Kwanini Watanzania hawatawaunga mkono wapinzani (CHADEMA& ACT-Wazalendo) kwenye mgomo wao na maandamano

Tulieni, sana sana muongeze vifaru kabisa.2/11/2020 na kuendelea siku ya kwanza itakuwa na misukosuko lakini hatutakata tamaa .
 
Kwanini Watanzania hawatawaunga mkono wapinzani kwenye mgomo wao na maandamano.

Kwanza vyama vya upinzani vimegoma kukubali mapungufu yao makubwa kabisa ya kimuundo na kisera katika vyama vyao. Kwanza kabisa wananchi wanataka kujua kama kweli wana nia ya dhati?

Kwanini kuna ACT Wazalendo alafu kuna Chadema, kwanini? Kwanini wasiungane kutengeneza lichama likubwa lenye nguvu?

Ukisema ni milengo ya kisiasa nitakataa kwasababu ACT walikuwa ni Wajamaa (SOCIALIST, SOCIALISM), na akina Maalim Seif ni waliberali (LIBERAL, LIBERALISM) sasa inakuwaje wanaungana hii ni milengo inayokinzana sana kwahiyo utagundua kuwa ni interest tu na matamanio binafsi ya hawa ndugu, it has got nothing to with the interest of the people ni mambo binafsi kabisa.

Leo hii ukiwauliza ACT wao ni waliberali ama wajamaa hawawezi kukujibu, kwasababu kila mtu anavutia kwake raia wanaanzaje kuwachagua wakati wao wenyewe hawaelewani?

Hawataki mjadala huo na matokeo yake kimebaki kama kikundi cha watu flani wenye maslahi flani tu, zaidi zaidi wanajipachika uislamu kwenye chama chao kwasababu viongozi wa juu ni wadini sana. Wanataka waone waislamu kwamba kile ndio chama chao jambo ambalo ni hatari sana na ndio maana inaweza ikawa ngumu sana hiko chama kukua huku upande wa bara, kwasababu kinatoa sura ya udini udini, na sababu kuu ya kuungana na Maalim Seif Sharif ni hiyo. Lakini habari njema ni kwamba wenye dini yao ndugu Waislamu wamekikataa.

Ukitaka kujua kuwa hawa viongozi wa upinzani ni wabinafsi waambie waunganishe nguvu kuanzia hivi leo, wasisubiri tuko katikati ya uchaguzi ndio waseme tunamuunga mkono mgombea flani, hawawezi fanya hivyo kwasababu za kibinafsi kabisa.

Kwanini basi Mtanzania wa leo aache shughuli zake za msingi ili aende kuandamana mpaka Godbless Lema ama Mchungaji Peter Msigwa ama Halima Mdee ama Freeman Mbowe awe mbunge, watawasaidia nini hawa raia?. Wamekuwa wabunge kwa muda mrefu wamesaidia nini majimboni kwao?

Ni wakati muafaka kwa waliokuwa wabunge wa Upinzani kukubaliana na hali halisi kwamba wamekuwa kikwazo sana kwa maendeleo ya watu, wamekuwa wakitaka lockdowns, hawataki Bwawa la Nyerere la Umeme, hawataki Reli ya kisasa ( SGR) hawataki miradi ya Maji, Majengo ya mahospitali, Mashule n.k, pamoja na kupinga vitu vyote hivyo lakini chuma amekuwa akivitekeleza kwa ufasaha kabisa, kwahiyo uwepo wao hauna maana yeyote kwenye agenda ya maendeleo ya nchi yetu.

Kwasababu ya sera mbovu walizonazo ndio maana serikali haisikilizagi mambo yao inafanya mambo yake, tafakari kama serikali ingewasikiliza walivyosema nchi watu wafungiwe ndani tungekuwaje sasa hivi, kama haitoshi ilani zao wanasema tuweke rehani rasilimali zetu kama madini, gesi na mafuta ili kupata fedha, ni chizi tu atakayekubali ujinga kama huu, leo hii mimi kama Mtanzania siwezi kuandamana kuunga mkono uhuni huu kwa kuwa naipenda sana nchi hii.

