Kwanini Watanzania hawatawaunga mkono wapinzani (CHADEMA& ACT-Wazalendo) kwenye mgomo wao na maandamano

Sawa EXPERT member. Kwa hiyo uchaguzi ni batili kwa vile uliruhusu watu ambao sio raia kugombea urais, ubunge na udowani.

Amandla...
Msikilize Polepole kwenye Press conference yake ya jana. Tunahitaji hayo makaratasi ya kupigia kura ambayo wanadai kugushiwa yapelekwe polisi yakafanyiwe Forensic investigation. Mbona hawafanyi hivyo? Sijui kama unajua maana ya forensic invesrigation ni nini? Na nafikiri hata Lissu na Zitto ni mabogus hawajui kama kitu kama hicho kipo. Wangejua wasinge kuwa wanazuga namna hiyo. Wamesha kamatwa uhuni wao.

Lissu, Mbowe, Maalim Seif, Zitto na wengineo ni majambazi tu hayo ambayo yanataka kutumia rasilimali za nchi yetu kwa manufaa yao na mabeberu wanao wa-support. Lissu, Mbowe, Maalim Seif, Zitto na wengineo ni kwishni!

Vilevile wakati wa kupiga kura yale makaratasi hupigwa mihuli ya tarehe na kituo cha kupigia kura na halfu kutiwa sain. Sasa watuonyeshe basi wote tuyaone.

Kitu ambacho haya majuha hayakuelewa ni kuwa zile karatasi zina tolewa kutoka kwenye ki bunch ambacho kina namba sawa sawa na hizo karatasi na pia aina ya karatasi. Kama vile risiti.

Kwa hiyo lazima tuzifanyie investigation ya kina ili kubaini hizo karatasi zilitoka wapi?
 
Msikilize Polepole kwenye Press conference yake ya jana. Tunahitaji hayo makaratasi ya kupigia kura ambayo wanadai kugushiwa yapelekwe polisi yakafanyiwe Forensic investigation. Mbona hawafanyi hivyo? Sijui kama unajua maana ya forensic invesrigation ni nini? Na nafikiri hata Lissu na Zitto ni mabogus hawajui kama kitu kama hicho kipo. Wangejua wasinge kuwa wanazuga namna hiyo. Wamesha kamatwa uhuni wao.

Lissu, Mbowe, Maalim Seif, Zitto na wengineo ni majambazi tu hayo ambayo yanataka kutumia rasilimali za nchi yetu kwa manufaa yao na mabeberu wanao wa-support. Lissu, Mbowe, Maalim Seif, Zitto na wengineo ni kwishni!

Vilevile wakati wa kupiga kura yale makaratasi hupigwa mihuli ya tarehe na kituo cha kupigia kura na halfu kutiwa sain. Sasa watuonyeshe basi wote tuyaone.

Kitu ambacho haya majuha hayakuelewa ni kuwa zile karatasi zina tolewa kutoka kwenye ki bunch ambacho kina namba sawa sawa na hizo karatasi na pia aina ya karatasi. Kama vile risiti.

Kwa hiyo lazima tuzifanyie investigation ya kina ili kubaini hizo karatasi zilitoka wapi?
Sawa mtaalam wa Forensic Investigation.

Amandla...
 
Kwanini Watanzania hawatawaunga mkono wapinzani kwenye mgomo wao na maandamano.

Kwanza vyama vya upinzani vimegoma kukubali mapungufu yao makubwa kabisa ya kimuundo na kisera katika vyama vyao. Kwanza kabisa wananchi wanataka kujua kama kweli wana nia ya dhati?

Kwanini kuna ACT Wazalendo alafu kuna Chadema, kwanini? Kwanini wasiungane kutengeneza lichama likubwa lenye nguvu?

