Kuna tofauti baina ya weledi na propaganda... tofauti zaidi ni baina ya kujiamini na kutojiamini... saa zingine kuaminisha "uongo" ili ufanane na ukweli hubidi maelezo yawe marefu na sauti iwe kali huku macho yametumbuliwa...Nakumbuka Waziri Kabudi wakati yuko Mambo ya Nje alikuwa akitoa ufafanuzi mrefu kila amalizapo kuongea na Balozi yeyote kutoka ughaibuni.
Lakini kwa Waziri Mulamula imekuwa tofauti yeye huwa na maelezo mafupi tu ya kile kilichozungumzwa kwa mfano jana baada ya kuongea na Balozi wa Marekani.
Ufafanuzi mrefu unasaidia kubaini janjajanja za hawa mabeberu.
Kazi Iendelee!
Huyo mama ni PRO,she is the professional diplomat,she is experienced operator in foreign affairs,sio kila kitu kinasemwa,Nakumbuka Waziri Kabudi wakati yuko Mambo ya Nje alikuwa akitoa ufafanuzi mrefu kila amalizapo kuongea na Balozi yeyote kutoka ughaibuni.
Lakini kwa Waziri Mulamula imekuwa tofauti yeye huwa na maelezo mafupi tu ya kile kilichozungumzwa kwa mfano jana baada ya kuongea na Balozi wa Marekani.
Ufafanuzi mrefu unasaidia kubaini janjajanja za hawa mabeberu.
Kazi Iendelee!
Pamoja na kuwa shemeji yake mzee Ruksa lakini Diria alikuwa Waziri anayejitambua, nilimkubali sana!Reference nzuri ya Waziri wa Mambo ya Nje ni Jakaya Kikwete, Hayati Benjamin Mkapa na Hayati Ahmed Hassan Diria sio Palamagamba Mtanzania mwenye asili ya Dodoma!
Mula mula anafanya kama walivyokuwa wakifanya Magwiji hao niliowataja
Sure Kabudi ni takataka kabisaMama mulamula ni mwanadiplomasia nguli wala hahitaji kufananishwa na Prof.Majalalani anajua anachokifanya kimsingi kakulia foreign kazeekea huko sio yule umwa mtoa mimacho tu , mimi nimewadharau sana hawa wanaojiita professeri , yani imagine limtu linajiita somi huku linashikiwa akili na JIWE, wamewakosea sana watanzania hao umbwa
Hahahaaaa..... SADC!Kabudi ni mpenda sifa, anataka credit hata kwenye masuala madogo. Kuingea na mabalozi ni Daily duty ya Waziri wa Mambo ya Nchi lakini kwa kabudi anatumia kama njia ya kufanya propaganda kumbukumbujinsi alivyoutumia mkutano wa SADC ambao ulikuwepo kiutaratibu lakini alifanya uonekane ameuleta yeye na boss wake kwasababu wanapendwa sana.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Yanaongelewa mambo ya Kimataifa, mambo makubwa sasa wewe Ubongo wako umezoea kusikiliza Uchambuzi wa Dr Kumbuka na Mwijaku si kukuonea.Nakumbuka Waziri Kabudi wakati yuko Mambo ya Nje alikuwa akitoa ufafanuzi mrefu kila amalizapo kuongea na Balozi yeyote kutoka ughaibuni.
Lakini kwa Waziri Mulamula imekuwa tofauti yeye huwa na maelezo mafupi tu ya kile kilichozungumzwa kwa mfano jana baada ya kuongea na Balozi wa Marekani.
Ufafanuzi mrefu unasaidia kubaini janjajanja za hawa mabeberu.
Kazi Iendelee!
Awamu ya 5 ilikuwa ya propaganda za uwongo kwaajili ya kuwahadaa wajinga. Ilikuwa ni awamu ya maneno mengi, matendo kiduchu.Nakumbuka Waziri Kabudi wakati yuko Mambo ya Nje alikuwa akitoa ufafanuzi mrefu kila amalizapo kuongea na Balozi yeyote kutoka ughaibuni.
