Kwa sababu hawataki kulipa Kodi,wamezoea vya bure na kulishwa neno la wanyonge huku wakiliwa na Wazalendo wa Chato kama hivi 👇
View attachment 2189699
View attachment 2189700
View attachment 2189701
View attachment 2189702
View attachment 2189703
Hata Mimi sijapata nafasi tuHili ni Taifa la wezi kila mtu anatafuta Chance.
Watasema nini wezi hao?hii ripoti ya CAG ndio imechochea kuni kabisa mpaka ccm wamekaa kimya
Wiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza.
Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia! Na ndani ya hizo 90% 50 yao hawataki kabisa hata kulisikia jina lake.Iliniogopesha!
Hali hiyo ilikuwa tofauti kwa wafanyabiashara.Wengi wao wanadai hawasumbuliwi hasa na mambo ya risti za EFD na kwalo wanadai wanapiga pesa kwa lugha ya mtaani.
Kazi iendelee.
Ndo uzuri wa nchi hii fisadi hafungwiCAG kazi yake ni kuchonganisha Raisi na Wana nchi.hicho cheo kifutwe.
Mbona riport za CAG hazifanyiwi kazi? Bora CAG asiwepo.😂😂😂😂😂
Unajifariji tu kwa ujinga. Huyu unamshabikia kisa anakupa ulaji. Taifa hili lina watu wajinga na wanafiki wengi sana, ukiwemo na wewe mkuu.Fanya utafiti, maeneo yenye masikini wengi, ukiishi hapo hutoboi, full uchawi, majini nakadhalika, masikini huwa hawapendani na hawapendi matajiri.
Nenda kigoma ujiji, ukijenga nyumba mpya kesho unaamka umekufa, hawataki maendeleo, mtoto akiwa na akili anarogwa akili, anakuwa zezeta, Kuna mikoa ambayo ukienda kwenu, siku ya kuondoka huagi.
Hawa magufuli aliwaaminisha kwamba kuwa masikini ni fahari, kuwa mnyonge ni fahari, hawakubali kumuona mtu yeyote anafanya juhudi walau ajenge nyumba ya bati, watamsema mji mzima, wengi huamua kujenga mbali na makwao.
Samia anahubiri utajiri, anahubiri mafanikio, hawa wanataka mtu awahubirie umasikini na unyonge, fitina na majungu.
Kwenye kufanyia Kazi ndio swali la msingi ila Kazi yao ni muhimu japo wanakula rushwa Sana ,hapo wamecompromise na wakuu wa Taasisi Ili kupunguza makali.CAG kazi yake ni kuchonganisha Raisi na Wana nchi.hicho cheo kifutwe.
Mbona riport za CAG hazifanyiwi kazi? Bora CAG asiwepo.😂😂😂😂😂
Fanya utafiti, maeneo yenye masikini wengi, ukiishi hapo hutoboi, full uchawi, majini nakadhalika, masikini huwa hawapendani na hawapendi matajiri.
Nenda kigoma ujiji, ukijenga nyumba mpya kesho unaamka umekufa, hawataki maendeleo, mtoto akiwa na akili anarogwa akili, anakuwa zezeta, Kuna mikoa ambayo ukienda kwenu, siku ya kuondoka huagi.
Hawa magufuli aliwaaminisha kwamba kuwa masikini ni fahari, kuwa mnyonge ni fahari, hawakubali kumuona mtu yeyote anafanya juhudi walau ajenge nyumba ya bati, watamsema mji mzima, wengi huamua kujenga mbali na makwao.
Samia anahubiri utajiri, anahubiri mafanikio, hawa wanataka mtu awahubirie umasikini na unyonge, fitina na majungu.
Bahati mbaya hakuna shule ya kuondoa upumbavu, ningekupeleka mkuuUnajifariji tu kwa ujinga. Huyu unamshabikia kisa anakupa ulaji. Taifa hili lina watu wajinga na wanafiki wengi sana, ukiwemo na wewe mkuu.
Kimsingi mtu wa aina yako unapaswa ukatwe vipande vipande then mbwa uwe chakula chaoNi mtanzania asiye na akili tu ndiye atampigia kura huyu bibi, hali ya maisha imekuwa ngumu sana na victims ni hao hao wananchi wenye maisha magumu.
Sasa ikitokea wakamruhusu kukalia hicho kiti kwa mara nyingine basi nitaamini Tanzania ina raia wa ajabu kuwahi tokea tangu dunia kuumbwa.
Ya Mungu mengi inawezekana asifike huko, usijipe uhakika wa [emoji817]Watanzania hua hawapigi kura bali wanawekewa Kiongozi ambaye wenye Nchi washamuandaa,
Jiandae kisaikolojia 2025 Mama Ikulu.
Tofauti yetu na nchi nyingine ni kwamba sisi Rais anahamasisha bei kupanda ilhali marais wengine wanapambana kutafuta ahueni ya wananchi wao.Nchi gani hali ya maisha haijapanda tangu mzozo wa Ukraine na Russia uanze mkuu? Hebu pitia vyombo vya habari vya nchi jirani usikie hali ikoje. Malawi watu wameshaingia barabarani
Kabla ya wewe kunishambulia nitakufilimba kwanza then baada ya hapo nakutanguliza kuzimu ukaonane na marehemu mama yakoKi
Kimsingi mtu wa aina yako unapaswa ukatwe vipande vipande then mbwa uwe chakula chao
Pascal Mayalla eti kura yako utampigia mwenyekiti wakoNi mtanzania asiye na akili tu ndiye atampigia kura huyu bibi, hali ya maisha imekuwa ngumu sana na victims ni hao hao wananchi wenye maisha magumu.
Sasa ikitokea wakamruhusu kukalia hicho kiti kwa mara nyingine basi nitaamini Tanzania ina raia wa ajabu kuwahi tokea tangu dunia kuumbwa.
Misinformation, ujinga,na umasikini,upeo mdogo.Wiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza.