Kwanini Waziri Mkuu Kassim Majaliwa hatelezi?

MTU yeyeto anaeswali Na kukumbuka kupalilia makaburi ya ndugu zake Na pia afungae,huwa ni kiongozi bora mwenye utu Na kuwathamini wengine,hawezi lewa Madaraka, tofauti Na viongozi waumini wa ndumba
kama yule mfalme alokwenda malawi ziarani kumbe usiku kaenda kwenye ndumba
 
Mbele za Mungu na wanadamu, MH. MAJALIWA kwanza anatakiwa atunukiwe phd ya falsafa , huyu waziri ana hekhma sana, anawazidi wote, ana sura ya kiongozi na ndiye pekee 2020 atatuvusha kaanani, maana hapa tumerudishwa mwaka 84 pale nanii alipoamua kuachia nchi baada ya mabeberu kumwekea masharti.

huyu jamaa hakoseagi, kaambiwa atachapiwa shangazi zake akapiga kimya, angekuwa bashite lazma angejibunkwa kiburi cha hitler
 
Kwa katiba ya nchi hii - Waziri mkuu ni sawa na Remot Control hawezi fanya maamuzi bila mshika Remot - Rejea sakata la Korosho😎
 
Sababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
Tatizo lao hao waungwana ni kushindwa kuweka mipaka kati ya uongozi wa nchi na dini, huwa wanavichanganya hivyo vitu viwili na mwishowe wanavurunda.
 
Kuna jamaa nilikuwa naongea naye jana tukawa tunamzungumzia waziri mkuu... Jamaa akasema ni bora Magufuli aendelee naye awamu ya pili maana ameumudu uwaziri mkuu!
 
Usiende mbali mkuu ...Ally Hapi ni mkristo?
 
Napata faraja mno kuona namna viongozi wetu wa CCM wanavyokubalika.
 
Sababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
Umekariri vibaya sana jamaa ni mkristo..jina limekufanya uhisi ni muislamu hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…