1) Watanzania hawawezi kuandamana ili kupinga ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) hawawezi kamwe.

2) Watanzania hawawezi kuandamana ili kupinga ujenzi wa Bwawa kubwa la Umeme ili kumaliza tatizo kubwa la umeme lililopo Tanzania.

3) Watanzania hawawezi kuandamana ili kupinga ujenzi wa zahanati na mahospitali kila kona ya nchi hii.

4) Watanzania hawawezi kuandamana kupinga watoto wanaoenda shule bila kutoa ada na wale wa chuo wanaopewa mikopo mikubwa bila shida na kwa wakati.

5) Watanzania hawawezi kuandamana kupinga barabara nzuri zinazojengwa kila kona ya nchi hii.

6) Watanzania hawawezi kuandamana kupinga kuhudumiwa vizuri waendapo kupata huduma serikalini.

7) Watanzania hawawezi kuandamana kupinga uwekezaji kwenye sekta ya maji katika nchi hii ni vigumu sana kulipinga hili.

8) Watanzania wamekataa hadaa za wapinzani juu ya maendeleo yao.

9) Sababu kuu ya upinzani kuitisha maandamano ni ubinafsi tu, kwamba viongozi wa upinzani wanajiona kama ma Chief ukimaanisha kwamba wao kuchaguliwa na wananchi ni lazima na ili uchaguzi kwao uwe huru na haki ni lazima au mpaka washinde wao, najiuliza vipi wangekuwa wao ndio Chenge ama Kapuya na wengineo wengi.

10) Ukata wa fedha za Ruzuku ndio kitu kinawafanya wahangaike kutafuta huruma za wafuasi wao na kwa bahati mbaya wameyaita maandamano yao kama ni maandamano ya vyama viwili tu, na kejeli kwa wale wanaamini Dkt. John Pombe Magufuli anastahili kuendeleza shughuli alizozianza miaka mitano iliyopita, kwamba tukapime milembe, nani anafaa kupimwa milembe anaetaka kuweka rehani madini yetu ama anaeyatunza ili yanufaishe Taifa letu?

11) Kwanini Mtanzania aandamane ili Mbowe, Zitto, Msigwa ama Lema awe mbunge ni kwa faida ya nani haswa, yani Mtanzania aandamane ili Lema au Sugu awe mbunge kweli inaingia akilini, watu ambao hawajawahi kubadilisha chochote katika nchi hii zaidi ya kupata mishahara na malupulupu kwa ajili ya wao na familia zao, wanajenga biashara wao wenyewe, leo hii kwanini Mtanzania aandamane kwa ajili yao, kwa lipi haswa?

12) Hawa watu bado wana mentality ya uwepo wa Corona bado wanakejeli hatua zilizochukuliwa halafu leo wanakusanya watu bila hofu ya Corona, lakini bado wana hamu ya kuwawekea Lockdown raia wa Tanzania, tumewakosea nini sisi? ni Mtanzania gani anaweza kusapoti watu wa aina hii? hawana hofu ya Mungu na Lissu kwa mdomo wake amekuwa akikejeli kwamba Mungu hawezi shughulika na Corona, Watanzania wana hofu ya MUNGU hawataki viongozi wasio na hofu ya MUNGU ama wanamtaja MUNGU kwa dhihaka huku hawamuamini.

Watanzania hatutaandamana, fanyeni utafiti (research), wekeni sera zenu vizuri zinaakisi mahitaji ya watu, na watu watawaelewa lakini sio hadaa hizi. Tutawashangaza kwamba hatudanganyiki tunapenda tuendelee kuijenga nchi yetu, imejengwa bila nyie na mtupishe tuendelee kuijenga, atakaebadirisha mawazo tunamkaribisha katika ujenzi wa nchi.

