Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,049
- 7,489
Natembea kilomita moja kwenda home, then nikifika nashighulika na wifi yako ndo nalala!!kiukweli tujifunze kula vizuri maunene sio mazuri kabisa.....ukishakula hivi unafanya mazoezi au ndo unaenda kulala na mashuzi mengi kupitiliza!