Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,395
Nimeshuhudia kwa mara nyingi kwenye majumba ya sinema watu wakiwa na mabox yaliyojaa bisi "Popcorn" wakitafuta hizo popcorn huku wakitizama sinema.
Tabia hii naona imekuwa kwa kasi, kwani pia nimetembelea nyumbani kwa rafiki zangu baadhi yao nimewaona wakila popcorn huku wakifatilia vipindi mbalimbali kwenye luninga.
Je kuna uhusiano wowote kati ya popcorn na sinema/tv?
Nini faida za kisayansi zitokanazo na kula popcorn huku ukitizama sinema?