Kwanini watu wanakula Popcorn wakati wa kutizama sinema?

Kwanini watu wanakula Popcorn wakati wa kutizama sinema?

Kuiga iga kusiko na maana, naama hata wangeanza wao kutazama sinema wamevaa ch*pi peke yake tungefuata sisi hapa
 
Zile huwa zinatolewa mara nyingi bure kwa lengo la kuleta kiu! Mtu hapo akishakula anapiga maji ka ngamia,wengi hawaelewi nia yake na huwa zinaongeza mauzo ya vinywaji kwa sana
 
asanteni wadau kwa majibu ya kuridhisha
 
Nini faida za kisayansi zitokanazo na kula popcorn huku ukitizama sinema?

Haiumizi mataya, hazishibishi na hazikinai kirahisi, kutafuna kwa saa zaidi ya moja si mchezo.

Kuiga tu ujinga wa kimagaribi hizo pepukon hazina usiano wowote na macho ya binadamu
Tena wale wanyumbani wanaweka na miguu yote kwenye sofa kwa kukunja ushenzi tu

Actually hutakiwi ule popcorn tuu wakati ukitazama sinema au kwa sababu haimizi mataya, hazishibishi au hazikinai kirahisi.

Unatakiwa ule popcorn mara kwa mara hasa kama wewe ni mwanaume.

Popcorn zina faida kwa mwanaume mpaka kitandani. Hakikisha tuu huweki mafuta na chumvi nyingi.

Popcorn inaongeza nitric oxide (kama unajua umuhimu wake kwenye mwili wa mwanaume - just think jinsi viagra na madawa mengine yanavyofanya kazi), ina-maintain testosterone na pia zinasaidia kuongeza madini kama zinc na magnesium.

Ila hakikisha popcorn unazokula siyo genetically modified na usile popcorn zilizotengezwa kupitia microwave. Zile za kwenye sinema zinatengenezwaje?
 
hapo ni mwendo wa yusufuuuu!

Kwa mtu mwenyewe atajisikilizia prrrr krroo na kuwatazama majirani pengine wamesikia mlio wa ajabu wa yusufuuu lake alilobania kwa ndani tumboni...
 
Jamani sasa mtu akae masaa mawili bila ya kutafuna kitu na ile ni sehemu ya starehe na kuna baadhi wana puumzi mbaya wakikaa muda mrefu bila ya kuingiza kitu mdomoni.

Waacheni jamani mnataka wakodolee macho bila ya kutafuna ili wanuke midomo
 
Ofcoz ni kuigana, popcorn walitumia miaka ya nyuma sana baada ya dunia kupigwa kiuchumi mahindi ikawa kitu bei rahisi, watu kutokea hapo ndo wakaanza kuifanya kama vile tabia, wengine wakaiga na imeendelea hadi leo... wauzaji wanatumia gharama ndogo kutengeneza ila wanachaji bei kubwa sana so wanapiga faida kubwa, afu ni rahisi kutegeneza popcorn, huwezi kuenda kupika maandazi Cinema, au chips mayai... people need snacks wasipigwe njaa wakati wa cinema, that's the easy way to go...
 
Actually hutakiwi ule popcorn tuu wakati ukitazama sinema au kwa sababu haimizi mataya, hazishibishi au hazikinai kirahisi.

Unatakiwa ule popcorn mara kwa mara hasa kama wewe ni mwanaume.

Popcorn zina faida kwa mwanaume mpaka kitandani. Hakikisha tuu huweki mafuta na chumvi nyingi.

Popcorn inaongeza nitric oxide (kama unajua umuhimu wake kwenye mwili wa mwanaume - just think jinsi viagra na madawa mengine yanavyofanya kazi), ina-maintain testosterone na pia zinasaidia kuongeza madini kama zinc na magnesium.

Ila hakikisha popcorn unazokula siyo genetically modified na usile popcorn zilizotengezwa kupitia microwave. Zile za kwenye sinema zinatengenezwaje?

na KWA WANAWAKE UWEZI TUMIA KAMA CHACHANDUU??
 
Kuiga tu ujinga wa kimagaribi hizo pepukon hazina usiano wowote na macho ya binadamu
Tena wale wanyumbani wanaweka na miguu yote kwenye sofa kwa kukunja ushenzi tu

sasa wakiweka miguu kwenye masofa yao nyumbani kwao wewe tatizo lako nini??
 
Back
Top Bottom