Kwanini Waziri Mulamula akimaliza kuongea na Mabalozi wa nje huwa hatupi ufafanuzi kama alivyokuwa akifanya Profesa Kabudi?

Nakumbuka Waziri Kabudi wakati yuko Mambo ya Nje alikuwa akitoa ufafanuzi mrefu kila amalizapo kuongea na Balozi yeyote kutoka ughaibuni.

Lakini kwa Waziri Mulamula imekuwa tofauti yeye huwa na maelezo mafupi tu ya kile kilichozungumzwa kwa mfano jana baada ya kuongea na Balozi wa Marekani.

Ufafanuzi mrefu unasaidia kubaini janjajanja za hawa mabeberu.

Kazi Iendelee!
Mnapenda kuendelea kudanganywa kama "Mtoamacho" alivyokuwa anafanya?
 
... diplomasia gani kila ukimaliza kuongea na mabalozi unaitisha press "kuwatukana"? Mara mabeberu sijui wanyonyaji, n.k. Jamaa chenga sana!
Jamaa walikuwa wanzingua sana!

Ilikuwa aibu tupu! Hawa viongozi wa kuokota majalalani hawafai kabisa!
 
kabudi asipotoa mrejesho mtajuaje kama kaongea na wazungu? tena wote wanamsikiliza yeye tu mchezo.
 
Huyo mama ni PRO,she is the professional diplomat,she is experienced operator in foreign affairs,sio kila kitu kinasemwa,
Kabudi wa jalalani,ni Mwalimu tu, hajuhi chochote kuhusu diplomasia ndio maana alikuwa anatuambua macho tu kama Ustaadh kapigwa dole
 
Mama mulamula ni mwanadiplomasia nguli wala hahitaji kufananishwa na Prof.Majalalani anajua anachokifanya kimsingi kakulia foreign kazeekea huko sio yule umwa mtoa mimacho tu , mimi nimewadharau sana hawa wanaojiita professeri , yani imagine limtu linajiita somi huku linashikiwa akili na JIWE, wamewakosea sana watanzania hao umbwa
Andika maoni yako kwa lugha ya staha, bado utaeleweka tu.
 
Nakumbuka Waziri Kabudi wakati yuko Mambo ya Nje alikuwa akitoa ufafanuzi mrefu kila amalizapo kuongea na Balozi yeyote kutoka ughaibuni.

Lakini kwa Waziri Mulamula imekuwa tofauti yeye huwa na maelezo mafupi tu ya kile kilichozungumzwa kwa mfano jana baada ya kuongea na Balozi wa Marekani.

Ufafanuzi mrefu unasaidia kubaini janjajanja za hawa mabeberu.

Kazi Iendelee!
Nakushuru Mkuu wa kuleta mada hii. Mungu akubariki sana ndugu yangu kwa kuamsha vichwa vya wazalendo wenzako.

Mimi kusema ule ukweli sina imani kabisaa na huyu waziri. Sioni kama ni mzalendo wa kweli kama vile alivyokuwa Prof. Kabudi na naona yeye ni ile jamii ya watu ambao wanapenda sana kuwatukuza wazungu na kuwaona wao ni bora kuliko sisi (wao ni miungu mtu), I am sorry kwa kuwaza hivyo. Naomba hapa nikufafanulie kidoogo. Kama kuta kuwa na watu wenye mtazamo mwingine mbali na wangu mnaweza mkanisahihisha, kwani mimi ni siku hiyo moja tu ndiyo niliyokutana na Prof. Kabudi.

Prof. Kabudi kachukua PhD yake Ujerumani na kwa jinsi nilivyo mwona inawezekana akawa anazungumza vizuri sana kijerumani kuliko hata kiingereza. Wakati akiwa huko masomoni nina uhakika amewasoma vizuri sana wazungu na anawaelewa vizuri sana. Kwa jinsi nilivyo msoma naweza sema kuwa yeye ni kati ya watanzania wachache ambao wanaweza wakamsikiliza mzungu kwenye mazungumzo na kujua au kutambua moja kwa moja kuwa huyu ni mzungu wa aina gani na lengo lake ni lipi? Ama kweli ni watu wenye uelewa mpana sana wa binadam.

Mimi nashukuru kupata bahati ya kuketi naye kwenye mazungumzo na wasomi wengine huko Berlin nchini Ujerumani, kwangu ilikuwa ni mara ya kwanza kumsikia na kumwona, wakati huo bado akiwa Prof. wa Chuo kikuu cha DSM, akitusimulia kuhusu mambo ya muungano wetu na muungano wa wajerumani na akifafanua tofauti za faida na hasara za hizo systems mbili za muungano. Mimi sikumjua kabisaa! Na kusema kweli nilifarijika sana na darasa lake siku hiyo kiasi kwamba niliuona uzalendo wake kwa nchi yetu. Katika mazungumzo hayo nami sikuwa domant, nilihoji sana kiasi kwamba ikafika wakati akatambua kuwa mimi ni mtu wa aina gani na kwa hali hiyo naweza sema niliamsha interest katika nafsi yake kiasi kwamba ikafika wakati kila nilichokuwa nikihoji nilipata jibu ambalo nilifarijika nalo. Kuanzia hapo nilitambua uwezo wake katika kuutambua ulimwengu, kwani nami kidogo historia ya ulimwengu naipata.

