Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

eeeeeh mama kubwa amesikia hilo
Hiyo ni tofauti na kitamba
:focus:

1111.jpg
 
Maskini MADAM T kumbe sipendezi, aa jamani inamaana hamna aliyenipenda humu kweli?
 
Mazoezi yanahitajika kwa akina dada, na waache kula chips zilizopikwa kwa mafuta ya transfoma.
 
Siku hizi maradhi ya 'Fibroids' pia yameshamiri. Wengi wana vitambi kwa sababu hiyo na Fibroids nyingine hazina madhara ya maumivu hivyo unakuta zinakua na mwenye nazo anaona kitambi tu bila kujua ana tatizo. Nadhani kwa asilimia kubwa kama sio wote, wanasumbuliwa na maradhi hayo ya uvimbe kwenye matumbo ya uzazi. Ninawafahamu baadhi, kwa vile nami nilipatwa nayo hayo japo sikufutuka tumbo maana ilikuwa maumivu makali hivyo nilikuwa napata tiba kabla hayajawa makubwa yakafutuka kitambi. Hakuna mwanamke anapenda kuwa shapeless.
 
Wengi naona wanalisahau hilo. Kitambi utafikiri nao ni Viongozi wa bendi ya TOT, lol. Wale inaeleweka wanaimba sana kwahiyo uzito unaongeseka, Sasa kina mama siku hizi ni zile bia zisizo na utaratibu
 
Habari yako dada?
 
eeh kuimba ni sababu pia eeh duh eeh bana eeh haya mkuu:A S-alert1:
 
Wengine wanaona nmazoezi ni haramu<honestly...mwanamke mwenye kitambi na anayeona mazoezi haramu,simtaki kabisa.Hakuna ladha...keep all other factors constant
 
Unajua kupunguza au kuondoa kabisa kitambi ni issue
Ndo maana wanaipotezea

sio ishu bwana. Ukiamua unaweza. Basi tu wanawake tunapenda kulakula, mazoezi hatufanyi na kazi ndogo ndogo tu zinatushinda. Tunataka kunenepa. Ukijitahidi unenepe **** au hips na kitambia nacho hicho. Lol!
 
Back
Top Bottom