stanlthecreator
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 1,947
- 648
ACT mpaka sasa ndio chama kikuu cha upinzani kwa sababu kinapambana na maccm na saccos ya wachaga
Mbona mnahofu hivyo?Watanzania sio wajinga, kama Zitto ni mtu wq hovyo wala hawatamsikiliza lakini wakimsikiliza na kumuamini basi mjue hakuwa na makosa na alionewa.
Waacheni wananchi watoe hukumu, nyie subirini hapa kutoa mrejesho wa wananchi watakavyomkataa au kumpokea huko site.Itherwise HAKUNA MWANASIASA AJAYEWEZA KUULIWA KISIASA NA MWANASIASA MWINGINE, NA ZITTO PIA HAWEZI KUULIWA KISIASA KWA SABABU WATU FULANI WANATAKA AFE KISIASA, ATAKUFA KISIASA KAMA ATASHINDWA YEYE BINAFSI KUWASHAWISHI WANANCHI KUWA NI MTU MAKINI MWENYE MASLAHI YA UMMA NA ANAYESTAHILI KUAMINIWA.Siasa is very simple.Mtapoteza muda wetu bure kwa chuki zisizo na maana.
Tangu zitto ahamie ACT na kukaribishwa kwa kishindo kikuu kumeibuka nguvu kubwa ya machadema kumchafua,kumuita majina yote mabaya na kuacha kazi yao ya msingi ya kukijenga chama chao cha kibaguzi na kilaghai.
Ni chadema hao hao waliomfukuza kwenye chama chao lakini hawajaridhika baada ya kujiunga na ACT. Kila siku hapa JF wafuasi wa chadema wanaanzisha thred lukuki zinazomhusu zitto huku wakimchafua..nyie mna roho za fisi mngetulia na chama chenu naye ajenge chama chake kipya.
MASWALI.
1.Je. mlitaka Zitto afe?
2.mlitaka asifanye siasa?
3.mnaitaka roho yake ndipo mridhike?
4.mnataka nini hasa kutoka kwake? mmesahau nini kwake?
5.mnataka arudi chadema??
hebu muwe na akili ya ziada mjiongeze tafadhali
Mpe muda, politics is not a one man show.
Inawezekana ulitazama TBC na ulisoma uhuru, zito kabwe hakuwahi kujibu tuhuma hizi ninazozidai humu. Kama unaushahidi weka hapa nikufuate unipe kadi ya Against Chadema Tanzania
Tangu zitto ahamie ACT na kukaribishwa kwa kishindo kikuu kumeibuka nguvu kubwa ya machadema kumchafua,kumuita majina yote mabaya na kuacha kazi yao ya msingi ya kukijenga chama chao cha kibaguzi na kilaghai.
Ni chadema hao hao waliomfukuza kwenye chama chao lakini hawajaridhika baada ya kujiunga na ACT. Kila siku hapa JF wafuasi wa chadema wanaanzisha thred lukuki zinazomhusu zitto huku wakimchafua..nyie mna roho za fisi mngetulia na chama chenu naye ajenge chama chake kipya.
MASWALI.
1.Je. mlitaka Zitto afe?
2.mlitaka asifanye siasa?
3.mnaitaka roho yake ndipo mridhike?
4.mnataka nini hasa kutoka kwake? mmesahau nini kwake?
5.mnataka arudi chadema??
hebu muwe na akili ya ziada mjiongeze tafadhali
1.Kwani ukibishana kwa hoja bila matusi siku haiishi vizuri
2.You are weak-minded,kawaida strong-minded people huwa hawaombei washindani wao wafe bali huomba Mungu awape nguvu za kupambana na washindani wao.
Aisee jamani tumeshachoka sasa, zito mmefukuza kaondoka bado maneno hayaishi?
Hivi mfano umempa talaka mke wako alafu akaondoka ww uliyetoa talaka unalalamika tuu, mara oohh ulikuwa unanisaliti, maara oohh mwananmke gani wewe? sasa talaka umeshatoa na mtalaka kaondoka wewe bado unalalamika nini?
Nyie Chadema acheni upuuzi tumeshawachoka na kulialia kwenu haaa
hizo ni tabia za machagademaHii ni ACT - Wazalendo au ACT - Wasaliti.
Haitachukua muda wataanza kusalitiana wao kwa wao. Hii dhambi ni lazima itawafuata popote waendapo.
- Sijawahi ona kokote siasa inakofanywa mwanachama wa chama kimoja kwa wakati huohuo ni mwanzilishi wa chama kingine cha siasa, sijawahi.
- Sijawahi kuona mtu anajiunga na chama fulani baada ya siku tano anapewa uongozi mkuu wa chama hicho, sijawahi
- Sijawahi kuona popote siasa inapofanywa, mwenyekiti wa chama yupo chini ya mtu fulani. Yahani kikatiba kabisa kuna mtu yupo juu ya mwenyekiti, hii pia sijawahi kuona.
- Sijawahi kuona popote pale chama cha upinzani kukipinga chama cha upinzani na si chama tawala. AGAINST CHADEMA TANZANIA(ACT). Kwa maneno au hata vitendo. Chama kinafanya sherehe kikipata wafuasi wa upinzani kuliko wa chama tawala.
- Sijawahi kuona chama cha upinzani kinafadhiliwa na chama tawala kiuchumi na kimikakati. Tumefanya uzinduzi wa chama chako Zuberi kwa gharama kubwa sana, air time ITV, chakula, ukumbi expensive, na mbwembwe nyingi. Lakini mbona hujawahi kuchangisha pesa toka kwa wanachama wako? Kama kuna mtu anachangia ni nani huyo? Mtamlipaje baadae?
- Sijawahi ona chama cha upinzani popote pale siasa inapofanywa, wafuasi wake ni wale wanachama na wafuasi wa chama tawala. Le mutuz, laki si pesa, musa alani n.k, hii nayo sijawahi ona.
Kwa yote hayo juu Zuberi kwa nini nisikuite kwamba wewe ni msaliti halisi wa demokrasia hapa nchini. Kama kweli wewe siyo msaliti mbona hujawahi kujitokeza na kukataa zile namba za simu walizozitoa chama chako cha zamani kuwa zilitumika katika ufisadi? Mbona sijasikia kuikana ile akaunti ya benki wa yule dada kule ujerumani?
UKINIJIBU HAYO KWA UFASHA WEWE KWELI SI MSALITI.
CDM ipo field daily na mapambano ya kumuondoa mkoloni mweusi yanaendelea.Wakati yanaendelea hatuwezi kuwaacha wasaliti wapotoshe watz wasiojielewa hivyo lazima tugawane majukumu.Wakati makamanda wengine wapo field sisi tusioenda field tunaweka mambo saw a mitandaoni hawa wehu wasiendelee kupotosha.Operation za cdm zinaendelea kama kawa mkuu
Hauko makini ndio maana unaishia kubwabwaja tu humu
Nia yao walitaka aache siasa kabisa,Zitto aliwateka akili zao finyu ili awapoteze kwakusema hataendelea na siasa nao wakawa wanashadadia afukuzwe! mara hatumtaki.Tatizo akili kubwa haiwezi kutawaliwa na akili ndogo,chadema ukitaka uwe juu lazima uwe na cfa ya ukilaza kama dj.