Kwanini wenzetu Sweden wanapenda kulipa kodi?

Kwanini wenzetu Sweden wanapenda kulipa kodi?

Tujaribu kujifananisha na kapuku wenzetu, Sweden ni nchi imejengwa kwa zaidi ya miaka 1649, tunafananisha na vinchi vina miaka 60. Taifa lá Sweden ni la zamani kuliko Uingereza.
Unamaanisha Tanzania imeanza Ku exist miaka 60 iliyopita?
 
The Nordic Way - BBC Reel

Wananchi wenzetu huko Sweden wamefanikiwa kujenga a Welfare State.

Nchi ambako Shule ni bure hadi Chuo Kikuu, Matibabu ni bure, Usafiri na nyumba ni sawa na bure.

Wazazi wakijifungua matibabu na matunzo ni bure.

Nasema bure kwa maana kodi wananchi wanazotoa zinalipia huduma zote hizo.

Nimefika Sweden kwa hiyo najua haya ninayosema ni kweli.

Tanzania kodi zetu
Hilo ndilo hasa tunapaswa kujifunza kutoka kwake,ni ujinga kujifunza kwa failure mwenzako,tuwaige waliofanikiwa,siyo waliofeli,asante
The Nordic Way - BBC Reel

Wananchi wenzetu huko Sweden wamefanikiwa kujenga a Welfare State.

Nchi ambako Shule ni bure hadi Chuo Kikuu, Matibabu ni bure, Usafiri na nyumba ni sawa na bure.

Wazazi wakijifungua matibabu na matunzo ni bure.

Nasema bure kwa maana kodi wananchi wanazotoa zinalipia huduma zote hizo.

Nimefika Sweden kwa hiyo najua haya ninayosema ni kweli.

Tanzania kodi zetu vipi?

Wanaamini katika mfumo wa utawala waliojiwekea na matumizi ya mfumo husika. Hapo ndo Uzalendo hauhitaji kusisitizwa wala hauhitaji elimu.
 
Sio rahisi watanzania kulipa kodi kwa sababu hata serikali haitaki walipe ili waipigie kura.

Halafu baadae serikali itaenda kukopa na kulamba wazungu makalio ili wapewe misaada.

Umasikini wa nchi hii ni matokeo ya ccm na hakuna namna watafanya kurekebisha hilo.
Umenifikilisha Sana mkuu!!
 
Wanaamini katika mfumo wa utawala waliojiwekea na matumizi ya mfumo husika. Hapo ndo Uzalendo hauhitaji kusisitizwa wala hauhitaji elimu.
Ni kweli.
Matumizi ya fedha zilizokusanywa zinagusa Moja kwa moja maisha ya mchangiaji kodi.
 
Hizi ndiyo akili za kishoger sasa, nchi haipaswi kuendeshwa na akina lissu au akina magufull!! Inaongozwa kwa mipango ya muda mrefu na mfupi,katiba, we dont need great peoples,we need great institution! Haya mambo ya mtu na familia yake kuchomekea mawazo yao kwenye utendaji wa nchi ndiyo yanagharimu nchi zetu hizi masikini
Institution gani kwa waafrika ninyi ambao mnalazimishwa kuwa mashoga nanyi mnachekerea Kama bosi wenu Lisu.
Hao ndo watafata great institution?
Umechemka dogo
Hizo great institution zitafuata baada ya kuwekwa sawa akili zenu nyie ambao bado mnategemea kulishwa na nchi nyingine.
 
The Nordic Way - BBC Reel

Wananchi wenzetu huko Sweden wamefanikiwa kujenga a Welfare State.

Nchi ambako Shule ni bure hadi Chuo Kikuu, Matibabu ni bure, Usafiri na nyumba ni sawa na bure.

Wazazi wakijifungua matibabu na matunzo ni bure.

Nasema bure kwa maana kodi wananchi wanazotoa zinalipia huduma zote hizo.

Nimefika Sweden kwa hiyo najua haya ninayosema ni kweli.

