Kwanini Wazanzibar hawatekwi na kupotezwa?

Kwanini Wazanzibar hawatekwi na kupotezwa?

Wale Mashekh wa uhamsho wamekamatiwa Zanzibar tuhuma zao nikama zipo Zanzibar👈

lkn wakaja kushtakiwa Bara na kuwekwa Lupango Ukonga
Dar es Sallam👈

Umewai kujiuliza kwanini

Mfano leo uyo Tundu Lissu Angeshtakiwa Zanzibar
kwa uhaini mngeridhika
nyinyi ❓️ uko kanisani kungekalika kwa uchohezi ‼️‼️

Sasa Wananchi wa Zanzibar walipotezea 👈

ndugu zao kuja kushtakiwa uku Bara kulinda mshikamano wetu👈

Na siku mmoja kiongozi yoyote kutokea Bara akishtakiwa Zanzibar mjue sio jambo jipya
yashatokea hayo ✍️
Inaonekana kama unafurahia matendo ya mhuni (mzanzibar) mwenzenu kututeka watanganyika kama Hmphrey polepole
 
Mikoa mingi hawakufa watu wazazi wenye akili
Walishashtuka na Uchochezi wa Makanisani mwao
Wakaona hapana 👈

wakawafungia watoto wao ndani ile Mo29

Lkn wazazi wengine wenyewe viazi vichwani mwao ndio kwanza walikuwa wanaimba
Samia must Go🤠
Sasa watoto wao wangeponaje kwa mfano ‼️‼️‼️
 
Inaonekana kama unafurahia matendo ya mhuni (mzanzibar) mwenzenu kututeka watanganyika kama Hmphrey polepole

Zimejibiwa hoja sio kufurahia
Jibu hoja
Wazanzibar wamevumilia mengi sana vipindi tofauti tofauti vya Watawala

Lkn hawakujenga chuki dhidi ya watu kutokea Bara miaka yote iyoo

Lkn nyinyi mnataka kuwaukumu Wazanzibar wote ‼️‼️

Sababu tu kiongozi katokea
Zanzibar🫎🫎🫎🫎🫎❌️
 
Kule Zanzibar kumejaa Machinga kutokea Bara

Hakuna kashkash zozote zimewahi kuwatokea👈

Tangu miaka ya nyuma👈

Hawakuwaona Wananchi wakawaida kama ni sehemu ya Utawala wasiompenda kutokea Bara 👈

Lkn Uchochezi wasasa wa Makanisani na Wakristo wanataka jamii iwaone Wazanzibar ✍️

kama sehemu ya Utawala
wasioupenda
Sababu tu RAIS anatokea Zanzibar 🤠🤠

ni upumbavu kabisa ✍️
 
Ukweli Wakristo ni watu dhaifu dhaifu sana kuwapotosha kipumbavu

Ndiomana wakaitwa kondoo waliopotea👈
kwa mujibu wa Biblia sio mm❗️👈

Kiongozi wa kiroho kwa Wakristo kuwaongoza Waumini wao kwenye kifo ni rahisi sana kuliko kuwaongoza Waislam
kwenye mkondo wake kifo‼️

Ndiomana Mo29 wangi wa waanga ni Wakristo ❓️

Sawa tu walivoongozwa Wakristo mia900 kwenye vifo vyao na Mchungaji Joseph kibweteere wa Uganda👈

au Mchungaji Paul Makenzie pale kilifi Kenya aliewaongoza Waumini 700 kwenye Vifo vyao👈

Wakristo wa Africa kufikia sasa Wanatuonesha kweli Biblia haijakosewa wao kuitwa kondoo wa bwana👈

mana bwana wao ni yule mwenye kuwaongoza ✍️
 
Hili ni swali ambalo watu wote majasiri na wenye akili timamu mnapaswa kujiuliza

Hii ni kwa sababu wote wanaotekwa na kupotezwa ni Watanganyika, hill halina ubishi wowote ule, orodha ni ndefu (Malisa chupuchupu)

Nafahamu kwamba kwa uzi huu nitaitwa mbaguzi, hata hivyo sijali chochote hadi nipewe majibu, PEMBE LA NG'OMBE HALIFICHIKI, haitawezekana tunyamazie hali hii kwa hofu za kijinga.

Kwanini ni Watanganyika pekee wanaotekwa na kuuawa?

Naomba kuwasilisha.
Ni kwa sababu Watanganyika baadhi yenu mnaleta ubishi wa kukataa kutawaliwa na Wazanzibari. Wenzenu waliokubali kwa hiyari yao kutawaliwa, mbona hawatekwi! Kuuwawa! Kupotezwa! Wala kufungwa?
 
Hili ni swali ambalo watu wote majasiri na wenye akili timamu mnapaswa kujiuliza

Hii ni kwa sababu wote wanaotekwa na kupotezwa ni Watanganyika, hill halina ubishi wowote ule, orodha ni ndefu (Malisa chupuchupu)

Nafahamu kwamba kwa uzi huu nitaitwa mbaguzi, hata hivyo sijali chochote hadi nipewe majibu, PEMBE LA NG'OMBE HALIFICHIKI, haitawezekana tunyamazie hali hii kwa hofu za kijinga.

Kwanini ni Watanganyika pekee wanaotekwa na kuuawa?

Naomba kuwasilisha.

