Kwanini wasukuma wanapenda mabinti weupe?

Kwanini wasukuma wanapenda mabinti weupe?

Wanawake weupe siwapendagi, kitu black bhannaaa, achaaa tuhhh, alafu awe anang'aa kama mululu ulipakwa mafuta ya kupikia.
 
Wala si washamba na si limbukeni. Kwani Mimi naishi na hawa jamaa ila wanapenda vinavyopendwa!
 
Ndio mila zao.wanavo jua wao kuwa hata kuwa na maali kubwa.na pambo kwake la kujisifia
 
We hela huna mwanamke mzuri utampata wapi? Sisi tunapenda vitu vizuri bwana malapu lapu tunawaachia wasio na hela unadhani utamuoa Nancy sumari kwa m2?
 
Hawa wajomba zangu wananishangaza sana inabidi leo nipatiwe majibu.Mwanamke mweupe huolewa kwa ng'ombe wengi tofauti na wengine.Wasukuma huwa tayari kutoa chochote ili kutimiza adhma ya kuwa na vyeupe.Pia msukuma yupo radhi kuhonga chcochote kwa mtoto cheupe hata kama ni cha jumuiya.Je ni kwa sababu ya ushamba,ulimbukeni,maagano au ni tamaduni zao?Majibu yasiyokuwa na povu ni muhimu bandugu.
ni athari za kiutamaduni ambapo wasukuma waliishi bila umeme na nishati za kueleweka kwa muda mrefu. hivyo walihusudu wanawake weupe ambao hata gizani wanaonekana fresh
 
ni athari za kiutamaduni ambapo wasukuma waliishi bila umeme na nishati za kueleweka kwa muda mrefu. hivyo walihusudu wanawake weupe ambao hata gizani wanaonekana fresh

Mh!
 
Hawa wajomba zangu wananishangaza sana inabidi leo nipatiwe majibu.Mwanamke mweupe huolewa kwa ng'ombe wengi tofauti na wengine.Wasukuma huwa tayari kutoa chochote ili kutimiza adhma ya kuwa na vyeupe.Pia msukuma yupo radhi kuhonga chcochote kwa mtoto cheupe hata kama ni cha jumuiya.Je ni kwa sababu ya ushamba,ulimbukeni,maagano au ni tamaduni zao?Majibu yasiyokuwa na povu ni muhimu bandugu.
Mimi ni Msukuma lakini sifagilii wanawake weupe mi napenda chocolate Mkuu...acha kabisa naweza kumpa hata moja ya viwanja vyangu aiseee...pia haswa akiwa na nyama kidogo sio sanaaa...jamani acha tuu halafu humu JF WAPO Ila wametulia tuliiii....dawa yao ni kuwapa tuuu mazawadi na ma shopping tuuu hadi wakatae...
 
Back
Top Bottom