Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,285
- 7,711
Taasisi nyingi za umma ukienda kutafuta huduma ni kama vile umeenda kuwaomba hela, uwezi kwenda ukiwa na muda wako lazima uteseke tu na usikamilishe, watanzania nyie ni watu wa hovyo kweli, ukienda ofisi yoyote ya serikali ukitoka huko satisfied na tatizo lako umelitatua kwa wakatii, na hawajatumia masaa mawili kwenda cafeteria kula breakfast na masaa 3 kula lunch basi hongera, ukikutana na mfanyakazi wa kike anaevaa miwani kama hajashusha miwani na kukuangalia huku anakuthaminisha basi hongera kwako.
