Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Jamani kwa nini ongezeko la wanawake wenye vitambi limekuwa kubwa?
Idadi ya wanaume inapungua lakini ya wanawake inaongezeka!
Kitambi kwa mwanamke kinapunguza mvuto au hamlijui hilo nyie wanawake?

Pia kuna zile dawa zinaitwa ARV huwa zinanenepesha pia
 
Siku hizi maradhi ya 'Fibroids' pia yameshamiri. Wengi wana vitambi kwa sababu hiyo na Fibroids nyingine hazina madhara ya maumivu hivyo unakuta zinakua na mwenye nazo anaona kitambi tu bila kujua ana tatizo. Nadhani kwa asilimia kubwa kama sio wote, wanasumbuliwa na maradhi hayo ya uvimbe kwenye matumbo ya uzazi. Ninawafahamu baadhi, kwa vile nami nilipatwa nayo hayo japo sikufutuka tumbo maana ilikuwa maumivu makali hivyo nilikuwa napata tiba kabla hayajawa makubwa yakafutuka kitambi. Hakuna mwanamke anapenda kuwa shapeless.

tiba yake ni nini hio fibroids??dalili zake nyingine ni nini?
 
Kila kitu wanawake tu!Nyie mshafanya mazoezi?au hamhitaji?
waambie ao ao wapashe wapashikeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
wenyewe wana vtambi ivooooooooooo kusema wamekimbia leba.....!!!!!!
ahh vtambi uku na uku ile shuguli inakuwa shugul km vp mnatumia blututh katika.....teh teh!!!!
 
Wataachaje kupata vitambi wakati ndo tunashindana kupata supu kwa chapati na vilo vya virimoroooooZ?
 
Nipo kwene HOOD natoka MORO nimekaa na dada mmoja ana kitambi ambacho sasa kimekimbilia mbavuni, huko nyuma ndo hakuna kitu kabsaaa! naunga mkono hoja, ngoja asinzie nimfotoe niwaletee foto yake maana si mnataka ze evidence kama Afande Kovu
 
Mheshimiwa Naiba Spika sorry Naibu wa spika, naomba nijitoe kwenye mjadala huu maana naona mwelekeo wa baadhi wa wajumbe ni wa kijazba zaidi kuliko mantiki! Wabunge wako wamekua wakali kama vile wameibiwa nanihii zao, mali zao za umma! asante kwa kukubali ombi langu uresti in peace!
 
ukweli kitambi kwa mwanamke kinapunguza urembo,,,mazoezi na diet ni muhimu,,,ngoja nifanyie kazi cha kwangu!asante kwa kunikumbusha

jitahid mama. Ukiniangalia mimi utadhani cna tu kids. Mambo ya vitambi ctak ckia kabisa wacha hata kukipa nafas
 
solution

best-abdominal-exercises.gif
jaman wewe ni pm basi ili nkupe shda yangu
naitaj kudwnlod izi clips za mazoez ya tumbo bt siwez....
can u help me...........help me pleeeeeeeeeeeeeeees?
nisaidie jaman....nataka swaga km izo apo juu bt za kuplay sjui u tube niaje nashndwa kuases ful....wil u help me?
i ges yes ....so thak u ma dear brazza!!!!
 
Nipo kwene HOOD natoka MORO nimekaa na dada mmoja ana kitambi ambacho sasa kimekimbilia mbavuni, huko nyuma ndo hakuna kitu kabsaaa! naunga mkono hoja, ngoja asinzie nimfotoe niwaletee foto yake maana si mnataka ze evidence kama Afande Kovu

Aaangalie kisikimbilie kifuani maana itakuwa balaa tupu fotoa haraka
 
Back
Top Bottom