Kwanini Wazanzibar hawatekwi na kupotezwa?

Hili ni swali ambalo watu wote majasiri na wenye akili timamu mnapaswa kujiuliza

Hii ni kwa sababu wote wanaotekwa na kupotezwa ni Watanganyika, hill halina ubishi wowote ule, orodha ni ndefu (Malisa chupuchupu)

Nafahamu kwamba kwa uzi huu nitaitwa mbaguzi, hata hivyo sijali chochote hadi nipewe majibu, PEMBE LA NG'OMBE HALIFICHIKI, haitawezekana tunyamazie hali hii kwa hofu za kijinga.

Kwanini ni Watanganyika pekee wanaotekwa na kuuawa?

Naomba kuwasilisha.
Ulishawahi sikia kuna mtanganyika anatawala Zanzibar?
Basi hutawahi kusikia utekaji kama unaofanywa huko Tanganyika.
 
Hili ni swali ambalo watu wote majasiri na wenye akili timamu mnapaswa kujiuliza

Hii ni kwa sababu wote wanaotekwa na kupotezwa ni Watanganyika, hill halina ubishi wowote ule, orodha ni ndefu (Malisa chupuchupu)

Nafahamu kwamba kwa uzi huu nitaitwa mbaguzi, hata hivyo sijali chochote hadi nipewe majibu, PEMBE LA NG'OMBE HALIFICHIKI, haitawezekana tunyamazie hali hii kwa hofu za kijinga.

Kwanini ni Watanganyika pekee wanaotekwa na kuuawa?

Naomba kuwasilisha.
Wazanzibari walishatekwa zamani kina hanga kina othman sharif kina jaha ubwa kina jimy Ringo kina Saleh sadala na wengine wengi tu zaidi ya miaka 60 hata makaburi yao hayajuliakani yapo KUNA ZAMA ZAMU poleni sana watanganyika
 
Watanganyika wanapenda sana kudeka deka...na nchi hii iko maskini sababu ya wizi wa makafiri wa tanganyika
 
Kanisa gani? Yaani wee andazi kwelikweli, udini na chuki vinekujaa mwili mzima

Unatambua kikwazo cha Tanganyika kupata uhuru na kuipata Tanganyika yake ni kanisa?

Unatambua kuwa kanisa linahaha kuhakikisha muungano haufi kwa kuhofu kuwa zanzibar ikiwa huru na kupata mamlaka kamili itakuwa taifa la kiislamu??

Unajua hilo?
 
Back
Top Bottom