Shantel
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 2,018
- 1,132
Ur lucky then, watu huwa wananenepeana sana sababu ya stress wengu hukimbilia kula sanaMh Shantel wenginbe tukiwa na stress hatuli kabisaaaaa! na kilo huwa zinapungua kwa kasi sana.
Ur lucky then, watu huwa wananenepeana sana sababu ya stress wengu hukimbilia kula sanaMh Shantel wenginbe tukiwa na stress hatuli kabisaaaaa! na kilo huwa zinapungua kwa kasi sana.
Duh mama nalia umeua sana hapa, ngoja waje wenyewe hahahahaaaaaduh kama wachaga na wapare and the likes, wakinenepeana lazima utafute nyumba ndogo. Bse wanakuwa v shape n so boring, tumbo mbele yani...
Ina tegemeaRuta,
Mwanaume yeyote mwenye kitambi hawezi kummudu mwanamke kitandani kwa asilimia 100,mwanaume mwenye kitambi akivaa suruali haikai sawa
Ina tegemea
mambo ya michemsho hayo na bia za buree!Siku hizi kuna tabia ambayo si nzuri na siipendi kiukweli,wanawake wengi wanavitambi kitu ambacho kinaharibu shape zao na kuwafanya waonekane hawana mvuto.mbaya zaidi siku hizi hadi mabinti wadogo kabisa nawenyewe wanavitambi kitu ambacho huwaaribia shape zao na kuwafanya ata nguo zisiwakae vizuri.nawaomba wanawake hasa mabinti mjitahidi kufanya mazoezi ya kuondoa vitambi ili mmentain shape
zenu na kuongeza mvuto.hii ni nzuri kwenu na kwa wenzi wenu.ni hayo tu kama nimewakera sorry
mambo ya michemsho hayo na bia za buree!