Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Mkuu kama bado unaendelea kuchungaza practically!? ukianza kukohoa uje pia utuulize tutakujuza pia.
 
Condom, imeaminika kuwa na uwezo mkubwa wa kumkinga mtu na maambukizi yatokanayo na magonjwa ya Ngono.. lakini kwa Uzoefu wangu,

IDADI KUBWA YA WANAWAKE HATA PALE MNAPOKUTANA SIKU YA KWANZA, WAMEKUWA HAWANA MSISITIZO KWA MWANAUME KUVAA KONDOM. Hii ina maanisha, ni wanawake wachache watakaokataa kufanya mapenzi na Mwanaume kwa kukosa Condom!! Wengj wao husisitiza kuwa Makini na Mimba na sio Magonjwa!!
 
Full stop
IMG-20181213-WA0004.jpeg
 
Kweli kabisa... Mbona umenistua... Nimekufananisha na mchepuko wangi, yeye tunpima kila tukikutan yani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna watu you are so funny so mchepuko wako haku**mb bila kupima, na bwana wako anakula mkavu bila kupima wat if yeye akulete
 
Mi huwa nikivaa tu hayo madude mashine inalala on the spot. Na haisimami hadi nioshe mafuta na sabuni ndo niwe sawa
 
Back
Top Bottom