dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,151
Ni kwa sababu unakomaa na mademu KCC (kima cha chini)
Jaribu wa next level then utakuja na mrejesho.
Hamna mwanamke next level wanawake wanaigiza mkuu. Mwanamke ukiona anajifanya next level ujue ni biashara au 1st approach yako ndio imekuponza ukijifanya matawi anakutreat hivyo hivyo. Hakikukubali utakua unaringa wewe. Kuna unawaona wewe matawi kuna vidume vimetuliwa vinabembelezwa hili kidume kipige game . Jiongeze usikubali drama