Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Hayanihusu nimekosea njia, ila nadhani sababu ni:
vyakula: wanga mwingi, mafuta mengi, bia kwa saana
Mazoea: kuanagalia tv saana, Facebook, umbea mwingi, kukalia masofa yenye mito mengi kivivu, kutopika/kufua n.k
KUTOFANYA MAZOEZI
 
Jamani kwa nini ongezeko la wanawake wenye vitambi limekuwa kubwa?
Idadi ya wanaume inapungua lakini ya wanawake inaongezeka!
Kitambi kwa mwanamke kinapunguza mvuto au hamlijui hilo nyie wanawake?

1. Msosi hasa nyama choma, kiti moto, bia, chips yai, kuku. Kwa wasiofanya haya ni kutokana na kuzaa pia wengine hawajazaa kabisa ila wanamatumbo makubwa hiyo inatokana na maumbile ya mwanamke nature.
2. Idadi ya mashoga imeongezeka hivo upungufu lazima uonekane na upande wa pili kuonekana imezidi.
3. Tunafaham sana ila kwa tulioolewa wanaume wachache sana wanaruhusu wake zao kwenda gym kupunguza vitambi kutokana na sababu hapo juu kwa ajili ya wivu kutokana na mavazi ya gym na kuwa na mchanganyiko wa wanawake na wanaume kule gym. Ila designers wamewasaidia kinadada wenye shida hiyo kwa kuwaletea nguo za kuficha tumbo na mvuto unakuwa palepale ila usiku ili usione unazima taa kabla ya kuvua nguo na mwiko kuoga pamoja.
NB; waschana wengine baada ya kuzaa wanawanyima watoto haki yao ya kunyonya na kuacha kula kujaza maziwa kwa kuanza kufanya diet, ili wasiharibike shepu na wengine hupata vidonda vya tumbo. Warembo ukipata mwanaume anayekuumiza kichwa juu ya umbo lako huyo hajakupenda ulivo au utakavobadilika utakujaumia hata kutafuta vya wachina kansa yako bibi bora usizaa na ukipu figa-hili ni angalizo langu tuu usinifuate
Sijui nimejibu maswali yako pole kwa kuumia kichwa lol!
 
Swali lilishajibiwa zamani, Wewe umefanya marudio tu
Na wala sijaumia kichwa.......:spy:
 
Dah! You made ma day, nimecheka sana..... kweli ukila hivyo huna namana kitambi kitakufuata tu. Sasa Kigogo mimi sili hivyo, lakini na mimi ni muathirika wa kitambi hebu niambie nifanye nini ili angalau tu nikipunguze

we mtu anakula chapati 3 na uji wa ulezi asubui...saa nne sambusa 4 namilkshake..mchana soseji 3 chipsi na mishkaki 6..jioni akitoka kazini ndo balaa ni kitimoto kilo moja na ndizi 4 anatiririshia na ndovu za baridi 6...halafu ndo arudi home unategea atakosa kitambi huyu....aghhh
 
Dah! You made ma day, nimecheka sana..... kweli ukila hivyo huna namana kitambi kitakufuata tu. Sasa Kigogo mimi sili hivyo, lakini na mimi ni muathirika wa kitambi hebu niambie nifanye nini ili angalau tu nikipunguze

Kula matunda iwe ndo lunch yako!
Mazoezi ya gym muhimu, ukienda huko kuna wataalam..............:hat:
 
  • Thanks
Reactions: ram
Minyama production.jpg
Tunapoelekea sasa.........mama baba wote obase!!
Unamsikia mtu yuko namna hii then anasema haridhishwi na mwenza wake, ni uchizi
 
Wadau nimetonywa na jamaa yangu kuwa kwa wale walioko jijila ARUSHA kuna kikundi kinakutana kila weekend kwa ajili ya kutoa vitambi kwakufanya mazoezi ya viungo kikundi hiki kinaitwa “ KITAMBI NOMA FC CLUB” Hakibagui rika, kabila, dini ama tofauti za itikadiza kisiasa. Wadada Wenye vitambi nendeni mkapige mazoezi kupunguza ama kuondoakabisa vitambi.
Tahadhari:
Nenda na kilichokupeleka (kufanya Mazoezi), Kuna watu waaina tofauti angalia usije potezwa
 
Mi na mashaka na dawa zao za uzazi wa majira na hasa sindando.
 
Carbhydrates,Starch, mafuta mingi, red meat and yees lager thats it
 
Ni kweli uwez tofautisha mwanamke mwenye mimba na kitambi now a day.mdada mzuri ukimcheki anabonge la mkitamb then awe mfupi hatari hapo
 
Jamani kwa nini ongezeko la wanawake wenye vitambi limekuwa kubwa?
Idadi ya wanaume inapungua lakini ya wanawake inaongezeka!
Kitambi kwa mwanamke kinapunguza mvuto au hamlijui hilo nyie wanawake?
Ni hizo dawa za kupunguza makali ya ukimwi zinawanenepesha
 
Dah! You made ma day, nimecheka sana..... kweli ukila hivyo huna namana kitambi kitakufuata tu. Sasa Kigogo mimi sili hivyo, lakini na mimi ni muathirika wa kitambi hebu niambie nifanye nini ili angalau tu nikipunguze
1: punguza kiasi cha chakula unachokulaga siku zote.
2. fat foods acha kabisa,(kiepe, nyama choma,na mengine)
3. kunywa maji mengi sana wakati tumbo likiwa wazi.
4. cardio workouts fanya sana. afu uwe mvumilivu tumbo haliishi ndani ya miezi miwili, it takes time
 
dah!poleni i thank God,kwa umbile langu,japo pamoja na kula hivyo vyakula wala sina hizo problem
 
Jamani kwa nini ongezeko la wanawake wenye vitambi limekuwa kubwa?
Idadi ya wanaume inapungua lakini ya wanawake inaongezeka!
Kitambi kwa mwanamke kinapunguza mvuto au hamlijui hilo nyie wanawake?

wanatoa sana mimba..
 
Back
Top Bottom