Gulio Katerero
Member
- Mar 9, 2014
- 49
- 19
Kuna siku mi ntaibuka na matango, najua wabongo mtaiga tu
asante kwa maelezo ya kitaalamuActually hutakiwi ule popcorn tuu wakati ukitazama sinema au kwa sababu haimizi mataya, hazishibishi au hazikinai kirahisi.
Unatakiwa ule popcorn mara kwa mara hasa kama wewe ni mwanaume.
Popcorn zina faida kwa mwanaume mpaka kitandani. Hakikisha tuu huweki mafuta na chumvi nyingi.
Popcorn inaongeza nitric oxide (kama unajua umuhimu wake kwenye mwili wa mwanaume - just think jinsi viagra na madawa mengine yanavyofanya kazi), ina-maintain testosterone na pia zinasaidia kuongeza madini kama zinc na magnesium.
Ila hakikisha popcorn unazokula siyo genetically modified na usile popcorn zilizotengezwa kupitia microwave. Zile za kwenye sinema zinatengenezwaje?
Popcorn may help to increase men's penile blood flow.
Popcorn can be sexually arousing too just like licorice candy
Zinapunga usingizi...
Kuna siku mi ntaibuka na matango, najua wabongo mtaiga tu
kuigana tu.. huwa nawashangaa sana; pale mliman city.
i will adive them to use them
ulimbukeni tuu hakuna lolote.....eti ni kizungu.
Including yours!!
nilipigwa kibuti
Sipatii picha wangekua wanagawa mayai ya kuchemsha ama pilau pale cinemax....hata AC zingefail