Ukisema ni milengo ya kisiasa nitakataa kwasababu ACT walikuwa ni Wajamaa (SOCIALIST, SOCIALISM), na akina Maalim Seif ni waliberali (LIBERAL, LIBERALISM) sasa inakuwaje wanaungana hii ni milengo inayokinzana sana kwahiyo utagundua kuwa ni interest tu na matamanio binafsi ya hawa ndugu, it has got nothing to with the interest of the people ni mambo binafsi kabisa.

Leo hii ukiwauliza ACT wao ni waliberali ama wajamaa hawawezi kukujibu, kwasababu kila mtu anavutia kwake raia wanaanzaje kuwachagua wakati wao wenyewe hawaelewani?

Hawataki mjadala huo na matokeo yake kimebaki kama kikundi cha watu flani wenye maslahi flani tu, zaidi zaidi wanajipachika uislamu kwenye chama chao kwasababu viongozi wa juu ni wadini sana. Wanataka waone waislamu kwamba kile ndio chama chao jambo ambalo ni hatari sana na ndio maana inaweza ikawa ngumu sana hiko chama kukua huku upande wa bara, kwasababu kinatoa sura ya udini udini, na sababu kuu ya kuungana na Maalim Seif Sharif ni hiyo. Lakini habari njema ni kwamba wenye dini yao ndugu Waislamu wamekikataa.

Ukitaka kujua kuwa hawa viongozi wa upinzani ni wabinafsi waambie waunganishe nguvu kuanzia hivi leo, wasisubiri tuko katikati ya uchaguzi ndio waseme tunamuunga mkono mgombea flani, hawawezi fanya hivyo kwasababu za kibinafsi kabisa.

Kwanini basi Mtanzania wa leo aache shughuli zake za msingi ili aende kuandamana mpaka Godbless Lema ama Mchungaji Peter Msigwa ama Halima Mdee ama Freeman Mbowe awe mbunge, watawasaidia nini hawa raia?. Wamekuwa wabunge kwa muda mrefu wamesaidia nini majimboni kwao?

Ni wakati muafaka kwa waliokuwa wabunge wa Upinzani kukubaliana na hali halisi kwamba wamekuwa kikwazo sana kwa maendeleo ya watu, wamekuwa wakitaka lockdowns, hawataki Bwawa la Nyerere la Umeme, hawataki Reli ya kisasa ( SGR) hawataki miradi ya Maji, Majengo ya mahospitali, Mashule n.k, pamoja na kupinga vitu vyote hivyo lakini chuma amekuwa akivitekeleza kwa ufasaha kabisa, kwahiyo uwepo wao hauna maana yeyote kwenye agenda ya maendeleo ya nchi yetu.

Kwasababu ya sera mbovu walizonazo ndio maana serikali haisikilizagi mambo yao inafanya mambo yake, tafakari kama serikali ingewasikiliza walivyosema nchi watu wafungiwe ndani tungekuwaje sasa hivi, kama haitoshi ilani zao wanasema tuweke rehani rasilimali zetu kama madini, gesi na mafuta ili kupata fedha, ni chizi tu atakayekubali ujinga kama huu, leo hii mimi kama Mtanzania siwezi kuandamana kuunga mkono uhuni huu kwa kuwa naipenda sana nchi hii.

1) Watanzania hawawezi kuandamana ili kupinga ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) hawawezi kamwe.

2) Watanzania hawawezi kuandamana ili kupinga ujenzi wa Bwawa kubwa la Umeme ili kumaliza tatizo kubwa la umeme lililopo Tanzania.

3) Watanzania hawawezi kuandamana ili kupinga ujenzi wa zahanati na mahospitali kila kona ya nchi hii.

4) Watanzania hawawezi kuandamana kupinga watoto wanaoenda shule bila kutoa ada na wale wa chuo wanaopewa mikopo mikubwa bila shida na kwa wakati.

5) Watanzania hawawezi kuandamana kupinga barabara nzuri zinazojengwa kila kona ya nchi hii.

6) Watanzania hawawezi kuandamana kupinga kuhudumiwa vizuri waendapo kupata huduma serikalini.

7) Watanzania hawawezi kuandamana kupinga uwekezaji kwenye sekta ya maji katika nchi hii ni vigumu sana kulipinga hili.

8) Watanzania wamekataa hadaa za wapinzani juu ya maendeleo yao.

9) Sababu kuu ya upinzani kuitisha maandamano ni ubinafsi tu, kwamba viongozi wa upinzani wanajiona kama ma Chief ukimaanisha kwamba wao kuchaguliwa na wananchi ni lazima na ili uchaguzi kwao uwe huru na haki ni lazima au mpaka washinde wao, najiuliza vipi wangekuwa wao ndio Chenge ama Kapuya na wengineo wengi.

10) Ukata wa fedha za Ruzuku ndio kitu kinawafanya wahangaike kutafuta huruma za wafuasi wao na kwa bahati mbaya wameyaita maandamano yao kama ni maandamano ya vyama viwili tu, na kejeli kwa wale wanaamini Dkt. John Pombe Magufuli anastahili kuendeleza shughuli alizozianza miaka mitano iliyopita, kwamba tukapime milembe, nani anafaa kupimwa milembe anaetaka kuweka rehani madini yetu ama anaeyatunza ili yanufaishe Taifa letu?

11) Kwanini Mtanzania aandamane ili Mbowe, Zitto, Msigwa ama Lema awe mbunge ni kwa faida ya nani haswa, yani Mtanzania aandamane ili Lema au Sugu awe mbunge kweli inaingia akilini, watu ambao hawajawahi kubadilisha chochote katika nchi hii zaidi ya kupata mishahara na malupulupu kwa ajili ya wao na familia zao, wanajenga biashara wao wenyewe, leo hii kwanini Mtanzania aandamane kwa ajili yao, kwa lipi haswa?

12) Hawa watu bado wana mentality ya uwepo wa Corona bado wanakejeli hatua zilizochukuliwa halafu leo wanakusanya watu bila hofu ya Corona, lakini bado wana hamu ya kuwawekea Lockdown raia wa Tanzania, tumewakosea nini sisi? ni Mtanzania gani anaweza kusapoti watu wa aina hii? hawana hofu ya Mungu na Lissu kwa mdomo wake amekuwa akikejeli kwamba Mungu hawezi shughulika na Corona, Watanzania wana hofu ya MUNGU hawataki viongozi wasio na hofu ya MUNGU ama wanamtaja MUNGU kwa dhihaka huku hawamuamini.

Watanzania hatutaandamana, fanyeni utafiti (research), wekeni sera zenu vizuri zinaakisi mahitaji ya watu, na watu watawaelewa lakini sio hadaa hizi. Tutawashangaza kwamba hatudanganyiki tunapenda tuendelee kuijenga nchi yetu, imejengwa bila nyie na mtupishe tuendelee kuijenga, atakaebadirisha mawazo tunamkaribisha katika ujenzi wa nchi.

Wenu katika ujenzi wa nchi.
Mwanakijiji Mzalendo Mtanzania.

Yaani usalama wa taifa wako kwenye mitandao na ndiyo wameleta kura feki kila mahali. Tanzania hatuna demokrasia tena na wananchi watachoka siasa
 
Jumatatu kila mpenda haki wa nchi hii ataingia barabarani kudai haki.
Kwa mtu kama wewe mjinga-mjinga hujui Kesho yako itakuaje huwezi kuona lolote Baya Ila Kwa wale wote ambayo wanawaza kuhusu Tanzania ya miaka 10 lazima atoke barabaran kudai haki,wewe endelea kukata kachumbari Sisi wenye kujua maisha yakoje endelea kutazama SERIES
Kwanza wapinzani tambueni mema aliofanya Magu msikimbilie mabaya alioyafanya afu kumbukeni kuwa yeye si malaika kuna makosa pia kafanya lakini bado tunaamini kuwa ndo Musa wetu hajamilza safari lazima amalize .Nyie mnataka muingie hata ile Sgr igembaki magofu maana hamna strategies...
 
Back
Top Bottom