nzuri sana..ila ikishashusha hilo tumbo ndo hapo chachaWee mtoto wa kike, nani kakwambia mbuzi, kitimoto na bia ni kitu mbaya?
mhh atapendeza na niniwatu tunatofautiana sana
wengine tuhafurahia mwanamke wako akinenepa
haitusumbui kabisaaaa...
mhh atapendeza na nini
mhhh labda watu tunatofautiana mavazi.....kuna nyingine hazitaki hizo wowowoukinenepa wowowo nguo zote zinakaa au hujui?????
Sasa tule majani kama mbuzi?Asubuhi supu ya ngumi na ndizi moja ya kuchomaMchana ugali wa utumbo na figiriJioni kitu cha paya au supu ya utumbo special....starter, then mbuzi mbavu mbili na ndizi moja ya kukaanga na biya minginzuri sana..ila ikishashusha hilo tumbo ndo hapo chacha
watu tunatofautiana sana
wengine tuhafurahia mwanamke wako akinenepa
haitusumbui kabisaaaa...
usingechangia kwenye hii sredi, ningefanya maandamano ya amani nchi nzima... Unapenda mpaka vitambi eeh???
kiukweli tujifunze kula vizuri maunene sio mazuri kabisa.....ukishakula hivi unafanya mazoezi au ndo unaenda kulala na mashuzi mengi kupitiliza!Sasa tule majani kama mbuzi?Asubuhi supu ya ngumi na ndizi moja ya kuchomaMchana ugali wa utumbo na figiriJioni kitu cha paya au supu ya utumbo special....starter, then mbuzi mbavu mbili na ndizi moja ya kukaanga na biya mingi
kitambi kikizidi sana kuna siku itafika ukitaka kupiga mashine itakubidi ufunge mkanda hicho kitambi ili kibolo chako kitokezee! Yaani sipati picha! Hahahahahaaaaaaaaaakwa wanaumme madhara yake ni yepi.nielemishe kisawasawa.............................................
badala mkipata fedha ndo iwe rahisi kula vizuri nyie ndo mnakula vibaya....
yaani umemaliza kila kitu mpendwa.....watu tunajisahau sana na tunashindwa kujua ni rahisi sana kuzuia maunene kuliko kujipunguza.kula vizuri,fanya mazoezi sio lazima kwenda gym hatakutembea dakika kumi kwa wiki mara tatu ni mazoezi pia na mwisho wa siku utajipenda hasa...Shosti umenikumbusha. Tabia ya kula hovyo haiko bongo peke yake. Nilikuwa naangalia Aljazeera, wanasema sasa hivi nchini Qatar (sijuhi nimepatia spelling) asilimia 16 ya wananchi wake wana diabetis. Walikuwa wanamuhoji daktari mmoja wa hiyo nchi, akasema nchi yao sasa hivi hali ya kipato cha raia imekuwa juu, yani ni matajiri sana. Sasa badala ya kucheki wanachokula watu wanafakamia ma baga ndio maana wananenepeana. Na kibaya zaidi doctor anasema wakiona wamenenepa wanaanza diet ya ku skip breakfast na ku over eat lunch na dinner. Doctor akasema breakfast ni muhimu sana kuliko mlo wowote na haiongezi uzito. So people should have heavy breakfast and light dinner! Kingine alichosema ni kuwa watu hawatembei kabisa wanakula sana afu hawafanyi mazoezi kwani huko kwao ukitembea kw mguu unaonekana kama mtu wa ajabu. Yeye na familia yake wameweza ku ji descipline baada ya kuona uzito waongezeka na wanafanya jogingi regularly.
kitambi cha kawaida sina tabu,sio iwe kama mjamzito...lol
lol....
Kuna kitambi cha kawaida kwa mwanamke?? ...
hivi mtu akishajifungua ndo anatoka kitambi......
nashukuru umesema kujifungua hakuleti kitambi ila ukila hovyo......kama mama nashangaa watu wakishabihisha kitambi na kuzaandio mwanzo
ndo maaana wamama aliojifungua wakila ovyo...
Sio sawa na wadada wanaokula ovyo wasiowahi kubeba mimba
cha kawaida ni kile unapata kwa kula
au kwa kujifungua
kikizidi kuwa kama mimba basi hapo ndo hatari....