Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,043
- 1,012
Teh bavicha bwana mnachekesha sana'. Mnajitekenya kisha mnacheka wenyewe.
Vp ulitaka kwanza akalime kama mwaka mmoja hv kabla hajaenda act?
Simple mind
Teh bavicha bwana mnachekesha sana'. Mnajitekenya kisha mnacheka wenyewe.
Vp ulitaka kwanza akalime kama mwaka mmoja hv kabla hajaenda act?
Aisee jamani tumeshachoka sasa, zito mmefukuza kaondoka bado maneno hayaishi? Hivi mfano umempa talaka mke wako alafu akaondoka ww uliyetoa talaka unalalamika tuu, mara oohh ulikuwa unanisaliti, maara oohh mwananmke gani wewe? sasa talaka umeshatoa na mtalaka kaondoka wewe bado unalalamika nini? Nyie Chadema acheni upuuzi tumeshawachoka na kulialia kwenu haaa
Sijawahi kuona mtu anaongea pumba kama wewe sijawahi.
Sijawahi kuona watu wanapata taabu hawalali wanatafuta umbea juu ya maisha ya mtu ambayo hayakuhusu hata kidogo sijawahii..
Sijawahi kuona mtu aliyetoka chama kimoja kwenda kingine akaendelea kusakamwa kama zzk bila sababu za msingi kwani hamuathiri mtu na itikadi zake na hawalazishi kumfuata kwa itikadi.
Hata kama zitto ni msaliti kwa chadema haiwahusu wala kuwaathiri kwani hayupo chadema sasa.
Kila siku zitto zitto zitto hamna cha kufanya wangapi wametoka vyama vyao na kujiunga na vyama vingine hawajadiliwi ...
Stop non sense bwana Amekuathirije yeye kuwa msaliti na je anahusikaje na maisha yako baada ya kusaliti chadema
Ishara ya nwehu ni kucha chafu! Sawa acha nikubali kutapatapa kwako, vipi kuhusu pesa za ujerumani na CRDB Bank?
Haswaa...tatizo wengi wetu bado tunaona kwa macho mawili..wenzetu wako kimkakati zaid. nadhani tutakapogundua ukweli basi inaweza ikawa too late kwani speed waliyonayo ni kubwa mno.
Nilitamani nijibiwe hayo madai yangu unless Zitto ni msaliti mkuu wa demokraamsia nchini
Haswaa...tatizo wengi wetu bado tunaona kwa macho mawili..wenzetu wako kimkakati zaid. nadhani tutakapogundua ukweli basi inaweza ikawa too late kwani speed waliyonayo ni kubwa mno.
- Sijawahi kuona popote pale chama cha upinzani kukipinga chama cha upinzani na si chama tawala. AGAINST CHADEMA TANZANIA(ACT). Kwa maneno au hata vitendo. Chama kinafanya sherehe kikipata wafuasi wa upinzani kuliko wa chama tawala.
Devide and rule kwa mtu mliyemfukuza wenyewe? Huku kama sio kuweweseka ni nini?
Unasema ACT ni mtoto wa CCM, mbona husemi kama na CHADEMA ni chama cha Wachaga amboa ndo nyie akina MISS CHAGA?
Wewe au chakisa nikikuta mnaitetea chadema siwezi kushangaa kwan ni haki yenu.... nastaajabu ninapowakuta akina karubandika wanatoa povu kupigania maslahi yenu.
cdm sio rahisi kufa kwa sababu hata mwanzilishi wake baada ya kutofautiana na Mwalimu alijiuzuru na kukaa pembeni badala ya kuendelea kukaa kwenye chama asichokubaliana na falsafa zake.na huo ndio mpango wao, kuiua chadema katika uchaguzi wa mwaka huu.
Teh bavicha bwana mnachekesha sana'. Mnajitekenya kisha mnacheka wenyewe.
Vp ulitaka kwanza akalime kama mwaka mmoja hv kabla hajaenda act?
Aisee jamani tumeshachoka sasa, zito mmefukuza kaondoka bado maneno hayaishi?
Hivi mfano umempa talaka mke wako alafu akaondoka ww uliyetoa talaka unalalamika tuu, mara oohh ulikuwa unanisaliti, maara oohh mwananmke gani wewe? sasa talaka umeshatoa na mtalaka kaondoka wewe bado unalalamika nini?
Nyie Chadema acheni upuuzi tumeshawachoka na kulialia kwenu haaa
Sio kwamba kawashika vibaya ni kwamba wanyonge masikini Watanzania walimuamini zitto kama mtetezi wao sasa kawasaliti hawajui ni kwanini mtu unakuwa ndumilakuwili yaani nyoka wa makengeza kawasaliti na kuwaibia Watanzania fikra zao za maendeleo.
Swissme
The painful reality ni kwamba wachagga wana discipline fulani inayowapa success kila waendapo,hata wakiwa wao ndio wasio na kitu haichukii muda akina nyie mtaanza waona washamba,then mtawaona wabahili mkishaanza ona wanakwenda,kiasha mtaanza kudaiwa nao sana ....mwisho mtaanza chuma ulete.Ila kazi ya chuma ulete haifikii ya wanayotengeza hela mwisho chuma uleta inakufa kifo cha mende wakiwashtukia.Mwisho mnaanza lia kuwa ni wezi.Hakuna chana hakina mchaga...hata wanapopigwa vita km CCM bado jamaa ni central.Devide and rule kwa mtu mliyemfukuza wenyewe? Huku kama sio kuweweseka ni nini? Unasema ACT ni mtoto wa CCM, mbona husemi kama na CHADEMA ni chama cha Wachaga amboa ndo nyie akina MISS CHAGA? Wewe au chakisa nikikuta mnaitetea chadema siwezi kushangaa kwan ni haki yenu.... nastaajabu ninapowakuta akina karubandika wanatoa povu kupigania maslahi yenu.