Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 11,270
- 14,093
Sababu kuu ni.
Wanawadekeza sana.
Wanawadekeza sana.
Wengine ni ushirikina tu. Masharti wanayopewa.Kumekua na ungezeko la watoto kuua mama zao wa kuwazaa hivi karibuni jambo linaloibua huzuni na hofu kwenye jamiii.
Asilimia kubwa imekuwa wahanga ni kina mama zaidi ya kina baba nimewaza jambo hili kwa kina ndani ya siku mbili hizi kuna mambo nayohisi yanaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa zaidi ya tamaa ya mali na kupenda starehe.
1-Maneno ya kina Mama kwa watoto.Wanawake wengi ni watu wa maneno wanapenda kuongea sana wanapokasirika na kutoa maneno mabaya kwa watoto wao kama kusema ndiyo maana huolewi,mbona mtu fulani kapata kazi wewe huna au mzazi wa kike anamwambia mtoto wake hapa nyumbani sio kwako hamna utakachokipata hapa hata tukifa/nikifa unategemea apo mtoto unamweka kwenye hali gani.
2-Kumnyima mtoto uhuru.Kina mama wengi wanapenda kuona watoto wao wanashinda nyumbani mtoto haruhusiwi kujichanganya na wengine.Mtoto saa kumi na mbili awe nyumbani mtoto anakosa furaha hamna kitu mtoto anapoanza kukua anakasirika kama kuona ananyimwa haki ya kua na watoto wengine au vijana wenzake tunajua dunia imeharibika ila sio sababu ya kuwanyima vijana kua na wenzake watoto wanachoka kukaa nyumbani na kuwachoka pia wazazi kutokana na masharti yao mengi yakiwa ni kuwanyima uhuru wao.
3-Wazazi kuwa wabinafsi.Kuna kina mama ukimwona anavyovaa na gari analoendesha na ukimwangalia na kijana wake tofauti iliyopo ni mbingu na ardhi hii inasababisha mtoto kuhisi mama hampendi na anajipenda yeye tu hiii huamsha hasira kali sana kwa mtoto na kuleta roho ya kisasi.
4-Chuki.Watoto wengi hua muda mwingi wanashinda na Mama zao kutokana na maisha ya kila siku kuna mambo hua yanatokea kati ya mama na mwanae mama anakua anamtishia mwanae akifanya kosa labda baba akija leo nitamwambia akuchape au leo hutakula hapa nyumbani hiii huleta chuki sana kwa watoto na kumchukia sana mzazi wake.
5-Msukumo kutoka kwa marafiki.Vijana hupenda kua na marafiki wa rika lao kuanzia mashuleni hadi mtaani hapa hukutana na mambo mengi na kulinganisha maisha yake na wengine mbona huyu mama yake anampa gari,mbona huyu anaruhusiwa kwenda kumbi za starehe hiii huleta chuki na ushauri kutoka kwa marafiki kwamba mama yako anakunyima gari, anakunyima kwenda club.
N:b haya ndio mambo niliyoyawaza mimi karibuni wengine kwa mengi au ushauri kuhusu mambo haya yanayoendelea kwenye jamiii hakika yanaleta huzuni kubwa
Hao kumi ni akina nani?Kuanzia kumi
Watoto wengi!???Kumekua na ungezeko la watoto kuua mama zao wa kuwazaa hivi karibuni jambo linaloibua huzuni na hofu kwenye jamiii.

Laana hizoMbona haya Matukio ni Kanda ya KASKAZINI TU!!! Halafu Wanawake wote wanaouawa hawana waume zao????????
Alikuwa Mume wake hakuwa mtoto Hilo la milembeLa Mirembe hujasikia?
Hujaandika kituKumekua na ungezeko la watoto kuua mama zao wa kuwazaa hivi karibuni jambo linaloibua huzuni na hofu kwenye jamiii.
Asilimia kubwa imekuwa wahanga ni kina mama zaidi ya kina baba nimewaza jambo hili kwa kina ndani ya siku mbili hizi kuna mambo nayohisi yanaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa zaidi ya tamaa ya mali na kupenda starehe.
1-Maneno ya kina Mama kwa watoto.Wanawake wengi ni watu wa maneno wanapenda kuongea sana wanapokasirika na kutoa maneno mabaya kwa watoto wao kama kusema ndiyo maana huolewi,mbona mtu fulani kapata kazi wewe huna au mzazi wa kike anamwambia mtoto wake hapa nyumbani sio kwako hamna utakachokipata hapa hata tukifa/nikifa unategemea apo mtoto unamweka kwenye hali gani.
2-Kumnyima mtoto uhuru.Kina mama wengi wanapenda kuona watoto wao wanashinda nyumbani mtoto haruhusiwi kujichanganya na wengine.Mtoto saa kumi na mbili awe nyumbani mtoto anakosa furaha hamna kitu mtoto anapoanza kukua anakasirika kama kuona ananyimwa haki ya kua na watoto wengine au vijana wenzake tunajua dunia imeharibika ila sio sababu ya kuwanyima vijana kua na wenzake watoto wanachoka kukaa nyumbani na kuwachoka pia wazazi kutokana na masharti yao mengi yakiwa ni kuwanyima uhuru wao.
3-Wazazi kuwa wabinafsi.Kuna kina mama ukimwona anavyovaa na gari analoendesha na ukimwangalia na kijana wake tofauti iliyopo ni mbingu na ardhi hii inasababisha mtoto kuhisi mama hampendi na anajipenda yeye tu hiii huamsha hasira kali sana kwa mtoto na kuleta roho ya kisasi.
4-Chuki.Watoto wengi hua muda mwingi wanashinda na Mama zao kutokana na maisha ya kila siku kuna mambo hua yanatokea kati ya mama na mwanae mama anakua anamtishia mwanae akifanya kosa labda baba akija leo nitamwambia akuchape au leo hutakula hapa nyumbani hiii huleta chuki sana kwa watoto na kumchukia sana mzazi wake.
5-Msukumo kutoka kwa marafiki.Vijana hupenda kua na marafiki wa rika lao kuanzia mashuleni hadi mtaani hapa hukutana na mambo mengi na kulinganisha maisha yake na wengine mbona huyu mama yake anampa gari,mbona huyu anaruhusiwa kwenda kumbi za starehe hiii huleta chuki na ushauri kutoka kwa marafiki kwamba mama yako anakunyima gari, anakunyima kwenda club.
N:b haya ndio mambo niliyoyawaza mimi karibuni wengine kwa mengi au ushauri kuhusu mambo haya yanayoendelea kwenye jamiii hakika yanaleta huzuni kubwa
Ndivyo akuavyo mkuuMtoto umleavyo...?
Zinajionyesha sasaDalili za kiama