Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

Halafu na ninyi tabia yenu hii ya ubaguzi, Chadema mnaiita ya wachaga wakati mnajua kabisa mnawabunge kule. Ni bora mwaka wachaga waka delete chama chenu ili ijulikane moja kuwa ni chama cha wachaga.

Mbona kuna mikoa mingi tu chadema haina hata diwani na hiyo mikoa haiitwi kwa jina la chama chenu.... Tumbafu kabisa.

Mkuu nikusahihishe hapo,chadema sio chama ila ni SACCOS ya wachaga
 
- Sijawahi ona kokote siasa inakofanywa mwanachama wa chama kimoja kwa wakati huohuo ni mwanzilishi wa chama kingine cha siasa, sijawahi.

- Sijawahi kuona mtu anajiunga na chama fulani baada ya siku tano anapewa uongozi mkuu wa chama hicho, sijawahi

- Sijawahi kuona popote siasa inapofanywa, mwenyekiti wa chama yupo chini ya mtu fulani. Yahani kikatiba kabisa kuna mtu yupo juu ya mwenyekiti, hii pia sijawahi kuona.

- Sijawahi kuona popote pale chama cha upinzani kukipinga chama cha upinzani na si chama tawala. AGAINST CHADEMA TANZANIA(ACT). Kwa maneno au hata vitendo. Chama kinafanya sherehe kikipata wafuasi wa upinzani kuliko wa chama tawala.

- Sijawahi kuona chama cha upinzani kinafadhiliwa na chama tawala kiuchumi na kimikakati. Tumefanya uzinduzi wa chama chako Zuberi kwa gharama kubwa sana, air time ITV, chakula, ukumbi expensive, na mbwembwe nyingi. Lakini mbona hujawahi kuchangisha pesa toka kwa wanachama wako? Kama kuna mtu anachangia ni nani huyo? Mtamlipaje baadae?

- Sijawahi ona chama cha upinzani popote pale siasa inapofanywa, wafuasi wake ni wale wanachama na wafuasi wa chama tawala. Le mutuz, laki si pesa, musa alani n.k, hii nayo sijawahi ona.

Kwa yote hayo juu Zuberi kwa nini nisikuite kwamba wewe ni msaliti halisi wa demokrasia hapa nchini. Kama kweli wewe siyo msaliti mbona hujawahi kujitokeza na kukataa zile namba za simu walizozitoa chama chako cha zamani kuwa zilitumika katika ufisadi? Mbona sijasikia kuikana ile akaunti ya benki wa yule dada kule ujerumani?

UKINIJIBU HAYO KWA UFASHA WEWE KWELI SI MSALITI.

Ndo umeona sasa
 
Kwa kifupi zito alishajua nn kitamkuta; na chadema walikuwa hawamtaki kitambo;sasa ulitaka afanyaje?

Sisi binadamu huwa tunapenda ukigombana na mtu mfano mke/mume akimuacha mwenzake anataka amuone kachoka kapauka;uanze kujisifu bila ww hawezi kuishi.

Chadema muacheni zito afanye yake na nyinyi jengeni chama;kama ni usaliti upo kwa zito tutaamua sisi wananchi na kama usaliti ni kwenda chama kingine basi wasaliti mnao wengi lema;slaa;lissu maana wote hao hawakuanzia siasa chadema.
 
Na kumbuka jamaa alishasema kuitwa msaliti,mwizi nk ni "framing" tu ktk harakati za kisiasa!.Huo ndo utetezi wake ZZK!
 
Umeandika maswali ya msingi sana bwana TAWA, na mimi naungana na wewe kusubiri majibu ya ZITO
 
muite tu msaliti, hiyo ni kisifa zaidi kuliko jina, so sifa ya mtu huweza kutumika kama kitambulisho chake pia kama ilivyo kwa jina la mtu
 
Adui wa harakati za mabsdiliko Tanzania ni watanzania kams hao wasiopima mamvvbo hata ukwrli kama huu mtu anapinga yu yaanni wanatia hasira sana....k#$%*yo zai
 
Thamani yake imepatikana bei yake inajulikana, ni cheo na fedha. Demokrasia ni neno zuri sana na hali sawia kwa mwanadamu kuishi nayo. Uwezo wa kutambua jema na baya ni utashi na uwezo wa kiakili wa mtu. Tamaa iwe mbaya au nzuri ni maamuzi ya mtu binafsi. Ubinafsi ni roho chafu iliyondani ya binadamu mbaya.

