Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Kingereza chenyewe ulichotumia hata mtoto wa kindergarten anakielewa sioni hoja unayotaka kuifikisha kwa wasomaji, elewa tunaongelea matumizi sahihi ya kondom, achana na hayo mambo mengi..huwa mnafeli kwa kutoelewa.

Ngoja nikuambie maoni yangu na why nimesema bora
Not applicable to all people
Well let those it is applicable to take note.
 
I'd never judge you. Napenda mwanamke anaejielewa na akaelewa sexuality yake.

You are bold about sex. You know what you want and you are not afraid to get it.

One thing though. Ukimpata unaempenda na mkaendana in terms of future intentions. Settle down. Hawa wenzetu maeneo yao ya siri hayasomagi mileage. Ila sisi bana, you might look 52 down there whilst you are only 28.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
You are against your previous words here,,,You said, "work on your financial affairs first, then find someone"....[emoji2369]

The basis of my argument is the teachings of The Holy Quran.

Abstain from adultery and fornication and fast until God makes your affairs right.
 
Picha iko wapi[emoji2369][emoji2369]
Hizo
20181226_145705.jpeg
 
Hamna kitu sikipendi kama condom... Zinaniumiza haswaa. Ni bora nisigegedane kuliko kutumia hayo madude
Tupo pamoja bimdogo.

Kuna manzi nilimpata naye haya madubwashi ya condom alikuwa hataki kuyasikia.

Moyoni nikasema haya ndio mambo sasa,Kavu kavu ndio Sega la asali.
 
Kweli kabisa... Mbona umenistua... Nimekufananisha na mchepuko wangi, yeye tunpima kila tukikutan yani
dada unanihamasisha nikufate PM hallo!!dah maana mi czipendi zile dude[emoji47][emoji47][emoji47][emoji47]
 
Condom, imeaminika kuwa na uwezo mkubwa wa kumkinga mtu na maambukizi yatokanayo na magonjwa ya Ngono.. lakini kwa Uzoefu wangu,

IDADI KUBWA YA WANAWAKE HATA PALE MNAPOKUTANA SIKU YA KWANZA, WAMEKUWA HAWANA MSISITIZO KWA MWANAUME KUVAA KONDOM. Hii ina maanisha, ni wanawake wachache watakaokataa kufanya mapenzi na Mwanaume kwa kukosa Condom!! Wengj wao husisitiza kuwa Makini na Mimba na sio Magonjwa!!
yes,ni kweli kabisa mkuu. hii kitu ya mazoea na kutazama sura,ndiyo inatuumiza sana kizazi hiki cha nyoka...
ni mara mia wale wauza mbunye kwa wao kauli mbiu ni condom ndiye sex,ila wa huku kwetu mtaani tunaumizana sana.
mchana mwema,naa mkale sasa
 
Tuhabarishe hzo mbinu mkuu
Ukiachana na kumwandaa mwenza, au vilainishi cha msingi epuka michubuko....

Ila zaidi ukishusha mzigo nenda kanawe na sabuni au kama unamkojo kojoa kabisa..... Wengine huwa wanatunza mkojo kabla ya sex.!
 
Back
Top Bottom