jaman wewe ni pm basi ili nkupe shda yangu
naitaj kudwnlod izi clips za mazoez ya tumbo bt siwez....
can u help me...........help me pleeeeeeeeeeeeeeees?
nisaidie jaman....nataka swaga km izo apo juu bt za kuplay sjui u tube niaje nashndwa kuases ful....wil u help me?
i ges yes ....so thak u ma dear brazza!!!!
Unajua kupunguza au kuondoa kabisa kitambi ni issue
Ndo maana wanaipotezea
shukrani bro ngoja na mimi nianze hili zoezi maana naona kama kinaninyemelea kwa kasi
heheheheeeeeeeeeeeeee mwe!!!!! we nguli vibaya hivyo
hata mkiwa na uwezo mnabaniamkiona dume linanunua...tena wengine wanywaji asilia wa kilimanjaro kubwa...ile kama fire extinguisher...mkiona dume mnajifanya kunywa kale kabia savannah tena mwataka ya uvuguvugu...inabidi ziagizwe mbili moto na baridi ili zichanganywe...bili yaketzs 3,500x2/round
Wataachaje kupata vitambi wakati ndo tunashindana kupata supu kwa chapati na vilo vya virimoroooooZ?
Nipo kwene HOOD natoka MORO nimekaa na dada mmoja ana kitambi ambacho sasa kimekimbilia mbavuni, huko nyuma ndo hakuna kitu kabsaaa! naunga mkono hoja, ngoja asinzie nimfotoe niwaletee foto yake maana si mnataka ze evidence kama Afande Kovu
haha kiongozi naona unaongelea uzoefu....hii mimi nimeshakumbana nayo sana tu ndo walivyo baadhi ya dada zetu.....(sio wa hapa MMU lakini)
Kuna tatizo DA?
mnataka tusile sasa, msije mkarudisha enzi za zamani kwamba wanawake hawaruhusiwi kula mayai mwe

Pole....
Naona umefyumuu:A S-alert1:
Huyu mkoloni noma sana... nimeimiss hii mada ambayo ni very funny
Kusema ukweli vitambi sasa naona imekua fashion... hahahah..aaaaa.. khe khe...kheeeeeeeeee
Ukiuliza utaambiwa nishazaa mie, sasa sijui hapa ni kweli au la?
mnataka tusile sasa, msije mkarudisha enzi za zamani kwamba wanawake hawaruhusiwi kula mayai mwe
Huyu mkoloni noma sana... nimeimiss hii mada ambayo ni very funny
Kusema ukweli vitambi sasa naona imekua fashion... hahahah..aaaaa.. khe khe...kheeeeeeeeee
Ukiuliza utaambiwa nishazaa mie, sasa sijui hapa ni kweli au la?
Mbona umeogopa tena ofa yangu
Nitakupunguza kitambi usiogopeshwe
sijafyumu wala nini mi namtafuta wa kunipa ofa simpati, naona nina mkosi sijui mwe