kbosho
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 13,073
- 6,639
Njia ya Msaliti ni fupi mno...huyu 'baka-baka' MSALITI, atajutia kuisaliti roho ya mageuzi kwa kulamba viatu vya wanaopora nchi na kumshibisha, hata kama wanamfadhili kwa kiwango gani!
MSALITI, Unatumia udhalimu wako pamoja na WATAWALA kubomoa jitihada na misingi ya Ukombozi iliyofikiwa na Vyama vya Mageuzi kwa tamaa ya kusimama 'juu ya wengine'?
Ole!...Misingi ya Ukombozi ukidhoofika na kushindwa kuing'oa CCM hapo Octoba 2015, sababu tu ya mwenendo wako na tamaa zako chafu za KISALITI, hata mawe yatapaaza sauti! Nchi ni zaidi ya tumbo, ni zaidi ya wewe kushiba....unakula anashiba, unapata choo, 'unaendesha' unasahau..ila usaliti hausahauliki...! Ni laana!
Zitto anatembea na Fuko la hela kuwa Nunuwa Makada mashuhuri wa Chadema. then ajiita Mzalendo.