Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 5,277
- 7,972
Liberata Mulamula yuko fully loaded Kama Minister wa Foreign. Kalamaganda alikuwa mbabaishaji na isitoshe alikuwa anapenda sifa kama MwendazakeNakumbuka Waziri Kabudi wakati yuko Mambo ya Nje alikuwa akitoa ufafanuzi mrefu kila amalizapo kuongea na Balozi yeyote kutoka ughaibuni.
Lakini kwa Waziri Mulamula imekuwa tofauti yeye huwa na maelezo mafupi tu ya kile kilichozungumzwa kwa mfano jana baada ya kuongea na Balozi wa Marekani.
Ufafanuzi mrefu unasaidia kubaini janjajanja za hawa mabeberu.
Kazi Iendelee!