Kwanini Watanzania wengi hawamtaki Waziri wa Nishati, January Makamba?

Ndiyo,
Napitia michango mingi kutokea mitandaoni, karibu Mitandao yote inayotumiwa na watanzania,

Wengi wao hawataki uongozi wa Waziri Makamba, ni kwa nini?

Mawaaziri ni wengi, lakini kwa nini iwe ni Makamba pekee asiyetakiwa na watanzania wengi?

Hata hivyo, wizara hii anayoiongoza, mawaziri wengi waliopita hapa, hawakuwahi kuzimaliza changaoto zilizopo hata Leo, licha ya hivyo, hakukuwa na kelele nyingi kama zinavyppigwa Leo kwa mh Waziri, kwa nini Makamba na sio kina Mhongo na kina ngeleja ambao hawakukataliwa waziwazi kama ilivyo leo

Je, Waziri analifahamu hilo,?

Na kama analifahamu anangoja nini kuachia madaraka, kunaumaana gani kufanya kazi ambapo watu wengi hawakutaki?
Sukuma gang na wahuni wengine msiwaingize watanzania kwenye ugomvi wenu na januari.
 
Propaganda

Watu wengi hawataki CCM
Makamba ni CCM

CCM imekosa Dira ya Taifa
Makamba hawezi kuwa na Dira ya kitaifa.

Dira ya CCM ni ya Madaraka at all cost
Makamba, kama hii propaganda ya kutafuta maoni ya "watu" wengi Watanzania kwa kuwahoji ni Kwanini hawampendi.
Ukweli ulishajulikana 2010-2015 na 2015-2020 Watu wengi Watanzania wamekosa imani na Chama kinachodai kuwakwamua kutokana na Changamoto nyingi ambazo kwa makusudi au la-zinazojengwa na Uongozi wa CCM wamezileta- hazina majibu.

Kama vyama vingine vya siasa na "watu" wake wanaviherehere vya kushabikia watu badala ya ku-dodosoa sera zinazopeleka watu kutokuwa na imani na Serikali yao ambayo CCM inahodhi madaraka.
 
Yaani kwa sababu Makamba ni muislam na aliyemteua ni muislam kwako wewe huo ni udini lakini alipoteuliwa msukuma na mkiristo na aliyeteua ni msukuma na mkiristo wewe hukuona kama huo ni udini na ukabila!
Soma vizuri bila mihemko au nawe una udini hivyo umekuwa touched?
Amelaumu pande zote mbili kwa kuendekeza udini.
IMG_20220408_190421.jpg
 
Ni Mwizi akipata cheo uwa hafanyi makosa kwenye kupiga

Kinachoumiza ana iba na familia yake nzima wakishafanya Yao wanakimbilia congo kwenye ulozi
 
Ni bahati mbaya kuwa na Waziri Kama Makamba. Awali niliamini jamaa ni smart na JPM anambania tuu , lakini sasa tangu ashike wizara ya Nishati, nimekubali jamaa ni mweupe Sana kwenye kushughulikia kero za wananchi.
 
Ndiyo,
Napitia michango mingi kutokea mitandaoni, karibu Mitandao yote inayotumiwa na watanzania,

Wengi wao hawataki uongozi wa Waziri Makamba, ni kwa nini?

Mawaaziri ni wengi, lakini kwa nini iwe ni Makamba pekee asiyetakiwa na watanzania wengi?

Hata hivyo, wizara hii anayoiongoza, mawaziri wengi waliopita hapa, hawakuwahi kuzimaliza changaoto zilizopo hata Leo, licha ya hivyo, hakukuwa na kelele nyingi kama zinavyppigwa Leo kwa mh Waziri, kwa nini Makamba na sio kina Mhongo na kina ngeleja ambao hawakukataliwa waziwazi kama ilivyo leo

Je, Waziri analifahamu hilo,?

Na kama analifahamu anangoja nini kuachia madaraka, kunaumaana gani kufanya kazi ambapo watu wengi hawakutaki?
Sio Watanzania wengi bali ni Sukuma gang,hao Sukuma gang mbona hawamtaki hata Rais Samia ila hawana cha kufanya kwa chuki zao.
 
Sababu Nyerere alitupa wosia tuwaogope watu wanaoutaka uraisi kwa gharama zozote….

Sasa vibe lake tuu limeleta hali hasi watu hatumuamini tena…na ukizingatia yupo kwenye jopo la wahuni basi laaah…na hio wizara ilivyonyeti kwa watanzania na ilivyowezwa na JPM miaka 6 bila mgao na sasa mgao umerudi…ukijumlisha na majibu yake yakizushi bungeni yanavyoleta ukakasi basi tunabaki tunajiuliza kwani yeye ni nani ana nini special kwani hatuna watanzania wengine wapewe nafasi kuongeza wizara…
 
Shida ya Feb Manyuzi ni kuwatumia watu mapema kujionyesha atatosha nafasi ya upresidaa 2030 ilihali nafasi hiyo makada wengi ndani ya chama wanainyemelea,kwa hiyo lazima achafuliwe mapema mno ili apotee kwenye ulingo wa kisiasa,ngoja tusubiri muda utajieleza tu
iyo ya u preseda li miaka 2030, tutaingia mbinguni na maumivu ya mgongo ya huyu mama hadi 2030
 
Back
Top Bottom