Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,481
- 2,609
Kaka hizi Durex mbona sizionagi.
Zinapatikana maeneo au maduka ya aje.
Nazihitaji sana. Nisaidie. I love you.
Ya nini sasa..?na tuna aminianaKwanini usitake kutumia condoms
Sasa nimetulia na mtu wangu mmoja nitakuaje chanzo cha maambukizi??
Kwa dem asiye na majimaji inasumbua sana, inakuwa ni karaha, ila kwa mwenye maji afadhali mtelezo unakuwepoHamna kitu sikipendi kama condom... Zinaniumiza haswaa. Ni bora nisigegedane kuliko kutumia hayo madude
Nunueni hizi high quality condoms, acheni hizi za 500TSH
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mama debora una vituko, lov u too, mbona zipo aiseeehhh nenda hata supermarket kubwa zipo.... Kuna mdau kasaidia kuweka picha hapo juuWe mkaka hizo za high quality ndio zikoje.
Mbona mie kila nikienda pharmacy kuagiza condoma napewa hizi salama tu. Saaana labda nitakuta dume. Basi.
Hizo za gharama ndio zinaitwaje, yaan zinauzwa kwenye hizi hizi pharmacy ama???
Na nikifika niseme nataka condom gani ili wanipe hizo.. Bei gani kaka zinauzwa.
Love you so so so much.
Nataka nim suprize baba Debo jaman.
Hapo nimemjibu aliyesema wanawake ndio chanzo cha maambukizi so nimejitetea Mimi km Mimi..Una uhakika gani kuwa na yeye ametulia kama wewe. Ama una assume tu.
Kumbe mzigo unanaufataga mwenyewe?We mkaka hizo za high quality ndio zikoje.
Mbona mie kila nikienda pharmacy kuagiza condoma napewa hizi salama tu. Saaana labda nitakuta dume. Basi.
Hizo za gharama ndio zinaitwaje, yaan zinauzwa kwenye hizi hizi pharmacy ama???
Na nikifika niseme nataka condom gani ili wanipe hizo.. Bei gani kaka zinauzwa.
Love you so so so much.
Nataka nim suprize baba Debo jaman.
Uyo baba debo ni mumeo au..? Km ni mumeo condom ya nini ..Badala yaku m suprise na new styles una m surprise na condom au ndio humuamini??We mkaka hizo za high quality ndio zikoje.
Mbona mie kila nikienda pharmacy kuagiza condoma napewa hizi salama tu. Saaana labda nitakuta dume. Basi.
Hizo za gharama ndio zinaitwaje, yaan zinauzwa kwenye hizi hizi pharmacy ama???
Na nikifika niseme nataka condom gani ili wanipe hizo.. Bei gani kaka zinauzwa.
Love you so so so much.
Nataka nim suprize baba Debo jaman.
We mkaka hizo za high quality ndio zikoje.
Mbona mie kila nikienda pharmacy kuagiza condoma napewa hizi salama tu. Saaana labda nitakuta dume. Basi.
Hizo za gharama ndio zinaitwaje, yaan zinauzwa kwenye hizi hizi pharmacy ama???
Na nikifika niseme nataka condom gani ili wanipe hizo.. Bei gani kaka zinauzwa.
Love you so so so much.
Nataka nim suprize baba Debo jaman.
Njoo PMHamna kitu sikipendi kama condom... Zinaniumiza haswaa. Ni bora nisigegedane kuliko kutumia hayo madude
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uyo baba debo ni mumeo au..? Km ni mumeo condom ya nini ..Badala yaku m suprise na new styles una m surprise na condom au ndio humuamini??
Mi dem akiniambia eti tupime kwanza nakosa uaminifu kwake, inaweza onyesha negative kumbe iko kwenye kipindi virusi havijasambaa kuonekana(window period) akawa anapigwa kavu kisa kamuamini kumbe wadudu wanasambaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna watu you are so funny so mchepuko wako haku**mb bila kupima, na bwana wako anakula mkavu bila kupima wat if yeye akulete
Mi huwa nikivaa tu hayo madude mashine inalala on the spot. Na haisimami hadi nioshe mafuta na sabuni ndo niwe sawa
Ni zipi izo mkuu? Mm Nina allergy na latex je naweza pata latex free condoms?Nunueni hizi high quality condoms, acheni hizi za 500TSH
Nenda supermarketNi zipi izo mkuu? Mm Nina allergy na latex je naweza pata latex free condoms?
Unaujua uzuri eti eeeh!! Ok cjajui unaishi wapi, but nenda supermarket kubwa, au maduka ya dawa makubwa sio hivyo vya uswaziKaka hizi Durex mbona sizionagi.
Zinapatikana maeneo au maduka ya aje.
Nazihitaji sana. Nisaidie. I love you.
Badala yaku m suprise na new styles una m surprise na condom au ndio humuamini??