Kwanini Wazanzibar hawatekwi na kupotezwa?

Hili ni swali ambalo watu wote majasiri na wenye akili timamu mnapaswa kujiuliza

Hii ni kwa sababu wote wanaotekwa na kupotezwa ni Watanganyika, hill halina ubishi wowote ule, orodha ni ndefu (Malisa chupuchupu)

Nafahamu kwamba kwa uzi huu nitaitwa mbaguzi, hata hivyo sijali chochote hadi nipewe majibu, PEMBE LA NG'OMBE HALIFICHIKI, haitawezekana tunyamazie hali hii kwa hofu za kijinga.

Kwanini ni Watanganyika pekee wanaotekwa na kuuawa?

Naomba kuwasilisha.
Wazanzibari walipewa "SOMO" Januari, 2001 na walilielewa uzuri hadi wakakimbilia Shimoni.

Unakumbuka??
 
Hili ni swali ambalo watu wote majasiri na wenye akili timamu mnapaswa kujiuliza

Hii ni kwa sababu wote wanaotekwa na kupotezwa ni Watanganyika, hill halina ubishi wowote ule, orodha ni ndefu (Malisa chupuchupu)

Nafahamu kwamba kwa uzi huu nitaitwa mbaguzi, hata hivyo sijali chochote hadi nipewe majibu, PEMBE LA NG'OMBE HALIFICHIKI, haitawezekana tunyamazie hali hii kwa hofu za kijinga.

Kwanini ni Watanganyika pekee wanaotekwa na kuuawa?

Naomba kuwasilisha.
Wanaoteka watu ni genge la Wazanzibari
 
Waliuliwa elfu 17 kama Tanganyika
Taarifa sahihi na rasmi ni za Tume ya Jaji Chande inayosema 530. Na ameonesha kila Mkoa walikuwa wangapi!

Kama wewe ina taarifa zengine, ziweke hapa. Ila kama ni hisia tu na porojo, peleka kwa nyumbus wenzako!
 
Taarifa sahihi na rasmi ni za Time ya Jaji Chande inayosema 530. Na ameonesha kila Mkoa walikuwa wangapi!

Kama wewe taarifa zengine, ziweke hapa. Ila kama ni hisia tu na porojo, peleka kwa nyumbus wenzako!
Wadanganye wajinga wenzio, kwetu kyela pekee, yaani Ipinda, Boda n.a. Kyela Mjini waliuliwa zaidi ya watu 500
 
Vipindi vyote marais wanakuwa ni wa CCM na waathirika ni wapinzani. Hata hayo mnayosema ya Mkapa ambayo inasemekana wanalipa kisasi ilikuwa ni CCM dhidi ya wapinzani. Ukirudi nyuma ya Jumbe, yalifanywa na CCM. Tuishi humo!
Hapo issue siyo ccm
Issue ni mtanganyika vs mzanzibar.
Watu wanatembea na makovu.
Siku Samia akitoka au kutolewa madarakani nina uhakika wazanzbar watalia na kusaga meno. Ni suala muda tu.
 
Nimekupa "common denominator". Yote hayo yamefanywa wakati washika mpini na utawala ulio madarakani ukiwa wa CCM wakati waathirika, Bara na Visiwani, wakiwa ni wapinzani.
 
Tangu Samia amekalia kitu kikuu, umewahi kuona ACT kule Zanzbar wakilalamika kufanyiwa uonevu?

Hadi Jussa aliyevunjwa miguu wakati wa magufuli amekuwa mtetez wa samuya.
 
Hauoni kwamba unachouliza unajikaanga mwenyewe na unakubaliana na nilichosema?
 
Hili ni swali ambalo watu wote majasiri na wenye akili timamu mnapaswa kujiuliza

Hii ni kwa sababu wote wanaotekwa na kupotezwa ni Watanganyika, hill halina ubishi wowote ule, orodha ni ndefu (Malisa chupuchupu)

Nafahamu kwamba kwa uzi huu nitaitwa mbaguzi, hata hivyo sijali chochote hadi nipewe majibu, PEMBE LA NG'OMBE HALIFICHIKI, haitawezekana tunyamazie hali hii kwa hofu za kijinga.

Kwanini ni Watanganyika pekee wanaotekwa na kuuawa?

Naomba kuwasilisha.
 
Tangu Samia amekalia kitu kikuu, umewahi kuona ACT kule Zanzbar wakilalamika kufanyiwa uonevu?

Hadi Jussa aliyevunjwa miguu wakati wa magufuli amekuwa mtetez wa samuya.
Jussa amedharauliwa na kila mtu
 
Back
Top Bottom