Kwanini wasukuma wanapenda mabinti weupe?

Kwanini wasukuma wanapenda mabinti weupe?

Astaghfirulah.unakufuru ndugu weusi unanyima raha kivipi?.Mimi ni mweusi na sijawahi kosa raha hata siku moja sababu ya weusi wangu na nimeishi maeneo maeneo mengi yenye ubaguzi
Bora yako ww wala usiseme easy meeeen kuna watu wanatamani sana wawe weupe everyday bt haiwezekani wanaishia kuishi bila amani hii wala haina ya kuuliza ni mitizamo tu.
 
Let m the subject
>equation
Mi mweusi afu Nioe mke mweusi
>by Darwinism theory
=Mtt ataezaliwa si atakua play of BLACK MAMBA
 
Bora yako ww wala usiseme easy meeeen kuna watu wanatamani sana wawe weupe everyday bt haiwezekani wanaishia kuishi bila amani hii wala haina ya kuuliza ni mitizamo tu.
Ni mtumwa wa fikra pekee anayeichukia rangi ya ngozi yake ama kutamani rangi ya ngozi ya watu wa asili nyengine.
 
Mleta thread bila shaka umefirisika kimawazo(umewaza kishamba). Je, wanawake wangapi leo wanashinda saloon na maduka ya vipodozi ili kubadili rangi za ngozi zao??

Je, wanabadili ili wakaolewe usukumani kwa mahari ya ng'ombe wengi??

Nenda site ufanye utafiti kwanza ndio utuletee uzi wenye hoja zenye mashiko na si kutumia stori za vijiweni.
 
Si umesema weupe... kwani wewe unapenda weusi? Uoni hata hao weusi wanajibadiri rangi wawe kama wa simiyu... na siku zote cheupe ung'ara
 
Mleta thread bila shaka umefirisika kimawazo(umewaza kishamba). Je, wanawake wangapi leo wanashinda saloon na maduka ya vipodozi ili kubadili rangi za ngozi zao??

Je, wanabadili ili wakaolewe usukumani kwa mahari ya ng'ombe wengi??

Nenda site ufanye utafiti kwanza ndio utuletee uzi wenye hoja zenye mashiko na si kutumia stori za vijiweni.

Eti stori za vijiweni!Mimi nimeishi na wasukuma na mzazi wangu mmoja ni msukuma.Wewe ndio unatakiwa uje site kwa sababu hata sasa nipo site.
 
Tena kama ukimkuta mtoto wa kipare mwenye rangi ka mwarabu yaani ng'ombe si mali bali ni upuuzi.Bhabehi!
 
Hapo sasa!

Mfano mjomba wangu alikuwa anafanya kazi ultimate security akiwa kama boss na alikuwa na familia yake.Cha ajabu kila mwanamke mweupe aliyekuwa akiomba kazi alikuwa anapewa bila shida na mwisho wa siku aliishia kuomba mchezo.Pia huko ujombani nilishihudia wajomba wakipeana misifa na kujinadi kumiliki wanawake weupe.Kwenye shughuli mbalimbali za kisukuma mwanaume aliyeoa cheupe husifiwa sana"Neyo ele mbate lyapandekile ngw'anike nhana".Na lazima upewe sifa kwa sababu wanajua umetoa mahali kubwa sana.Bhagoshaaaaaa
 
Back
Top Bottom