Tanzania kodi zetu vipi?
Siyo Sweden pekee ni Ulaya yote ambako wajibu wa raia kwa Jamii ni kulipa kodi Serikalini kuiwezesha kutimiza wajibu wake kwa Jamii wa kuwaletea raia maendeleo tofauti na kwetu raia walipe kodi Serikalini, maendeleo wajiletee wenyewe, wajenge Shule kwa ajili ya watoto wao, zahanati, barabara nk. Kutokana na mifumo hii tofauti ndo maana raia wa Sweden anakimbia kwenda kulipa kodi kuwa sababu anajua manufaa.yake lakini raia wa Tanzania anakimbia kukwepa kulipa kodi kwa sababu nae anajua kodi yake itatumika vibaya. Raia wa Sweden akikosa huduma anayotakiwa kupata, anakwenda kuwaona wahusika Serikalini watoe maelezo kwa nini ananyimwa haki yake kama mlipa kodi atarudi ameridhika lakini kwetu ataomba fadhila kwa mpenda wanyonge na asipate. Mkulima wa korosho Mtwara bila msaada toka Serikalini akiuza mazao yake analipa kodi ambayo inatumika kununua madege na kujenga Uwanja Chato au daraja, mkulima akikosa hata maji safi na salama. Mfanyakazi Mshahara kidogo kodi kubwa ya kununulia magari ya kifahari ya viongozi lakini akiomba maji safi na salama katika eneo lake anaambiwa maendeleo yanaletwa na wananchi wenyewe Serikali ina shughuli nyingi. Kwetu kodi yetu imezalisha mafisadi, wezi si wa kodi zetu tu bali mali za Umma pia na wala rushwa wanaotumia nafasi zao kuwauzia wananchi huduma zinazotakiwa zitolewe bure na Serikali. Awamu hii inatarajiwa kuifanya Tanzania kuwa kama Ulaya!
 
Tujaribu kujifananisha na kapuku wenzetu, Sweden ni nchi imejengwa kwa zaidi ya miaka 1649, tunafananisha na vinchi vina miaka 60. Taifa lá Sweden ni la zamani kuliko Uingereza.
Lakini kumbuka mwaka 1960 tulikuwa tukifanana uchumi,gap lilianza baada ya kukosa viongozi wenye maono.
 
Hivi unadhani vijana kuambiwa tujiajiri usidhani kwamba wanatupenda sana na kua wanatuonea huruma tukikaa bila kazi. Ila wanachowaza wao ni mjiajiri ili wawapige kodi na ushuru, na ndio maana miaka nenda rudi wafanya biashara wadogo wanalia mazingira mabovu lakini hayaboreshwi ila means za kukusanya mapato zinaboreshwa.
Umasikini wetu umefanyizwa makusudi kimkakati kwamba Ukiwa na maisha Bora huwezi kuwa masikini, masikini ndio mtaji wa ccm kuendelea kuwepo.Thus maneno ya majukwaani ni matamu kuliko matendo yao halisi.
 
Kama kodi yako inatumika kuwanunua kina waitara,kina covid 19, kurudia chaguzi feki za kuifurahisha ccm,kujengea kwao, kujenga vipaumbele vyao na sio vya wananchi, kununua v8 , kuwalipa wasiojulikana,ambazo si tija ni mzigo kwa mlipa Kodi Hali walipa kodi wanakufa kwa kukosa mia 5 ya Panadol, watoto wanakaa chini inashawishi vipi sasa kulipa.
 
Hapa bongo shida , wewe unaona ticket za electronic tu watu wanapinga, bado hujaenda duka la jirani anakuuzia mkate juu kwa juu, kodi itafikaje
Kodi kubwa komozi still unufaiki nayo moyo utoke wapi.
 
Kodi kubwa komozi still unufaiki nayo moyo utoke wapi.
Haha ulaya kuna ukwepaji kodi, na pia kodi kubwa kama hiyo welfare state, sema adhabu zao ni Kali na system au mifumo yao ya record keeping ni mzur, hivyo kuondoa uwezekano wa mtu kuwa na tabia au fikra kama zako
 
Wenzetu kodi inayokusanywa inatumika kwa vizuri hata mwananchi anaridhika
Huku kodi utozwe, mazingira ya mwananchi mlipa kodi hayaboreshwi zaidi ya kodi hizo kuwanufaisha watu wachache
Ujanjajanja tu wa baadhi ya watu wanaosimamia
Fedha hizo kupiga tu
Ndomaana namba 1 kutwa kulia nao

Ova
Ni sababu pia. Serikali haina magari yake, kila kiongozi wa serikali anatumia gari lake binafsi. Inapobidi kutumika gari kwa shughuli za ofisi basi litakodishwa na mhusika ataendesha.
 
