Kwanini Watanzania wengi hawamtaki Waziri wa Nishati, January Makamba?

Ndiyo,
Napitia michango mingi kutokea mitandaoni, karibu Mitandao yote inayotumiwa na watanzania,

Wengi wao hawataki uongozi wa Waziri Makamba, ni kwa nini?

Mawaaziri ni wengi, lakini kwa nini iwe ni Makamba pekee asiyetakiwa na watanzania wengi?

Hata hivyo, wizara hii anayoiongoza, mawaziri wengi waliopita hapa, hawakuwahi kuzimaliza changaoto zilizopo hata Leo, licha ya hivyo, hakukuwa na kelele nyingi kama zinavyppigwa Leo kwa mh Waziri, kwa nini Makamba na sio kina Mhongo na kina ngeleja ambao hawakukataliwa waziwazi kama ilivyo leo

Je, Waziri analifahamu hilo,?

Na kama analifahamu anangoja nini kuachia madaraka, kunaumaana gani kufanya kazi ambapo watu wengi hawakutaki?

January Makamba? Hizi ajira zimepotelea wapi? Kwani umazizuia?​

Attachments

  • Employment-Opportunities-August-2021.pdf
    512.2 KB · Views: 7
Haaminiki kwasababu haimudu wizara hivyo anawahadaa wananchi kwa kusema uongo! He does not deliver and he is not trustworthy!
Kwa nini unadhani mkuu wa nchi kamwacha tuu hapo huku madudu mengi yakizidi kubainishwa, Mfano, uagizaji wa nguzo za umeme nchi za nje ili hali tunaviwanda sasa ambavyo vinazalisha nguzo bora kabisa kwa mjibu wa shirika la viwango nchini TBS?
 
January kawekwa hapo kwa maslahi mapana ya wahuni ili wizara hiyo iwe conduit ya kuibiwa hela za kutumiwa na mtandao wa Kikwete kwenye chaguzi zijazo! Samia is a party to the CABAL hence her inaction!
 
Hii wizara tukiacha ukabila na udini Kalemani alipaweza sn kupita kiasi hata kama alikuwa na madhaifu yake lakini siyo kama Makamba
Kalemani hamna kitu mbona alikuwa hana kauli nakumbuka aliwahi kutoa siku 14 gesi ishuke bei kesho yake ikapanda bei unawezafanya vizuri ila ukiwa mpole sana ni tatizo
 
Kama ni lazima Makamba awe waziri basi ampeleke Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo ili awe anakwenda lupaso kila jmosi na jpili atoe porojo zake baada ya game kuisha.

Na tunamkumbusha Samia nchi hii haitawaliwi na familia tatu ya kikwete, makambna na mwinyi.Kwa maoni yangu ya jumla waziri wa nishati anatakiwa awe kijana shupavu na mzalendo.
Familia tatu
 
Makambà ameutikisa Sana uchumi wa nchi Hadi umeparaganyika Tena anasema "Tanzania hatuzalishi mafuta" kumbuka serikali zote duniani na mawaziri wanaochukua credit katika nyadhifa zao Ni uwezo was kuwa innovative na kusolve changamoto za wateja( clients)wanaotegemea huduma yako,Sasa kwa makambà yote Ni kinyume,Hana solution yeyote Kama waziri mwenye dhamana,ukimpeleka kwenye umeme Ni majanga tuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, ukimpeleka kwenye mafuta nako Ni shida tupu Sasa unasema "Tanzania hatuzalishi mafuta" uwezo wake unekomea hapo ,komaeni na shida zenu Hana rescue alternative,Sasa unampendaje mtu was hivyo.mama naye kung'ang'ana na makambà utadhani yeye makambà ndiyo mtanzania pekee mwenye akili,tumbulia mbali huyo waje wenye solution za matatizo ya nchi,hiyo wizara imemzidi kimo,yeye ( makambà) Ni Francis cheka na wizara ya nishati Ni Evander Horrifield huo mpambano ,matokeoa yako wazi tu ,Ni makambà kula za uso mpaka chini,
 
Sababu kubwa ni kwamba January ni mnjamjanja, pia amekua mwepesi wa kutafuta justifications badala ya solutions kwenye matatizo yanayo wagusa waTanzania wenye maisha ya chini moja kwa moja.

Ni waziri kijana anaedhani kwamba anaakili na yupo smart na anawaona waTanzania kama mazuzu.

Nimeona nieleze kwa kifupi kabisa.
Kabisa Mkuu..unajua ukiwa karibu na mkubwa kabisa mtu mwingine unaona hata nambia Nini huyu
 
Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu, hata kichaa hujifunzia kunyoa!

Tuna mawaziri ambao hawapaswi kuwepo Ofisini kwa jina la waziri kama Makamba n.k
 
Ndiyo,
Napitia michango mingi kutokea mitandaoni, karibu Mitandao yote inayotumiwa na watanzania,

Wengi wao hawataki uongozi wa Waziri Makamba, ni kwa nini?

Mawaaziri ni wengi, lakini kwa nini iwe ni Makamba pekee asiyetakiwa na watanzania wengi?

Hata hivyo, wizara hii anayoiongoza, mawaziri wengi waliopita hapa, hawakuwahi kuzimaliza changaoto zilizopo hata Leo, licha ya hivyo, hakukuwa na kelele nyingi kama zinavyppigwa Leo kwa mh Waziri, kwa nini Makamba na sio kina Mhongo na kina ngeleja ambao hawakukataliwa waziwazi kama ilivyo leo

Je, Waziri analifahamu hilo,?

Na kama analifahamu anangoja nini kuachia madaraka, kunaumaana gani kufanya kazi ambapo watu wengi hawakutaki?
Wasiompenda Makamba ni team Sukuma gangster sababu ya chuki binafsi
 
Wasiompenda Makamba ni team Sukuma gangster sababu ya chuki binafsi
Hili jina hata mbowe hataki watu wake walitumie, maana limebeba mamiloni ya watu ambayo pia wanaleta hofu kwenye chaguzi zijazo!

Siku nyingine usiite hivyo, Bali jenga hoja yako tuu utaeleweka mkuu
 
Back
Top Bottom