Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Waungwana wote humu ndani mtakuwa ni mashahidi.

Kwa wale wanaopenda totozi mtaelewa maana ya ninachoongelea hapa na mtaungana na mimi.Kwa wale ambao mbunye kwenu ni kitu adimu basi naamini hatutaelewana.

Jamani tangu nianze kufanya mapenzi hadi leo nimelala na wanawake wengi sana na nina watoto watatu wa mama tofauti,ila sijaoa na sifikirii kuoa katika wanawake hao wengi niliopakuana nao kwa kweli ni watatu tu ndio walioweka mkazo wa kondomu na walikaza haswa.

Wengine wote huwa hata kukumbushia hakuna wala nini.sasa waungwana najiuliza hivi ni kwa nini wanawake wengi hawapendi kuliwa pipi zao na maganda?Yaani unakuta demu unamvua hadi chupi ila hasemi kitu kuhusu kondomu,hadi unampanda ila kimya tu.

Sasa najiuliza sana hii kitu ni kwanini hawa dada zetu hawapendi kondomu? Tena mwingine ukimng'ata na kondomu basi ujue siku nyingine haji tena na wengine ukimwambia tutumie kinga,huwa wanalalamika eti zinawawasha.
Kosa la marehemu kaka
Hukuvaa kondomu
Kosa la marehemu mjomba
Hukuvaa kondomu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ni kwa sababu unakomaa na mademu KCC (kima cha chini)
Jaribu wa next level then utakuja na mrejesho.
 
ivi uwaga zipo za KE zinauzwa wapi??? bei gani??? alafu ukienda dukan unasemaje??? make utasema ndomu ukifika hom ukikuta ni ya ME Je???? (usiniquote ewe mzinzi kwa kunitusi au kejeli mi sio mzinzi mwenzio ni swali tu kwa faida ya wote wasiojua),.
We sio mzinzi eee?
 
Back
Top Bottom