Kutokana na mazungumzo yale mimi sikujisikia amani moyoni, nilijiuliza sana, kwanini watu kama hawa hawapewi madaraka makubwa ya uongozi serikalini? Namshukuru mungu alisikia kilio changu, kwani hatimaye Hayati Rais wa wanyonge Dr. JPM alimteua kuwa waziri wa sheria na katiba. Binafsi nilifarijika sana na uteuzi ule na baadae faraja ikaongezeka zaidi baada ya kusikia amekuwa waziri wa mambo ya nchi za nje, kwani nilitambua kuwa sasa yuko kwenye element yake. Na nafikiri hiyo ndiyo sababu iliyo mfanya hata Hayati Rais wetu mpendwa JPM kumpa uwaziri wa nchi za nje.

Prof. Kabudi ni thawabu ya watanzania kutoka kwa mungu. Watakao mkebei yeye ni kwamba kwa vile hawamjui yeye na hali halisi ya ulimwengu na mwenendo wa wazungu. Na kwa hali hiyo naweza sema tena kwamba sina uhakika kama Rais wetu wa sasa Mama Samia Suluhu Hassan kweli huyu jamaa anamjua vizuri. Angemjua vizuri sidhani kama angechukua maamuzi kama hayo aliyo yachukua. Simpigii debe, ila ningewaomba kaane naye na jaribuni kumhoji maswali mazito yanayo husu ulimwengu na tabia za watu tofauti. Mtafarijika sana na kupata darasa ambalo hamtalisahau.
 
Magufuli kaacha wehu wengi sana including you
 
Yule alikuwa analazimisha kukubalika, kama alivyofanya baada ya uchaguzi eti wanaweka kipindi maalum cha waliotoa pongezi kwa Rais!!!
 
Nimekuelewa bwashee!
 
Kuna tofauti baina ya weledi na propaganda... tofauti zaidi ni baina ya kujiamini na kutojiamini... saa zingine kuaminisha "uongo" ili ufanane na ukweli hubidi maelezo yawe marefu na sauti iwe kali huku macho yametumbuliwa...
kama namuona kabudi.....
 
Bora anyamaze afanye kazi kuliko tuliyokuwa tunaambiwa ilhali ni uongo na uzandaki mtupu.

Naona siku hizi ni "kazi iendelee" na sio "maendeleo hayana chama".

Taratibu mtapoa tu daadadeki zenyu. Buku 7 bado zinatoka?
Mnakuwaga mnachekesha, hao bado ni CCM.
 
Bora anyamaze afanye kazi kuliko tuliyokuwa tunaambiwa ilhali ni uongo na uzandaki mtupu.

Naona siku hizi ni "kazi iendelee" na sio "maendeleo hayana chama".

Taratibu mtapoa tu daadadeki zenyu. Buku 7 bado zinatoka?
Mnataka kuambiwa ili mjue kwani hii nchi yenu? Karaghabao. Mnategemea nn kutoka kwa wamarekani ama masharti yao na masrahi yao

Reference nzuri ya Waziri wa Mambo ya Nje ni Jakaya Kikwete, Hayati Benjamin Mkapa na Hayati Ahmed Hassan Diria sio Palamagamba Mtanzania mwenye asili ya Dodoma!

Mula mula anafanya kama walivyokuwa wakifanya Magwiji hao niliowataja
Sawa kabisa.Huyo ni mgogo, kajifanya mtu wa kilosa ili apate ubunge.Mama Mulamula anaheshimika duniani kote.ulitaka akwambie nini?halafu unawataja wamarekani mabeberu.isingekuwa hao mabeberu hata hiyo simu usingeijua.acheni ushamba.mnatutia aibu.
 
... diplomasia gani kila ukimaliza kuongea na mabalozi unaitisha press "kuwatukana"? Mara mabeberu sijui wanyonyaji, n.k. Jamaa chenga sana!
Ukishamaliza kuongea nao, unakuja kutangazia umma namna ulivyo wachana.

.........Nimeongea na balozi macho kwa macho, laivu bila tashwi tashwi. Nimewaambia hii ni nchi huru lazima tuheshimiane"
 
Profesa Palamagamba Kabudi alikuwa hatoi nafasi mgeni wake pia kuongea au kujibu maswali ya waandishi wa habari.

Mara nyingi baadaye tulisikia ofisi za World Bank , AfDB African Development Bank, EU n.k kadhalika wakitoa ufafanuzi siku chache baadaye baada ya wao kusoma, kuona ktk TV , Twitter na magazeti taarifa potofu zisizoelezea kinaga ubaga mazungumzo yao na Prof. Kabudi.

Kwa kifupi taarifa za kuambiwa na Prof. Palamagamba Kabudi inabidi usiziamini maana ni propaganda zisizokaribia ukweli wakati propaganda inatakiwa iwe inakaribia ukweli kwa wote.
 
Nakumbuka Waziri Kabudi wakati yuko Mambo ya Nje alikuwa akitoa ufafanuzi mrefu kila amalizapo kuongea na Balozi yeyote kutoka ughaibuni.

Lakini kwa Waziri Mulamula imekuwa tofauti yeye huwa na maelezo mafupi tu ya kile kilichozungumzwa kwa mfano jana baada ya kuongea na Balozi wa Marekani.

Ufafanuzi mrefu unasaidia kubaini janjajanja za hawa mabeberu.

Kazi Iendelee!
Fala sana wewe boya,kizazi cha nyoka mbwa wewe,kabudi alikuwa liongo Kama Magufuli,hao mabeberu wanafanya nini Tanzania? Kama ni adui zenu wafukuzeni wanafiki kondoo pori mbwa,shenzi zenu mbwa nyie....
 
Back
Top Bottom