Nchi zenye demokrasia iliyokamaa hushindanisha fikra, Kijana ZZK ameamua kuwa mtaro wa kuibeba CCM wazi wazi na baadhi ya makundi yake kwa kisingizo au jina la dmokrasia.

Wimbi hili litabeba wengi sana kwa imani ya kutaka ubunge, udiwani, na uhuru usio na mipaka ambao ni ukichaa.

Kwa wale ambao ZZK anawataja kuwa watahamia chama chake ni vyema wakaondoka mapema kama ni kweli watuache tujenge chama. CDM tumeweka wazi 2015 sio mwaka wa makapi either in or out now. Kwa ukombozi wa wananchi wanyonge wasaliti ni sumu kubwa sana kuishi nao.

Nyerere aliwahi kusema mke wa mfalme hatakiwi hata kusingiziwa. Muda ya kuishi kama kinyonga umekwisha.
Kwa wale wasiojijua na wanaishi kwa akili za kushikiwa ni vyema wakala kona.

Mwaka 2015 ni mwaka wa mapamabano ya ushindi, ni mwaka ambao watawala wanatumia uwezo wao wote kujilinda dhidi ya nguvu ya umma operation ingia ikulu.

Tupo imara na nguvu ya umma itaibuka mshindi, Fedha za Escrow na rushwa haziwezi kuishinda kweli.

Wananchi tupo vitani na adui anajipanga kila uchao. Pamoja tutashinda.
 
Mwizi wa fikra za maendeleo ya mtanzania.

swissme
 
Kwa kifupi zito alishajua nn kitamkuta; na chadema walikuwa hawamtaki kitambo;sasa ulitaka afanyaje?

Sisi binadamu huwa tunapenda ukigombana na mtu mfano mke/mume akimuacha mwenzake anataka amuone kachoka kapauka;uanze kujisifu bila ww hawezi kuishi.

Chadema muacheni zito afanye yake na nyinyi jengeni chama;kama ni usaliti upo kwa zito tutaamua sisi wananchi na kama usaliti ni kwenda chama kingine basi wasaliti mnao wengi lema;slaa;lissu maana wote hao hawakuanzia siasa chadema.

Hakuna anayemtamani zito hata kwa kuwa mshona bendera ndani ya chama, tunachochukizwa wapenda mageuzi na wazalendo wa kweli ni kuendelea kuwa msaliti wa demokrasia kwa kuendelea kuvibomoa vyama vya upinzani.
Kama yy ni mzalendo kwa nn asiwatete watanzania dhidi ya uzalimu wa ccm?
 
Huyu mtu mnamtungia mashairi hakujitoa CDM, alifukuzwa. Hii ni Dalili lengo la cdm kwa zito na wote waliotimuliwa ilikuwa wafe kisiasa. Mlisahau kuwa 'Mlango moja unapofungwa kuna mingi mingine i wazi' Kuweni wakweli wasalitini wale waliobinya demokrasia ya uhuru wa watu kukosoa na kutoa maoni yao ndani ya cdm. MSITAFUTE MCHAWI hali yumo miongoni mwenu.
 
Mlimwita msaliti c mtulie Dawa iingie ya nn kutikisatikisa Makalio..!
Hii ndo habari ya mjini hujawahi kuona sasa utaona na pua ztaipata harufu yake punde tu Bunge likivunjwa wabunge wenu watavyomfuata mpenda Demokrasia,Uwazi,Haki,Mzalendo ZZK!!!
 
Hakuna anayemtamani zito hata kwa kuwa mshona bendera ndani ya chama, tunachochukizwa wapenda mageuzi na wazalendo wa kweli ni kuendelea kuwa msaliti wa demokrasia kwa kuendelea kuvibomoa vyama vya upinzani.
Kama yy ni mzalendo kwa nn asiwatete watanzania dhidi ya uzalimu wa ccm?

Ndugu yangu mageuzi/mapinduzi yanatafsirika kwa maana nyingi tofautitofauti na ndo maana hata yeye zito na wengine wanajiita wanamapinduzi na sio kwa maana moja unayooamini ww au mm.

Na ili mwanamapinduzi ushinde huwezi kushinda kama unavofikiri;ccm wenyewe pamoja na kuwa kwenye game muda lkn chamoto wanakipata; ivyo mchukulieni zitto kama changamoto kwa aina ya mapinduzi mnayoamini na mjipange ku
kabiliana nae yy na wengine.

Otherwise zitto alichokifanya ni uhuru wake kikatiba;na mm mpaka leo bado sijaona usaliti wake kwa kuhama chama na mengine anayotuhumiwa na chadema na baadhi ya wanachadema mpaka hapo nitakapopata facts;sio hizi za kihasimu wa simba ns yanga.

Ningeshauri muigeni jamaa kwani hashambulii mtu bali anajenga hoja.

Namshauri zito na wapinzani wengine iigeni ccm kwa kueneza vyama vyenu nchi nzima na kuvipa nguvu sehemu zote sio kuwa na nguvu sana sehemu wanazotoka wagombea na kabila lake;kwani mnatupa mashaka kuwapa nchi.
 
Thamani yake imepatikana bei yake inajulikana, ni cheo na fedha. Demokrasia ni neno zuri sana na hali sawia kwa mwanadamu kuishi nayo. Uwezo wa kutambua jema na baya ni utashi na uwezo wa kiakili wa mtu. Tamaa iwe mbaya au nzuri ni maamuzi ya mtu binafsi. Ubinafsi ni roho chafu iliyondani ya binadamu mbaya.

Nchi zenye demokrasia iliyokamaa hushindanisha fikra, Kijana ZZK ameamua kuwa mtaro wa kuibeba CCM wazi wazi na baadhi ya makundi yake kwa kisingizo au jina la dmokrasia.

Wimbi hili litabeba wengi sana kwa imani ya kutaka ubunge, udiwani, na uhuru usio na mipaka ambao ni ukichaa.

Kwa wale ambao ZZK anawataja kuwa watahamia chama chake ni vyema wakaondoka mapema kama ni kweli watuache tujenge chama. CDM tumeweka wazi 2015 sio mwaka wa makapi either in or out now. Kwa ukombozi wa wananchi wanyonge wasaliti ni sumu kubwa sana kuishi nao.

Nyerere aliwahi kusema mke wa mfalme hatakiwi hata kusingiziwa. Muda ya kuishi kama kinyonga umekwisha.
Kwa wale wasiojijua na wanaishi kwa akili za kushikiwa ni vyema wakala kona.

Mwaka 2015 ni mwaka wa mapamabano ya ushindi, ni mwaka ambao watawala wanatumia uwezo wao wote kujilinda dhidi ya nguvu ya umma operation ingia ikulu.

Tupo imara na nguvu ya umma itaibuka mshindi, Fedha za Escrow na rushwa haziwezi kuishinda kweli.

Wananchi tupo vitani na adui anajipanga kila uchao. Pamoja tutashinda.

Mbinafsi sana yule jamaa
 
Uongo ukiachwa usemwe mara nyingi huwa ni ukweli.
Zito zuberi kabwe aliitisha press conference mara mbili kuzungumzia sakata lake na chadema. Hakuthubutu kukana haya ninayotaka yajibiwe humu ndani bali anatapatapa kama unavyofanya wewe humu. Kwa hiyo hakusingiziwa ni ukweli alipiga hizo pesa. Alimgawia Kitila, na katibu wa sasa wa ACT.
Amka bro.

Msaliti Zitto alipoulizwa na mtangazaji katika Channel Ten TV kama Tuhuma alizotuhumiwa na CHADEMA za usaliti ambazo zimethibitishwa na yeye mwenyewe kukiri katika mahojiano hayo kwamba alishiriki kuanzisha chama akiwa bado ndani ya Chadema, alijibu kwamba "MAMBO YA HUKO NYUMA AMEPIGA MSTARI NA ANAANGALIA MBELE" Meaning ni ukweli hasingiziwi juu ya tuhuma hizo, isipokuwa zimepita anaendelea na CHAMA chake alichokiasisi na kupata nafasi ya kuongoza aliyoshindwa kuipata kwa mbinu za kisaliti kule CHADEMA, na pia alikiri kuwa bado anaipenda Chadema.

He is not a good boy, na mambo hayatamwendea vizuri katika chama chake. He was more at Home pale Chadema kuliko hapo alipoanzisha. Time will tell.
 
Kwa kifupi zito alishajua nn kitamkuta; na chadema walikuwa hawamtaki kitambo;sasa ulitaka afanyaje?

Sisi binadamu huwa tunapenda ukigombana na mtu mfano mke/mume akimuacha mwenzake anataka amuone kachoka kapauka;uanze kujisifu bila ww hawezi kuishi.

Chadema muacheni zito afanye yake na nyinyi jengeni chama;kama ni usaliti upo kwa zito tutaamua sisi wananchi na kama usaliti ni kwenda chama kingine basi wasaliti mnao wengi lema;slaa;lissu maana wote hao hawakuanzia siasa chadema.

Unajua lini mikakati yake ya usaliti ilianza? Unajua lini alianza kuchukiwa na chama chake na chanzo kilikuwa nini? Kwa mawazo yake na mikakati ya chama chake ingeingilianaje na chama chake cha zamani? Ni lini alikuwa na maono ya kujenga chama cha 'ujamaa'? Wewe! Watch out....we are serious for our nation and its liberation for the second time.
 
nakumbuka ilikuwa ni wakati ule wa kashfa ya buzwagi...ni huyu bwana mdogo alilivalia njua swala lile na kuleta mtikisiko mkubwa sana nchini...kijana alikuwa moto wa kuotea mbali, file lake linaonyesha ni mtu mwenye msimamo mkali, asiyependa kubadili msimamo wake kirahisi wala kushauliwa na mtu..alijiamini yeye kama yeye na kuhakikisha wengine wote wanafata anachosema yeye...katika tabia aliangukia katika kundi la watu wasiogawanyika, mwenye kiburi na jeuri...lakini maamuzi yake na ujengaj wake hoja ni mkubwa na makini...(choleric in character)...

chama chake alichokuwa kipindi hicho kilikuwa na ushawishi mkubwa katika siasa za tanzania....na kilikuwa kinakuwa kwa kasi...ndipo jopo maalumu likaundwa toka katika ''familia'' kwa ajili ya kumwangalia na kum-configure huyu kijana ili abadili msimamo wake ...katika kusoma tabia yake ndipo ikaonekana ana udhaifu mmoja mkubwa yaani tamaa...hili ndilo eneo watu walilofanyia kazi ....na tamaa yake kubwa ni uongozi na pesa...

baada ya kuangalia ulipo udhaifu wake ndipo ulipotengenezwa mkakati mkubwa wa namna ya kupunguza nguvu ya huyu kijana...ni kweli plan ilikwenda sawia kabisa na zitto alikubaliana na namna atakavyotekeleza majukumu yake huku akilipwa pesa za kutosha ili kujikimu hasa ikizingatiwa kuwa ''familia ina mambo makubwa mawili ;'' money and power''....alipewa mafunzo mafupi ya namna ya kutekeleza majukumu yake na namna ya kushiriki shughuli za chama huku akipunguza kasi yake katika kuchangia mijadala ndani ya bunge.

mwaka 2010 wakati wa kampeni alichangia kwa kiasi kikubwa kupunguza idadi ya wabunge toka chama chake kwani alitumia wadhifa wake kuwazuia baadhi ya wagombea ubunge kwenye baadhi ya majimbo kujiengua na kuwaachia wagombea toka chama tawala; huku ushiriki wake kwenye kampeni za kumtangaza mgombea wa chama chake ukiwa hafifu kabisa...yote haya ni maelekezo aliyopewa na ''familia''....

baada ya hapo ilikuja phase two yaani ya namna ya kuhakikisha zitto anashika madaraka ya juu katika chama..maana iliaminika kuwa akishima madaraka hayo na kwa kuwa ameshakuwa glomed kwenye ''familia'' basi chama chake kitapoteza nguvu kwa wananchi na hivyo kukipa chama tawala uwezo wa kutawala bila ugumu wowote...kwa kuwatumia baadhi ya viongozi wenzake ndani ya chama na mmoja kati ya hao ni anatoka katika ''familia'' na hili mpaka leo zitto halijui (na yuko nae huko ACT) waliweza kuunda mkakati ambao kama ungefanikiwa ungemwondoa mwenyekiti wa chadema katika nafasi yake na yeye zitto kukalia kiti ikizingalia ana tamaa ya uongozi....

mpango ule haukuzaa matunda yoyote baada ya mmoja wao na kina zitto kukamatwa na viongozi wa chama chake akiwa na mkakati huo kwenye tarakishi yake na hapo ndipo zoezi zima likafa...ilileta usumbufu mkubwa sana....baada ya hapo ndipo ''familia ikabuni mkakati mwingine na kumpa plan ''B'' ambayo ni kuunda chama kingine na yeye kujiengua kutoka katika chadema...kweli kijana akaitikia wito na mara moja akaanzisha chama ...hicho alichohamia huku akiwa bado chadema....lengo la ''familia ni kwamba zitto akihamia huko na kwa kuwa ana ushawishi mkubwa basi kundi kubwa la watu litamfuata na kukiyumbisha chadema na hivyo kuipa ccm nafasi ya kuongoza na kutawala vizuri...lakini chini ya capet kuna mkakati mzito wa kumpoteza kabisa zitto kutoka kwenye siasa....awepo awepo tu...hili ndilo lengo la 'familia''( mwaka huu akigombea na kushinda sijui) na hili yeyye binafsi halifahamu maana mpaka sasa anapokea mgao wa kuendeshea shughuliza chama chake kipya....ufadhili huu ni wa mda mfupi ndani ya mwaka huu....

atawahadaa wengi kwamba anapata wabungwe zaidi ya 50 watahamia chama chake na kwamba ndio wanaokifadhili chama chake....si kweli..kuhama watahama hasa wale wasio na misimamo wanaofata upepo lakini kusema kwamba kwa sasa anapata ufadhili wa pesa toka wa wabunge ni uongo.....

kwa sasa atavuma sana.....na wengi watamuona kuwa ndilo suluhisho la matatizo na watajiunga nae lakini hatafika mbali....maana hata huko ACT bado anachovya bakuli moja na mtu anayemwamini kuwa ni rafiki na nduguye lakini kumbe ana lengo lingine.....

ACT lengo lake ni moja kuvimaliza nguvu vyama vya upinzani hasa chadema na kuipa ccm uwezo kuendelea kutawala bila bugdha....watu wa kawaida walioko ACT hawalijui hili....hili ndilo lengo alilopewa na ''familia''.....

kweye paji la uso wa zitto kuna mhuri mkubwa wa price tag...ananunulika kirahisi....
 
Sisi ndiyo wananchi wenyewe na ndiyo tunaomuhukumu msaliti huyu

Huna haja ya kuwa na hofu basi, maana wewe na mimi ndio wananchi hao, tulia kama ana makosa tutamhukumu tu na kama alionewa waliomuonea tutawahukumu pia.
 
Watu wote wenye uwezo mdogo wa kufikiri humuunga mkono zitto kama wewe. kama uwongo jibu swali lifuatalo:- Tanzania ilipata uhuru mwaka gani?akawa wanashadadia afukuzwe! mara hatumtaki.Tatizo akili kubwa haiwezi kutawaliwa na akili ndogo,chadema ukitaka uwe juu lazima uwe na cfa ya ukilaza kama dj.[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom