Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Huyu mkoloni noma sana... nimeimiss hii mada ambayo ni very funny

Kusema ukweli vitambi sasa naona imekua fashion... hahahah..aaaaa.. khe khe...kheeeeeeeeee

Ukiuliza utaambiwa nishazaa mie, sasa sijui hapa ni kweli au la?

Ha ha ha Acid umenichekesha kweli vitambi vya bia na kitumoto ndo fashion?? ha ha ha nicheke ninenepe mie
 
Nimegundua hata mama wa kwanza anacho kiatambi...ila sidhani kama ana jimasangaisha na ma SAVANA na mdudu wetu mpendwa

mpango wa nje ndo mara nyingi wanakuwa na vitambi, sijui inabidi tupunguze zile ofa za bia na kitimoto?
 
Hata mkiwa na uwezo mnabaniamkiona dume linanunua...tena wengine wanywaji asilia wa KILIMANJARO kubwa...ile kama fire extinguisher...mkiona dume mnajifanya kunywa kale kabia SAVANNAH tena mwataka ya uvuguvugu...inabidi ziagizwe mbili moto na baridi ili zichanganywe...bili yakeTZS 3,500X2/round

Yaani nimecheka mpaka basi ingawa habari za ofa mnatudhalilisha ila hii imenibidi nicheke mwe! wanawake sometimes mnatia aibu mtu unapewa ofa unaanza kukomoa bila kujali mfuko wa mwenzio, na ndio mnasababisha tunadhalilika hapa
 
Usihofu mama mimi ndio mtaalamu wa wamama wenye vitambi,kama yeye anaona wa nini mi najiuliza nitakupataje.

Mweh! nashukuru sana jamani kwa kujali, natamani kama niijibu hiyo signature yako hapo au ni maalum ka mtu maalum?
 
Hivi hapa kumbe tumeshabadili topic kuwa ya ofa tena kwa wanaume...hii mtaalamu wake ni Maty tu....

we nawe hebu acha uchokozi mi uko siko leo naangaika na kutafuta tiba ya kitambi changu kumbe hamvipendi, ladies ingawa hii topic inauma mbona hamjampa kibweka thanx pale juu ametusaidia kugundua kumbe vitambi hawavipendi ila basi tu maana wadada/wamama tulishaanza kuvihalalisha na kuviita (kitambi fashion) asante kimbweka kwa kutugutusha lol
 
Nyie watu wa Vitambi, kuna mtu amenionea Maty?Mkimwona Mwambieni babu anahitaji shkamoo yake eti.
 
Ndiko wanakoelekea hawa wataanza oooh wanawake hawatakiwi kula kitu cha moto mara supu na chapati zinaharibu kazazi ili mradi tu tusilie wanaumbe wabaya hawa

hahahaaaaaaaaaaaaa dena umenichekesha mwe asubuhi yangu leo imeanza vizuri maana pamoja na hii topic kutugusa wenye vitambi ila ni fulu kufurahisha lol. huko ndiko wanakoelekea wanaogopa tu kutoa ofa tutanunua wenyewe jamani
 
Nyie watu wa Vitambi, kuna mtu amenionea Maty?Mkimwona Mwambieni babu anahitaji shkamoo yake eti.

babu hapa leo haamkiwi mtu kimbweka kaja kutuchana hapa leo
 
Kamchana nani? Hivi vitambi mnavyozungumzia hapa, vina uhusiano wowote na matiti?

eti matiti mwayapenda lakini vitambi no kweli hii haki? ila wababa mna matatizo mnapenda makalio makubwa vitambi hamvitaki hivi vinakuja pamoja mjue
 
Naambiwa eti kuna babu mewata a.k.a saratani sijui jamaa huwa anakagua kwanza?

na wewe hujanijibu swali langu ujue bia ngumu ndio ikoje? tunataka tujue bia ambazo haziongezi vitambi bana
 
Back
Top Bottom