Mr sule
JF-Expert Member
- Oct 14, 2021
- 607
- 1,098
Nimejikuta tu najiuliza hili swala kutokana na hali halisi kuona Watanzania wanaoishi Tanzania wana. wivu mkubwa na wezao walioenda kujitafuta nje ya nchi.
Nimegundua hili kutokana na maoni ya wengi kwenye mitandao ya kijamii wanafurahi wakisikia walioko nje wanaangaika na wana maisha magumu( Wanaoishi Marekani ndo walengwa zaidi).
Yaani mtu anakuambia bora bongo, Marekani wanarudu kwa michango ya nauli kutoka Tanzania.
Ndugu zangu watanzania, ukipata fursa ya kuishi nchi Marekani nakuomba usichezee fursa hiyo utakuja kunishukuru.
Nakukumbusha tuSerekali yako bado inapambana kukupa maji na umeme kwa miaka yote 60 ya uhuru.
Nimemaliza