Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,232
- 18,401
Hilo ndilo hasa tunapaswa kujifunza kutoka kwake,ni ujinga kujifunza kwa failure mwenzako,tuwaige waliofanikiwa,siyo waliofeli,asanteTujaribu kujifananisha na kapuku wenzetu, Sweden ni nchi imejengwa kwa zaidi ya miaka 1649, tunafananisha na vinchi vina miaka 60. Taifa lá Sweden ni la zamani kuliko Uingereza.