Hata unitishie namna gan mi ntaoa tuuuu!Sasa hapo Masaki ndo kabisaaaaa unajitumbukiza kwenye mtego bora hata wa panya,family day,una hakika katika hizo family day hizo tabasamu unazoziona ni za kikweli kweli? Nakwambia Masaki wengi wa hao unawaona katika family day wakirudi kwenye magari yao baba uso mbele kwenye usukani mama uso kushoto anaangalia maghorofa,mtoto akianguka akaumia ndo utasikia 'tuwahi hospitali' ukute walikuwa na wiki wanapishana ka treni. Usicheze na ndoa Masaki.
1.Awe na maloveee
2.Awe mahiri 6x6
3.Asiwe kanjanja
Mmmmmmhhhh hiyo combination ngumu bora hata PCM!
Bishanga nini Gaga?Hahahahahah bishanga bana
MJ1 ,kwenye red hapo,'you thought',sasa baadae ikawaje?Ingawa sikuulizwa mie but najipendekeza.................... mie niliamua kuwa na mwenza kwa kuwa I thought I had found the love of mylife............... (sikaribishi maswali tafadhali)
Ugumu ni mawili ya mwanzo:mmmhh Bishanga
Mbona wapo wengi tu
wanaweza hayo na zaidi ..
Ugumu hapo uko wapi tu ???
Guys naomba mnisaidie kitu ehh....kuna kazi natakiwa kufanya ila naona itachukua muda sana kuuliza watu one on one kwahiyo nimeona nitafute njia rahisi kwa kuuliza hapa jamvini instead!
Kwa wale ambao hamjaoa/olewa je mna mpango wa kufanya hivyo???
Kama jibu ni ndio kwanini unataka na kama jibu ni sio kwanini hutaki????
Kuna msichana mmoja kanichekesha kweli....ye kaniambia anataka tu ili avae gauni zuri na kua kama malkia kwa siku moja yatakayofuata hajali!!Haya naomba basi nisikie sababu zenu!!
Mi niliamua kuolewa sababu nilimpenda (nampenda bado),
pia nlichoka kutenda dhambi wakat tunaweza kula bila wasiwasi wala kupimiwa??
Sasa hapo Masaki ndo kabisaaaaa unajitumbukiza kwenye mtego bora hata wa panya,family day,una hakika katika hizo family day hizo tabasamu unazoziona ni za kikweli kweli? Nakwambia Masaki wengi wa hao unawaona katika family day wakirudi kwenye magari yao baba uso mbele kwenye usukani mama uso kushoto anaangalia maghorofa,mtoto akianguka akaumia ndo utasikia 'tuwahi hospitali' ukute walikuwa na wiki wanapishana ka treni. Usicheze na ndoa Masaki.