Kuna mwaka fulani rais wa Tanzania alifanya ziara Finland, alikuwa na msafara wa kutosha tu, msafara wake ulikuwa na gari 2, gari la rais - ambalo ni la kukodisha na mini bus waliopanda mawaziri, wakurugenzi, nk wetu waliokuwa ziarani.
 
Haha ulaya kuna ukwepaji kodi, na pia kodi kubwa kama hiyo welfare state, sema adhabu zao ni Kali na system au mifumo yao ya record keeping ni mzur, hivyo kuondoa uwezekano wa mtu kuwa na tabia au fikra kama zako
Angalau mlipa Kodi anao uwezo wa kuhoji matumizi yake.
 
The Nordic Way - BBC Reel

Wananchi wenzetu huko Sweden wamefanikiwa kujenga a Welfare State.

Nchi ambako Shule ni bure hadi Chuo Kikuu, Matibabu ni bure, Usafiri na nyumba ni sawa na bure.

Wazazi wakijifungua matibabu na matunzo ni bure.

Nasema bure kwa maana kodi wananchi wanazotoa zinalipia huduma zote hizo.

Nimefika Sweden kwa hiyo najua haya ninayosema ni kweli.

Tanzania kodi zetu vipi?
Shida Tanzania ni moja, huwezi kulipa kila kitu ulichoambiwa ukawa na uhakika kama umemaliza. Yani mambo hayaeleweki. Unaweza llipa kila ulichoambiwa lakini bado vyombo vyenye mamlaka vikasema unadaiwa unakwepa kodi, na kila mara wanaibuka na jambo jipya. Ndiyo maana wafanyabiashara nao wajanja wajanja
 
Kuna mwaka fulani rais wa Tanzania alifanya ziara Finland, alikuwa na msafara wa kutosha tu, msafara wake ulikuwa na gari 2, gari la rais - ambalo ni la kukodisha na mini bus waliopanda mawaziri, wakurugenzi, nk wetu waliokuwa ziarani.
Angalia safari za raisi mkoani, unakuta kaongozana na cabinet ya mawaziri, wakurugenzi wa wizara na team ya watu. Gharama ni kubwa sana halafu wanaenda kuzindua shule na wakati huo huo kuna shule haina madarasa, wakati kujenga darasa moja na madawati ni milion 40, lakini matumizi yao kwa siku na hiyo mi v8 ni zaidi ya milioni mia.
Shida yetu siyo pesa, ila ni vipaumbele. Hao wa finland na sweden maisha ya viongozi wao ya kawaida tu hawaongozani na misafra isiyo na sababu
 
The Nordic Way - BBC Reel

Wananchi wenzetu huko Sweden wamefanikiwa kujenga a Welfare State.

Nchi ambako Shule ni bure hadi Chuo Kikuu, Matibabu ni bure, Usafiri na nyumba ni sawa na bure.

Wazazi wakijifungua matibabu na matunzo ni bure.

Nasema bure kwa maana kodi wananchi wanazotoa zinalipia huduma zote hizo.

Nimefika Sweden kwa hiyo najua haya ninayosema ni kweli.

Tanzania kodi zetu vipi?
Mkuu wenzetu wapo vzr kwenye issue nzima ya mfumo wa money monitoring
Wana nidhani ya hali ya juu ya pesa
 
The Nordic Way - BBC Reel

Wananchi wenzetu huko Sweden wamefanikiwa kujenga a Welfare State.

Nchi ambako Shule ni bure hadi Chuo Kikuu, Matibabu ni bure, Usafiri na nyumba ni sawa na bure.

Wazazi wakijifungua matibabu na matunzo ni bure.

Nasema bure kwa maana kodi wananchi wanazotoa zinalipia huduma zote hizo.

Nimefika Sweden kwa hiyo najua haya ninayosema ni kweli.

Tanzania kodi zetu vipi?
Kwanza mifumo ya KODI siyo rafiki.
Pili TRA wanafanya kazi kama polisi/ wanakusanya kodi kihasibu zaidi
Tatu rushwa . Mtu anayefanya kazi TRA maisha yake ni tofauti kabisa na mwalimu japo wanaweza kuwa wamesema darasa moja
 
Angalau mlipa Kodi anao uwezo wa kuhoji matumizi yake.
Hata hapa unaweza kuhoji , tatizo ni wewe mwenyewe kuto chagua Diwani au Mbunge aliye competent .
Sasa unategemea nini hapo. Ulime machungwa, utegeme kupata maembe
 
Back
Top Bottom