Huu siyo Uzi wa kidini, upumbavu wako upeleke hukohuko
Wewe unaongozs kuuleta post za kipuxi hapa.. na wewe si mbaguzi lakini ni ujinga ndiyo unaokusumbua.. na tunaelewa unapata posho kwa Kila ukiandika...
Lakini subirini watu kama nyinyi kitu kizito kinawakaroribia
 
Taarifa sahihi na rasmi ni za Time ya Jaji Chande inayosema 530. Na ameonesha kila Mkoa walikuwa wangapi!

Kama wewe taarifa zengine, ziweke hapa. Ila kama ni hisia tu na porojo, peleka kwa nyumbus wenzako!

Utakuwa mwendawazimu kuiamini taarifa ya kamati iliyoongozwa na tapeli chinde, kamati iliyoundwa na muuaji.

Watu walitoa uthibitisho ulio wazi kabisa kuonesha taarifa hiyo ilivyo ya uwongo. Kwa mfano, tapeli chnde hakuonesha kuuawa kwa mtu yeyote huko Kahama, wakati watu walishuhudia kwa macho yao jinsi mashetani walivyowaua watu, na miili kuzagaa barabarani. Kamati ya wauaji haikuonesha mtu yeyote kuuawa huko Tunduma, ilihali watu walishuhudia jinsi utawala wa shetani ulivyoua watu kwenye mji huo. Ninyi majuha wauaji, bila shaka damu za watu mlizozimwaga, zimewaondolea akili na hekima. Kamati zote zinazoundwa na muuaji zimejaa matapeli na watu waongo pekee. Kwenye hizo kamati huwezi kuwekwa kama una akili timamu, na ni mkweli wa nafsi, wanawekwa matapeli waliokubali kutumika na wauaji, kwa lengo la kuwasafisha, japo kiuhalisia hawawezi kujisafisha kwa mbinu za kipuuzi kama hizo.
 
Viongozi wa Dini walianza kuwapanda mbegu za chuki Waumini wao dhidi ya Rais Dk Samia kabla ya Mo29

Ilikuwa kama mchezo vile lkn wengine tulionyo
Viongozi wa Dini walikuwa Wamevuka mipaka yao kiasi kutangaza Novena uku malengo yake wakiwa wazi kabisa
Chokochoko za Makanisa zilikuwa waziwazi kufikia February ya 2025
Zomeendelea mpaka siku ya Uchaguzi

Mavuno yao ndio wale Watoto wao walioenda Kuwaombea Misa za Vifo

Na sijui kama walikuwa na aibu ya kukataa chochote kutokea
kwa Wazazi wa wale Watoto baada ya Maziko
Inafikirisha sana✍️
 
Wazanzibari walishatekwa zamani kina hanga kina othman sharif kina jaha ubwa kina jimy Ringo kina Saleh sadala na wengine wengi tu zaidi ya miaka 60 hata makaburi yao hayajuliakani yapo KUNA ZAMA ZAMU poleni sana watanganyika
Kwa wamechoka kutekwa??
 
Hili ni swali ambalo watu wote majasiri na wenye akili timamu mnapaswa kujiuliza

Hii ni kwa sababu wote wanaotekwa na kupotezwa ni Watanganyika, hill halina ubishi wowote ule, orodha ni ndefu (Malisa chupuchupu)

Nafahamu kwamba kwa uzi huu nitaitwa mbaguzi, hata hivyo sijali chochote hadi nipewe majibu, PEMBE LA NG'OMBE HALIFICHIKI, haitawezekana tunyamazie hali hii kwa hofu za kijinga.

Kwanini ni Watanganyika pekee wanaotekwa na kuuawa?

Naomba kuwasilisha.
Inasemekana ndiyo wengi wanajazwa kwenye idara za bara
 
Utakuwa mwendawazimu kuiamini taarifa ya kamati iliyoongozwa na tapeli chinde, kamati iliyoundwa na muuaji.

Watu walitoa uthibitisho ulio wazi kabisa kuonesha taarifa hiyo ilivyo ya uwongo. Kwa mfano, tapeli chnde hakuonesha kuuawa kwa mtu yeyote huko Kahama, wakati watu walishuhudia kwa macho yao jinsi mashetani walivyowaua watu, na miili kuzagaa barabarani. Kamati ya wauaji haikuonesha mtu yeyote kuuawa huko Tunduma, ilihali watu walishuhudia jinsi utawala wa shetani ulivyoua watu kwenye mji huo. Ninyi majuha wauaji, bila shaka damu za watu mlizozimwaga, zimewaondolea akili na hekima. Kamati zote zinazoundwa na muuaji zimejaa matapeli na watu waongo pekee. Kwenye hizo kamati huwezi kuwekwa kama una akili timamu, na ni mkweli wa nafsi, wanawekwa matapeli waliokubali kutumika na wauaji, kwa lengo la kuwasafisha, japo kiuhalisia hawawezi kujisafisha kwa mbinu za kipuuzi kama hizo.
Nikikuamini wewe nitakuwa na akili?
 
Wakati wabara wanawatetea wazanzibari kwa sababu ya dini ni moja ila hao wazanzibari huwa wanaona wabara(bila kujali dini) ndio wanaenda kuharibu maadili ya zanzibar, kwa kifupi wao ni uzanzibari kwanza kisha dini ila wabara wametanguliza dini kwanza.
 
Wapo Watanganyika wanatawala Zanzibar lkn ukiwa na umri kwanzia miaka 25 kushuka chini huwezi kuwaona‼️

na ikiwa kwanzia 40 kwenda juu utagundua Watawala wote wa Zanzibar chanzo chao ni pale Dodoma✍️

FACT
 
Back
Top Bottom