Lakini kwa Waziri Mulamula imekuwa tofauti yeye huwa na maelezo mafupi tu ya kile kilichozungumzwa kwa mfano jana baada ya kuongea na Balozi wa Marekani.
Ufafanuzi mrefu unasaidia kubaini janjajanja za hawa mabeberu.
Kazi Iendelee!
Kwa hiyo mama waziri anaona aibu atatuelezaje watanzania matakwa ya wamrekani!?Mnataka kuambiwa ili mjue kwani hii nchi yenu? Karaghabao. Mnategemea nn kutoka kwa wamarekani ama masharti yao na masrahi yao mnadhani vimebadilika?
Nakumbuka Waziri Kabudi wakati yuko Mambo ya Nje alikuwa akitoa ufafanuzi mrefu kila amalizapo kuongea na Balozi yeyote kutoka ughaibuni.
Lakini kwa Waziri Mulamula imekuwa tofauti yeye huwa na maelezo mafupi tu ya kile kilichozungumzwa kwa mfano jana baada ya kuongea na Balozi wa Marekani.
Ufafanuzi mrefu unasaidia kubaini janjajanja za hawa mabeberu.
Kazi Iendelee!
Mulamula anajitambua,sio kama alieokotwa jalalani surveyNakumbuka Waziri Kabudi wakati yuko Mambo ya Nje alikuwa akitoa ufafanuzi mrefu kila amalizapo kuongea na Balozi yeyote kutoka ughaibuni.
Lakini kwa Waziri Mulamula imekuwa tofauti yeye huwa na maelezo mafupi tu ya kile kilichozungumzwa kwa mfano jana baada ya kuongea na Balozi wa Marekani.
Ufafanuzi mrefu unasaidia kubaini janjajanja za hawa mabeberu.
Kazi Iendelee!
Kwahiyo kukaa kimya ndio kuiva kidiplomasia au unamaanisha diplomasia ya jikoni kwamba tunyamaze tusubiri msosi mezani. Acheni ujuajiKabudi hakuwa Mwanadiplomasia alikuwa anabagaza tu
Alikuwa mshamba wa madaraka,ndiyo maana alikuwa anatumbua mimacho ili mwenda zake amuone.Je ethics za kidiplomasia zinaruhusu hicho kitu? Kabudi sio mwanadiplomasia
Alifanya vile kumfurahisha mwendazake ambaye hakujua thamani ya mahusiano ya Kidiplomasia. Na wachache kama wewe ndio mlifurahi kwa upuuzi aliokuwa akiufanya.Nakumbuka Waziri Kabudi wakati yuko Mambo ya Nje alikuwa akitoa ufafanuzi mrefu kila amalizapo kuongea na Balozi yeyote kutoka ughaibuni.
Lakini kwa Waziri Mulamula imekuwa tofauti yeye huwa na maelezo mafupi tu ya kile kilichozungumzwa kwa mfano jana baada ya kuongea na Balozi wa Marekani.
Ufafanuzi mrefu unasaidia kubaini janjajanja za hawa mabeberu.
Kazi Iendelee!
Huo ndio utendaji wenye tija sio misifa ya nduli na tashwishwi kumbe chini ya kapeti uongo na uozo mtupu!Nakumbuka Waziri Kabudi wakati yuko Mambo ya Nje alikuwa akitoa ufafanuzi mrefu kila amalizapo kuongea na Balozi yeyote kutoka ughaibuni.
Lakini kwa Waziri Mulamula imekuwa tofauti yeye huwa na maelezo mafupi tu ya kile kilichozungumzwa kwa mfano jana baada ya kuongea na Balozi wa Marekani.
Ufafanuzi mrefu unasaidia kubaini janjajanja za hawa mabeberu.
Kazi Iendelee!
$ ya wapi hii? Kama ya Zimbabwe sawa maana chama kilikamuliwa sana naskia lknKwa sasa ni $25 bwashee!