Wenu katika ujenzi wa nchi.
Mwanakijiji Mzalendo Mtanzania.
Ningeshauri askari wawaache waandame mpaka wachoke wasiwaguse ngo wawalinde tuone mwisho wao ,nonsense miaka kumi na ushee bado mnaona mna haki tuu who are uuu
 
Wahenga walisema yenye uchungu ndio dawa.
Wapinzani wa Tanzania haswa ACT na CHADEMA wasiporudi nyuma na kujitafakari wanaenda kubaki kwenye historia ya nchi hii kama mfano wa magenge ya watu waliowahi kutumia mfumo demokrasia ya vyama vingi kufanya mambo ya ajabu kuwahi kutokea duniani ikiwamo kuihujumu nchi yao.

Asante kwa kuwaeleza Stephano Mgendanyi kwa kuwakumbusha walikoangukia, sasa ni maamuzi yao kuamua kubaki kuvijenga vyama vyao upya katika misingi ya ukweli wakizingatia uzalendo, au kuungana na wananchi kupokea, kukubali na boresha maendeleo yanayofanywa na kusimamiwa na serikali.

Na katika yote wajue hawawezi kuendelea kuwatumia wananchi wa Tanzania kuungana mkono juhudi za kumsaidia Tundu na bobuamstadamu wake kupata huo ushahidi wa maandamano wanaoutaka kwa udi na uvumba ili kuhhujumu nchi yetu, wala hakuna mwananchi wa Tanzania atakaekubali kuungana nao kubeza na kupinga maendeleo yanayofanya na rais John Pombe Magufuli
Stephano Mgendanyi tokea nianze kusoma humu nyuzi za wadau mbalimbali sijawahi kuona mdau aliyotoa hoja nzuri na yenye mashiko Kama wewe.Hii kwangu ndio best thread Hadi sasa.
mama D umeona hoja ya mdau huyu?
 
Uhuru gani ambao akina Mbowe, Zitto, na Lissu wanautaka? Kauli yao siyo nzuri ya kuwakatalia waliochaguliwa ubunge wa vyama vyao kukubaliana na msimamo wa vyama vyao kuukataa ubunge; angekuwa Mbowe au Zitto ameupata huo ubunge hiyo hoja angeikubali? Kwani hao wabunge waliochaguliwa wanawatumikia akina Mbowe, na Zitto au wanawatumikia wananchi? Wakati wanafanya kampeni hao viongozi walienda kuwapigia kampeni au waliwachangia hela za kupigia kampeni? Na siyo lazima wao akina Mbowe na Zitto na Lissu washinde, maana hata miaka iliyopita kuna watu walishindwa na wakawa wavumilivu.

Wapinzani kubalini kushindwa. Jipangeni msimu ujao.
Tuingie barabarani jamani. Our future is in our hands. Mwalimu Nyerere hakuogopa kudai uhuru toka kwa mkoloni mweupe. Vijana wa sasa tuna wajibu wa kudai uhuru toka kwa mkoloni mweusi.

View attachment 1616618
 
Tatizo ninalo liona tz tunajitoa ufaham Sana Yani taifa lipo katika kipindi kigumu badala ya kushauri Nini kifanyike tusonge mbele ,mnakaa leta mada za maajabu ,za kujikomba, za uchama n.k alafu mwajihita wazalendo ,mpaka mda huu ni taifa kwanza sio ccm au jpm ,na Kama organ za nchi hamuoni kwamba taifa linaenda kuangamia kisa kwa sababu ya kikundi kidogo tu ambacho hakizidi watu mia tutu ,basi mtakua na tatizo,
Mpaka Sasa dalili ziko wazi kwamba mteule wa nec hatatambuliwa na jumuiya za kimataifa,lakini hamsemi na hamtaki mshauri Kama vile Sasa amekua juu ya taifa
Tamko la vyama jana sio la kupeza mtaani watu wanamajonzi na hasira,so msilete utani hapa kitawaka kwelikweli
Viongozi wa dini ambao tunawategemea kuwa msahada mkubwa kwa kipindi hiki mko kimia na mmejikita kusifia wakati taifa linaelekea kuzama alafu utamsikia eti Kuna kamati ya amani ya taifa,Sasa Mimi niseme ukweli nalipenda kweli taifa langu so sio mda wakumba mtu wakati taifa laekea kuzama
MWISHO NO WAY OUT lazima uchaguzi huu ufutwe na hapa sio ombi ni lazima kwa manufaa mapana ya taifa naamini ORGAN ZA NCHI MNAELEWA ,
KIKWETE ,MWINYI, KAMA WASTAHAFU LAZIMA MSIMAME SASA TENA KWA HAKILI KUBWA NA MSIMAMO MZITO MAANA MLIKUEPO NA MLIACHA TAIFA LIKIWA SAWA,MDA WA KUCHEKA UMEISHA ,TAIFA KWANZA
 
