzishwa na Mungu katika kujenga familia yenye kumtukuza hapa duniani. Sababu ya pili ni companionship yenye commitment ndio inanisukuma kuoa na ya tatu ni pro-creation ambayo iko grounded kifamilia zaidi badala ya kuzaa popote wakati wowote
 
Guys naomba mnisaidie kitu ehh....kuna kazi natakiwa kufanya ila naona itachukua muda sana kuuliza watu one on one kwahiyo nimeona nitafute njia rahisi kwa kuuliza hapa jamvini instead!

Kwa wale ambao hamjaoa/olewa je mna mpango wa kufanya hivyo???
Kama jibu ni ndio kwanini unataka na kama jibu ni sio kwanini hutaki????

Kuna msichana mmoja kanichekesha kweli....ye kaniambia anataka tu ili avae gauni zuri na kua kama malkia kwa siku moja yatakayofuata hajali!!Haya naomba basi nisikie sababu zenu!!

Natamani tu kuoa kwa sababu rafiki zangu wote wameoa. Nimebaki peke yangu senior bachelor!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom