Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

Aisee jamani tumeshachoka sasa, zito mmefukuza kaondoka bado maneno hayaishi?

Hivi mfano umempa talaka mke wako alafu akaondoka ww uliyetoa talaka unalalamika tuu, mara oohh ulikuwa unanisaliti, maara oohh mwananmke gani wewe? sasa talaka umeshatoa na mtalaka kaondoka wewe bado unalalamika nini?

Nyie Chadema acheni upuuzi tumeshawachoka na kulialia kwenu haaa
Mwache ajibu maswali yake. Si ndiyo raha ya ukubwa?
 
Hizo ni tuhuma,mimi nikisema wewe umetembea na mke wa jirani yako tayari ni tuhuma,kwa hiyo swala sio kumpa mtu tuhuma swala zina ukweli gani na mtuhumiwa anapewa vp nafasi ya kujitetea.Kumbuka Tuhuma Zote alizopewa but He was not given a chance ili ajitetee.Usinirudishe huko nyuma kuna mengi sana Chadema wamemfanyia huyu kijana ndivo sivyo ilimradi tu wenye chama yao yaende.

Uongo ukiachwa usemwe mara nyingi huwa ni ukweli.
Zito zuberi kabwe aliitisha press conference mara mbili kuzungumzia sakata lake na chadema. Hakuthubutu kukana haya ninayotaka yajibiwe humu ndani bali anatapatapa kama unavyofanya wewe humu. Kwa hiyo hakusingiziwa ni ukweli alipiga hizo pesa. Alimgawia Kitila, na katibu wa sasa wa ACT.
Amka bro.
 
Nani anaangaika na Zitto?.Zuberi yeye ndio yupo kila siku kujitangaza kwenye vyombo vya habar. Ukawa & M4C umewasikia wapi wakiongelea Act hizo mbwembwe na mwisho ndio unakuja.Mzee wa Vunjo alikua na watu tena watu kweli leo hii anaishi kwa kuomba asaidiwe baada na kuona kakaliwa koon na Mbatia kwahiyo msaliti ajiandae kisaikolojia kujiunga Ccm maana hakuna upinzan ambayo sio ya chama chake cha kiongozi mkuu watapo mpokea
 
Mbona hakuna kiongozi wa kitaifa anayemtukana ZZK?Mnaanzisha mada mnajijibu wenyewe,kujenga chama si kazi ndogo msaidieni zito aijenge ACT,Mpeni ushauri asiijenge kigoma tu,Kitaonekana ni chama cha waha.Acheni kutafuta tension ya wanachadema kana kwamba zitto tangia atoke chadema chama kinadumaa!!Watanzania wanaitaji mabadiliko na wengi wapo vijijini na sio tabata relini(mwananchi) wala lumumba st
 
Ni mwendawazimu pekee anayeweza kukataa ukweli niloandika hapo juu. Sikuwa na nia ya kumchafua yeyote bali labda kuona tunapata ukweli ulionyuma ya pazia. Nachukia baadhi yenu mnaofanya dhiaka kwa hili. Je zito ni msaliti kwa viwango hivyo nilivyoandika?


Zitto kawapanga kweli wateteaji humu mitandaoni. TAWA hili halina ubishi, napata ukakasi kwa Mkuu wa Chama cha ACT, inawezekana kweli acronym nyingine ya ACT ni Against CDM Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Tangu zitto ahamie ACT na kukaribishwa kwa kishindo kikuu kumeibuka nguvu kubwa ya machadema kumchafua,kumuita majina yote mabaya na kuacha kazi yao ya msingi ya kukijenga chama chao cha kibaguzi na kilaghai.

Ni chadema hao hao waliomfukuza kwenye chama chao lakini hawajaridhika baada ya kujiunga na ACT. Kila siku hapa JF wafuasi wa chadema wanaanzisha thred lukuki zinazomhusu zitto huku wakimchafua..nyie mna roho za fisi mngetulia na chama chenu naye ajenge chama chake kipya.

MASWALI.
1.Je. mlitaka Zitto afe?
2.mlitaka asifanye siasa?
3.mnaitaka roho yake ndipo mridhike?
4.mnataka nini hasa kutoka kwake? mmesahau nini kwake?
5.mnataka arudi chadema??
hebu muwe na akili ya ziada mjiongeze tafadhali
Mmewashika pabaya wanaweweseka sasa
 
Zitto kawapanga kweli wateteaji humu mitandaoni. TAWA hili halina ubishi, napata ukakasi kwa Mkuu wa Chama cha ACT, inawezekana kweli acronym nyingine ya ACT ni Against CDM Tanzania.

Huo ndio ukweli brother.
ACT = Against Chadema Tanzania
 
Last edited by a moderator:
Dah! Naomba nikwambie kitu, chadema si chama cha propaganda. Ndiyo wameshachemka

Inabidi watafute watu wa tactics na propaganda wanaoweza kuavusha kabla haijawa too late to make changes
 
Kwa taarifa yako hilo ni li-jizi na li-fisadi papa, halina lolote zaidi ya kutafuta mrija wa kuwaibia wa TZ!
 
Uongo ukiachwa usemwe mara nyingi huwa ni ukweli.
Zito zuberi kabwe aliitisha press conference mara mbili kuzungumzia sakata lake na chadema. Hakuthubutu kukana haya ninayotaka yajibiwe humu ndani bali anatapatapa kama unavyofanya wewe humu. Kwa hiyo hakusingiziwa ni ukweli alipiga hizo pesa. Alimgawia Kitila, na katibu wa sasa wa ACT.
Amka bro.

Usinifanye kama mimi niko Msumbiji niko Tanzania hii hii na mimi nasikiliza vyombo vya habari hivi hivi,Zitto ameshakana tuhuma Zote zaidi ya mara moja na alichokuwa akitaka cha mwisho ni kupewa nafasi ya kujitetea ndani ya chama achana na hiyo ya kuongea na vyomvo vya habari,hivi unajua msingi wa yeye kwenda mahakamani?
 
ACT mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe. Jengeni chama chenu msitafute kiki kupitia chadema. Kujenga chama sio kazi ndogo muulizeni Hashim Rungwe au Dovutwa.

wewe hao unaowataja ni wakulinganisha na ZZK kweli,kama sio basi jua kujenga chama kwa mtu mwenye uwezo wa ZZK inawezekana.
 
Usisahau kuwaelimisha watu uanopata nafasi ya kuongea nao wengi bado wako gizani kisha focus kwenye positive ideas zinazojenga mabadiliko.

Mbona mnahofu hivyo?Watanzania sio wajinga, kama Zitto ni mtu wq hovyo wala hawatamsikiliza lakini wakimsikiliza na kumuamini basi mjue hakuwa na makosa na alionewa.

Waacheni wananchi watoe hukumu, nyie subirini hapa kutoa mrejesho wa wananchi watakavyomkataa au kumpokea huko site.Itherwise HAKUNA MWANASIASA AJAYEWEZA KUULIWA KISIASA NA MWANASIASA MWINGINE, NA ZITTO PIA HAWEZI KUULIWA KISIASA KWA SABABU WATU FULANI WANATAKA AFE KISIASA, ATAKUFA KISIASA KAMA ATASHINDWA YEYE BINAFSI KUWASHAWISHI WANANCHI KUWA NI MTU MAKINI MWENYE MASLAHI YA UMMA NA ANAYESTAHILI KUAMINIWA.Siasa is very simple.Mtapoteza muda wetu bure kwa chuki zisizo na maana.
 
Hakuna cha hoja ya mantiki wala nini na hakuna anae mfuatilia huyo kima wenu wa CCM B. Kinacho pingwa hapa ni udhalimu wa ccm, hiii ni pamoja na chama chao cha act walichokianzisha.

Naomba kwa Mungu hiki chama kisipate mbunge hata mmoja. Ni chama chenye vijana wezi na walafi kuliko ccm mama

1.Kwani ukibishana kwa hoja bila matusi siku haiishi vizuri
2.You are weak-minded,kawaida strong-minded people huwa hawaombei washindani wao wafe bali huomba Mungu awape nguvu za kupambana na washindani wao.
 
Usinifanye kama mimi niko Msumbiji niko Tanzania hii hii na mimi nasikiliza vyombo vya habari hivi hivi,Zitto ameshakana tuhuma Zote zaidi ya mara moja na alichokuwa akitaka cha mwisho ni kupewa nafasi ya kujitetea ndani ya chama achana na hiyo ya kuongea na vyomvo vya habari,hivi unajua msingi wa yeye kwenda mahakamani?

Inawezekana ulitazama TBC na ulisoma uhuru, zito kabwe hakuwahi kujibu tuhuma hizi ninazozidai humu. Kama unaushahidi weka hapa nikufuate unipe kadi ya Against Chadema Tanzania
 
Back
Top Bottom