Uhuru gani ambao akina Mbowe, Zitto, na Lissu wanautaka? Kauli yao siyo nzuri ya kuwakatalia waliochaguliwa ubunge wa vyama vyao kukubaliana na msimamo wa vyama vyao kuukataa ubunge; angekuwa Mbowe au Zitto ameupata huo ubunge hiyo hoja angeikubali? Kwani hao wabunge waliochaguliwa wanawatumikia akina Mbowe, na Zitto au wanawatumikia wananchi? Wakati wanafanya kampeni hao viongozi walienda kuwapigia kampeni au waliwachangia hela za kupigia kampeni? Na siyo lazima wao akina Mbowe na Zitto na Lissu washinde, maana hata miaka iliyopita kuna watu walishindwa na wakawa wavumilivu.

Wapinzani kubalini kushindwa. Jipangeni msimu ujao.

Uhuru gani ambao akina Mbowe, Zitto, na Lissu wanautaka? Kauli yao siyo nzuri ya kuwakatalia waliochaguliwa ubunge wa vyama vyao kukubaliana na msimamo wa vyama vyao kuukataa ubunge; angekuwa Mbowe au Zitto ameupata huo ubunge hiyo hoja angeikubali? Kwani hao wabunge waliochaguliwa wanawatumikia akina Mbowe, na Zitto au wanawatumikia wananchi? Wakati wanafanya kampeni hao viongozi walienda kuwapigia kampeni au waliwachangia hela za kupigia kampeni? Na siyo lazima wao akina Mbowe na Zitto na Lissu washinde, maana hata miaka iliyopita kuna watu walishindwa na wakawa wavumilivu.

Wapinzani kubalini kushindwa. Jipangeni msimu ujao.
Watanzania wamechagua maendeleo na wanaenda na John Pombe Magufuli
ACT na CHADEMA waamue kubadilika kwa kuunga mkono juhudi za rais au wajitafakari na kujenga upya vyama vyao katika misingi ya haki, uzalendo na ukweli
 
Jumatatu kila mpenda haki wa nchi hii ataingia barabarani kudai haki.
Kwa mtu kama wewe mjinga-mjinga hujui Kesho yako itakuaje huwezi kuona lolote Baya Ila Kwa wale wote ambayo wanawaza kuhusu Tanzania ya miaka 10 lazima atoke barabaran kudai haki,wewe endelea kukata kachumbari Sisi wenye kujua maisha yakoje endelea kutazama SERIES
me kila siku naingia barabarani mkuu kwenda kazin na kurud nyumban hiyo inanitosha kwa wanangu kupata mkate wao
 
Kwa nini hakubadilisha katiba,wakati alijua madhara yake kama akitokea rais dictator.
Kwani na hapa Tanzania kuna kiongozi dikteta? Ni lazima ujue kutofautisha kati ya Rais dikteta na kiongozi mkali. Rais JPM ni kiongozi mkali ambaye ni mwepesi kuchukia uzembe. Ni mtu ambaye anataka matokeo tu ya kazi aliyokupa, na hana muda wa kubembeleza mtu. Msimamo huu ndiyo unamfanya aonekane ni mkali kupita kiasi.
 
