Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Nilikia napenda rough rider... Nayo ikanichedua. Nimembiwa Durex nzuri sasa sijapata wa kujaribu nae... Nikiata ntaleta mrejesho
I'd never judge you. Napenda mwanamke anaejielewa na akaelewa sexuality yake.

You are bold about sex. You know what you want and you are not afraid to get it.

One thing though. Ukimpata unaempenda na mkaendana in terms of future intentions. Settle down. Hawa wenzetu maeneo yao ya siri hayasomagi mileage. Ila sisi bana, you might look 52 down there whilst you are only 28.
 
All in all lazima tujue UKIMWI upo na ni hatari japo siku hizi watu fulani ktk jamii wasiofikirisha vichwa vyao vizuri wanaiaminisha jamii kwamba huu ugonjwa ni kama malaria tu.

Ukiwa mtu hujaupata utasema hivi ila jiulize ule mchecheto unaoupata unaposubiria majibu ukienda kupima kwa hiyari unatoka wapi then ndo ujikute unao utakuwa ktk hali gani?
 
Why don't you abstain until you set your financial affairs right, you have met someone you really like and you are sure about settling down?
Yani mtu uwe na mchumba na hamu zije usimguse mpaka uwe sawa kifedha, fedha zinatafutwa tu haziwezi zui mambo mengine yakasimama
 
I'd never judge you. Napenda mwanamke anaejielewa na akaelewa sexuality yake.

You are bold about sex. You know what you want and you are not afraid to get it.

One thing though. Ukimpata unaempenda na mkaendana in terms of future intentions. Settle down. Hawa wenzetu maeneo yao ya siri hayasomagi mileage. Ila sisi bana, you might look 52 down there whilst you are only 28.
Asante kwa ushauri... Mie mtulivu mbona... Na hua nasettle down vizuri.
 
Hamna kitu sikipendi kama condom... Zinaniumiza haswaa. Ni bora nisigegedane kuliko kutumia hayo madude
mmmhhhhhh asee kati ya kondo na ......................... kipi kinaumiza
 
I'd never judge you. Napenda mwanamke anaejielewa na akaelewa sexuality yake.

You are bold about sex. You know what you want and you are not afraid to get it.

One thing though. Ukimpata unaempenda na mkaendana in terms of future intentions. Settle down. Hawa wenzetu maeneo yao ya siri hayasomagi mileage. Ila sisi bana, you might look 52 down there whilst you are only 28.
Hahah madame!!!

Tell her.
 
Nimesema hivi, ni bora kusubiri ukaoa kwa kifupi badala ya kuhangaika na zinaa.
Ila hujaandika kumaanisha ndoa au ulichoondika hukijui, sasa kama ukiwazia kufikia ndoa huwezi kufikia hatua hiyo muhimu katka maisha yako kama hujapita huku, i mean ndoa sio kitu cha kujaribu unatakiwa uwe makini na pia ni lazima utapita pita kwa watu fulani fulani nakuonja onja piampaka kufika kwenye ngazi ya ndoa,
 
Kwa kua swala la kutumia ndom bdo kwa wengi wetu ni mtihan basi tujifunze zipo mbinu zinaweza kukuepusha kupata michubuko tujifunze na tuwe makin nazo.......!

Kuna watu wabaish mmoja kaathirika na mwingine ajaathirika ila wanadate na wazaa bila kuambukizana ila ilo ni baada ya kupewa mbinu za kujinasua!
 
Kama mwanamke akikataa kutumia condom...nawe kataa kufanya nae
Akili zetu wanaume hatuwezi kushindana na hisia, chini kukishaamka hata akili haiwezi ingilia maamuzi... So tufike chumbani umeshakaa mkao wa kula halafu umekataa kutumia kondom sidhani kama zoezi litasitishwa ni ngumu kuliko
 
Back
Top Bottom