Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,464
- 3,775
Hapo umemaliza kilakitu.Maana mtekaji mkuu ni mzanzibariTujiulize anayetuhumiwa kuwa ni mkuu wa utekaji anatokea wapi.kwanza mengine tutaelewa tuu.
Hapo umemaliza kilakitu.Maana mtekaji mkuu ni mzanzibariTujiulize anayetuhumiwa kuwa ni mkuu wa utekaji anatokea wapi.kwanza mengine tutaelewa tuu.
Umeelewa? 😅Swadakta
Kutembezewa bakora na mikwaju ni kuzuri? 😅Si kweli, kwanza hao mazombie walikuwa wanapiga mikwaju na bakora tu hawakuwa watekaji
Kwa maana wao wapo nchi tofautiHili ni swali ambalo watu wote majasiri na wenye akili timamu mnapaswa kujiuliza
Hii ni kwa sababu wote wanaotekwa na kupotezwa ni Watanganyika, hill halina ubishi wowote ule, orodha ni ndefu (Malisa chupuchupu)
Nafahamu kwamba kwa uzi huu nitaitwa mbaguzi, hata hivyo sijali chochote hadi nipewe majibu, PEMBE LA NG'OMBE HALIFICHIKI, haitawezekana tunyamazie hali hii kwa hofu za kijinga.
Kwanini ni Watanganyika pekee wanaotekwa na kuuawa?
Naomba kuwasilisha.
AiseeeeeHuwezi kumkuta mzanzibar yeyote anaikosoa serikali na pia wao ndo wako pale juu wanaitafuna tanganyika ipasavyo kiufupi wao ndo wanufaika wakuu wa serikali hii
Mtanganyika ndo adui kwao na yeye kwa mtazamo wao ndiyo anastahili kutekwa na kuuawa na ikibidi kupotezwaAiseeeee
Nchi tunayo tayari, unataka tumkabidhi Trump? ... Maskini bwana!!!Ni kweli wasingekuwa wapumbavu wangeishachukua Nchi yao
Zanzibar likiwa taifa la Kiislam , kanisa linapata hasara gani?Unatambua kikwazo cha Tanganyika kupata uhuru na kuipata Tanganyika yake ni kanisa?
Unatambua kuwa kanisa linahaha kuhakikisha muungano haufi kwa kuhofu kuwa zanzibar ikiwa huru na kupata mamlaka kamili itakuwa taifa la kiislamu??
Unajua hilo?
Ni kweli nyie Wazanzibar Nchi mnayoMchi tunayo tayari, unataka tumkabidhi Trump? ... Maskini bwana!!!
Picha linaanza, mkuu wa watekaji ni Mzanzibari. Anayetoa maelekezo Mzanzibar..Kwanini ni Watanganyika pekee wanaotekwa na kuuawa?
Mimi ni CHOGO kuliko wewe ila ninajitambua, ... hao wazanzibar wana nini zaidi ya huo Urais?Ni kweli nyie Wazanzibar Nchi mnayo
MWANZA ya Unguja ni kweli hakufa mtuSie kwetu Jiji la Mwanza HAKUFA hata mmoja!
Wao ndiyo wanaoteka sasa unataka wajiteke wenyewe? Fwele na vidampa wenzake ni mbwa tu wanaopokea orders kutoka kwa Abdul.Hili ni swali ambalo watu wote majasiri na wenye akili timamu mnapaswa kujiuliza
Hii ni kwa sababu wote wanaotekwa na kupotezwa ni Watanganyika, hill halina ubishi wowote ule, orodha ni ndefu (Malisa chupuchupu)
Nafahamu kwamba kwa uzi huu nitaitwa mbaguzi, hata hivyo sijali chochote hadi nipewe majibu, PEMBE LA NG'OMBE HALIFICHIKI, haitawezekana tunyamazie hali hii kwa hofu za kijinga.
Kwanini ni Watanganyika pekee wanaotekwa na kuuawa?
Naomba kuwasilisha.
Ulishawahi sikia kuna mtanganyika anatawala Zanzibar?
Basi hutawahi kusikia utekaji kama unaofanywa huko Tanganyika.
Hapo umemaliza kilakitu.Maana mtekaji mkuu ni mzanzibari
Hao watanganyika wanatekwa na nani?Hili ni swali ambalo watu wote majasiri na wenye akili timamu mnapaswa kujiuliza
Hii ni kwa sababu wote wanaotekwa na kupotezwa ni Watanganyika, hill halina ubishi wowote ule, orodha ni ndefu (Malisa chupuchupu)
Nafahamu kwamba kwa uzi huu nitaitwa mbaguzi, hata hivyo sijali chochote hadi nipewe majibu, PEMBE LA NG'OMBE HALIFICHIKI, haitawezekana tunyamazie hali hii kwa hofu za kijinga.
Kwanini ni Watanganyika pekee wanaotekwa na kuuawa?
Naomba kuwasilisha.
Sasa mshamba wa Kyela wewe una ujasiri na akili gani. Nyerere alishamweka kizuizini aliyekuwa Rais wa Zanzibar Aboud Jumbe mpk anakufa. Msifikiri hizo kauli za kibaguzi zitaifanya serikali kuwaacha mfanye upuuzi wenu. Eti kwa kuwa Rais ni Mzanzibar muachwe mharibu nchi? Hiyo haipo. Kwanza chadema ya sasa hakuwa mwenye akiliHili ni swali ambalo watu wote majasiri na wenye akili timamu mnapaswa kujiuliza