Uhuru gani ambao akina Mbowe, Zitto, na Lissu wanautaka? Kauli yao siyo nzuri ya kuwakatalia waliochaguliwa ubunge wa vyama vyao kukubaliana na msimamo wa vyama vyao kuukataa ubunge; angekuwa Mbowe au Zitto ameupata huo ubunge hiyo hoja angeikubali? Kwani hao wabunge waliochaguliwa wanawatumikia akina Mbowe, na Zitto au wanawatumikia wananchi? Wakati wanafanya kampeni hao viongozi walienda kuwapigia kampeni au waliwachangia hela za kupigia kampeni? Na siyo lazima wao akina Mbowe na Zitto na Lissu washinde, maana hata miaka iliyopita kuna watu walishindwa na wakawa wavumilivu.

Wapinzani kubalini kushindwa. Jipangeni msimu ujao.
 
Watanzania wamechagua maendeleo na wanaenda na John Pombe Magufuli
ACT na CHADEMA waamue kubadilika kwa kuunga mkono juhudi za rais au wajitafakari na kujenga upya vyama vyao katika misingi ya haki, uzalendo na ukweli
Wanata kushika dola lakini hataki kujipanga. Sasa kama mpaka inafikia katikati ya kampeni lakini bado hawajaungana na kujua wanam support nani kwenye nafasi ya Rais (Membe au Maali Seif), Ubunge, na Udiwani, je watu hawa wako serious? Upinzani umekaa mjini tu, vijijini huko hawaonekani? Viongozi wao wengi wanaonekana Twitter, Instagram, na Facebook na kwenye social medias. Huko nje mtaani hata hawawajui. Kwenye hizi social media wamejaa kwa sehemu kubwa INTELLECTUALS tu, but VOTERS are both (Elite and non- elite person). Wapinzani wanafanya uchaguzi unakuta tathimini inaonyesha sehemu kubwa hawakusimamisha wagombea, bado tu wanategemea ushindi wa kishindo kutoka wapi?
 
Tulieni, sana sana muongeze vifaru kabisa.2/11/2020 na kuendelea siku ya kwanza itakuwa na misukosuko lakini hatutakata tamaa .
Uhuru gani ambao akina Mbowe, Zitto, na Lissu wanautaka? Kauli yao siyo nzuri ya kuwakatalia waliochaguliwa ubunge wa vyama vyao kukubaliana na msimamo wa vyama vyao kuukataa ubunge; angekuwa Mbowe au Zitto ameupata huo ubunge hiyo hoja angeikubali? Kwani hao wabunge waliochaguliwa wanawatumikia akina Mbowe, na Zitto au wanawatumikia wananchi? Wakati wanafanya kampeni hao viongozi walienda kuwapigia kampeni au waliwachangia hela za kupigia kampeni? Na siyo lazima wao akina Mbowe na Zitto na Lissu washinde, maana hata miaka iliyopita kuna watu walishindwa na wakawa wavumilivu.

Wapinzani kubalini kushindwa. Jipangeni msimu ujao.
 
Tulieni, sana sana muongeze vifaru kabisa.2/11/2020 na kuendelea siku ya kwanza itakuwa na misukosuko lakini hatutakata tamaa .
UKIWAONA HAWA KATIKA MAANDAMANO, ANDAMANA!!
---------------------------------

1. Ukimuona Dudley, mtoto wa kwanza na Freeman Mbowe na wadogo zake wakiongoza maandamano nawe andamana. Freeman Mbowe pekee hatoshi, yeye hawezi kupigwa risasi hata moja. Nafasi yake ya Uenyekiti wa Chama kikuu cha Upinzani nchini inamlinda, ni jicho la Dunia anatazamwa, hakuna risasi inayoweza kuelekezwa kwake hata moja. Pale Mkwajuni Kinondoni risasi ilimkwepa Mbowe ikamuua Akwiline Akwelina. Wazazi wake wanalia hadi sasa, hakuna kitu. Usipowaona watoto wa Freeman Mbowe usiandamane!!

2. Ukimuona Alicia Magabe na watoto wake wa damu andamana. Alicia ni mke wa Tundu Lissu ambae Urais wa Lissu unamhusu zaidi kuliko mimi na wewe. Ukimuona Tundu Lissu peke yake usidanganyike kuandamana. Lissu ndie aliegombea Urais kwa Chama kikuu cha upinzani akiungwa mkono na ACT Wazalendo, huyu ni icon ya uchaguzi, ndie mwanamkakati ktk maandano hayo. Dunia yote ipo kwake, akifa hakuna cha kujificha, mission INATIKI.

Hakuna Askari mpumbavu anaweza kulenga shabaha ktk mwili wa Lissu, risasi zitaelekezwa kwako. Utakufa na si ajabu usifahamike, taarifa zako hazitofika popote, utakufa kama Mbwa, utazikwa siku inayofuata ktk kabuli la futi mbili au usizikwe kabisa. Usipomuona Alicia na wanawe, usiandamane!!

3. Ukimuona Bi Fourtuna Salehe na Bi Aweina Sinani na watoto wao katika maandamano andamana. Hii ni familia ya Maalim Seif ambayo inasemwa kuwa imepelekwa Oman mafichoni tayari. Wanasema watu wameuawa Zanzibar lkn hakuna jina la mtoto wa Maalim Seif wala wa mtoto wa Jussa hata moja. Usiwe mjinga, hukuzaliwa kuwa chambo, hukuzaliwa kwa ajili ya Urais wa Maalim au Lissu. Wakiwa Marais wewe haitokusaidia chochote. Usipomuona mtoto wa Maalim Seif, wake zake na familia yake jilalie zako nyumbani hauna cha kupoteza.

4. Ukimuona Anna Bwana, Wiza na Josina ktk maandamano yaliyoitishwa na wewe ungana nao, andamana kwa moyo mkunjufu kabisa. Hii ni familia ya Zitto Kabwe, akiwa peke yake muache aendelee na kazi yake. Zitto Kabwe ni Kiongozi wa Chama cha upinzani (KC), ni jicho la Dunia hawezi kupigwa risasi taratibu za kuzuia maandamano zinamtambua na kumlinda. Usipomuona mke wake, watoto na ndugu zake wengine achana na kazi hiyo haina faida itakupeleka kuzimu bure.

5. Ukimuona Askofu Bagonza na mkewe, na watoto wake wote ktk maandamano andamana. Akiwa peke yake muombee kwa Mungu, usijiunge nae. Ukimuona Lema na watoto wake, Sugu na mke wake na watoto zake, Msigwa na wadogo zake kutoka Iringa, Heche na mkewe na watoto wake andamana.
Ukiwaona wao peke yao usiandamane, Ubunge na Urais wao hauna maana yoyote kwako. Maisha yako ni ya kwako peke yako, pambana!!
#USIANDAMANE!!
 
Wanata kushika dola lakini hataki kujipanga. Sasa kama mpaka inafikia katikati ya kampeni lakini bado hawajaungana na kujua wanam support nani kwenye nafasi ya Rais (Membe au Maali Seif), Ubunge, na Udiwani, je watu hawa wako serious? Upinzani umekaa mjini tu, vijijini huko hawaonekani? Viongozi wao wengi wanaonekana Twitter, Instagram, na Facebook na kwenye social medias. Huko nje mtaani hata hawawajui. Kwenye hizi social media wamejaa kwa sehemu kubwa INTELLECTUALS tu, but VOTERS are both (Elite and non- elite person). Wapinzani wanafanya uchaguzi unakuta tathimini inaonyesha sehemu kubwa hawakusimamisha wagombea, bado tu wanategemea ushindi wa kishindo kutoka wapi?

Walijisahau sana hao. Akili zao zilikua kwenye siasa za kabla ya 2015 bila kujua kwamba wananchi wanaenda sawa na rais John Pombe Magufuli kwa vitendo hadi hii 2020
Waache waendelee kulalamika ila watanzania wameshaamua
 
UKIWAONA HAWA KATIKA MAANDAMANO, ANDAMANA!!
---------------------------------

1. Ukimuona Dudley, mtoto wa kwanza na Freeman Mbowe na wadogo zake wakiongoza maandamano nawe andamana. Freeman Mbowe pekee hatoshi, yeye hawezi kupigwa risasi hata moja. Nafasi yake ya Uenyekiti wa Chama kikuu cha Upinzani nchini inamlinda, ni jicho la Dunia anatazamwa, hakuna risasi inayoweza kuelekezwa kwake hata moja. Pale Mkwajuni Kinondoni risasi ilimkwepa Mbowe ikamuua Akwiline Akwelina. Wazazi wake wanalia hadi sasa, hakuna kitu. Usipowaona watoto wa Freeman Mbowe usiandamane!!

2. Ukimuona Alicia Magabe na watoto wake wa damu andamana. Alicia ni mke wa Tundu Lissu ambae Urais wa Lissu unamhusu zaidi kuliko mimi na wewe. Ukimuona Tundu Lissu peke yake usidanganyike kuandamana. Lissu ndie aliegombea Urais kwa Chama kikuu cha upinzani akiungwa mkono na ACT Wazalendo, huyu ni icon ya uchaguzi, ndie mwanamkakati ktk maandano hayo. Dunia yote ipo kwake, akifa hakuna cha kujificha, mission INATIKI.

Hakuna Askari mpumbavu anaweza kulenga shabaha ktk mwili wa Lissu, risasi zitaelekezwa kwako. Utakufa na si ajabu usifahamike, taarifa zako hazitofika popote, utakufa kama Mbwa, utazikwa siku inayofuata ktk kabuli la futi mbili au usizikwe kabisa. Usipomuona Alicia na wanawe, usiandamane!!

3. Ukimuona Bi Fourtuna Salehe na Bi Aweina Sinani na watoto wao katika maandamano andamana. Hii ni familia ya Maalim Seif ambayo inasemwa kuwa imepelekwa Oman mafichoni tayari. Wanasema watu wameuawa Zanzibar lkn hakuna jina la mtoto wa Maalim Seif wala wa mtoto wa Jussa hata moja. Usiwe mjinga, hukuzaliwa kuwa chambo, hukuzaliwa kwa ajili ya Urais wa Maalim au Lissu. Wakiwa Marais wewe haitokusaidia chochote. Usipomuona mtoto wa Maalim Seif, wake zake na familia yake jilalie zako nyumbani hauna cha kupoteza.

4. Ukimuona Anna Bwana, Wiza na Josina ktk maandamano yaliyoitishwa na wewe ungana nao, andamana kwa moyo mkunjufu kabisa. Hii ni familia ya Zitto Kabwe, akiwa peke yake muache aendelee na kazi yake. Zitto Kabwe ni Kiongozi wa Chama cha upinzani (KC), ni jicho la Dunia hawezi kupigwa risasi taratibu za kuzuia maandamano zinamtambua na kumlinda. Usipomuona mke wake, watoto na ndugu zake wengine achana na kazi hiyo haina faida itakupeleka kuzimu bure.

5. Ukimuona Askofu Bagonza na mkewe, na watoto wake wote ktk maandamano andamana. Akiwa peke yake muombee kwa Mungu, usijiunge nae. Ukimuona Lema na watoto wake, Sugu na mke wake na watoto zake, Msigwa na wadogo zake kutoka Iringa, Heche na mkewe na watoto wake andamana.
Ukiwaona wao peke yao usiandamane, Ubunge na Urais wao hauna maana yoyote kwako. Maisha yako ni ya kwako peke yako, pambana!!
#USIANDAMANE!!

Waambie hao waelewe
Ujumbe muhimu sana huu
 
Back
Top Bottom