Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Mkuu nilimpima mbele yangu majibu yake yalikua fresh mm tu ndo sikupima condom lazma nitumie sema bado naogopaga kupima ukimw ndo maana mara ya kwanza nikahairisha mech kisa peku peku
Hapo ulifanya ubinafsi! Yaani ulikuwa tayari wewe kumwambukiza ngoma kuliko yeye kukupa wewe ngoma! Hii ndio sababu ya ngoma inaendelea kuwa shida.
 
Waungwana wote humu ndani mtakuwa ni mashahidi.

Kwa wale wanaopenda totozi mtaelewa maana ya ninachoongelea hapa na mtaungana na mimi.Kwa wale ambao mbunye kwenu ni kitu adimu basi naamini hatutaelewana.

Jamani tangu nianze kufanya mapenzi hadi leo nimelala na wanawake wengi sana na nina watoto watatu wa mama tofauti,ila sijaoa na sifikirii kuoa katika wanawake hao wengi niliopakuana nao kwa kweli ni watatu tu ndio walioweka mkazo wa kondomu na walikaza haswa.

Wengine wote huwa hata kukumbushia hakuna wala nini.sasa waungwana najiuliza hivi ni kwa nini wanawake wengi hawapendi kuliwa pipi zao na maganda?Yaani unakuta demu unamvua hadi chupi ila hasemi kitu kuhusu kondomu,hadi unampanda ila kimya tu.

Sasa najiuliza sana hii kitu ni kwanini hawa dada zetu hawapendi kondomu? Tena mwingine ukimng'ata na kondomu basi ujue siku nyingine haji tena na wengine ukimwambia tutumie kinga,huwa wanalalamika eti zinawawasha.
Kweli mkuu, me kuna kabinti nilimwambia tupakuane na kundom kuogopa kumpa mimba basi alimaindi kinouma na kuniuliza "kwa nn uniamini, umesikia me nina UKIMWI..?"
Duh.. basi sikuwa na namna nikamwambia haya binti nipe mzigo niupakuwe
 
Ujanja vuta subira kapime kula kitu kavu kavu, na nilifanya maamuzi baada ya kugundua kuwa wanaume wengi wanaopenda kutumia condom ni malaya a.k.a viwembe ikabidi nitoke kwenye group la kiwembe na njia pekee nilochagua ni kula nyama kwa nyama baada ya kupima
Mimba je
 
Mpaka nikioa ndo ntakula kavu aisseh .... Mbona na ndom raha IPO tu au ...
 
Waungwana wote humu ndani mtakuwa ni mashahidi.

Kwa wale wanaopenda totozi mtaelewa maana ya ninachoongelea hapa na mtaungana na mimi.Kwa wale ambao mbunye kwenu ni kitu adimu basi naamini hatutaelewana.

Jamani tangu nianze kufanya mapenzi hadi leo nimelala na wanawake wengi sana na nina watoto watatu wa mama tofauti,ila sijaoa na sifikirii kuoa katika wanawake hao wengi niliopakuana nao kwa kweli ni watatu tu ndio walioweka mkazo wa kondomu na walikaza haswa.

Wengine wote huwa hata kukumbushia hakuna wala nini.sasa waungwana najiuliza hivi ni kwa nini wanawake wengi hawapendi kuliwa pipi zao na maganda?Yaani unakuta demu unamvua hadi chupi ila hasemi kitu kuhusu kondomu,hadi unampanda ila kimya tu.

Sasa najiuliza sana hii kitu ni kwanini hawa dada zetu hawapendi kondomu? Tena mwingine ukimng'ata na kondomu basi ujue siku nyingine haji tena na wengine ukimwambia tutumie kinga,huwa wanalalamika eti zinawawasha.
Mkuu, kwani umeshaanza kuandika vitabu vya mapenzi? Kama bado fanya ivo...
 
Kweli mkuu, me kuna kabinti nilimwambia tupakuane na kundom kuogopa kumpa mimba basi alimaindi kinouma na kuniuliza "kwa nn uniamini, umesikia me nina UKIMWI..?"
Duh.. basi sikuwa na namna nikamwambia haya binti nipe mzigo niupakuwe
Ana akili sana huyo,kutumia condom maana yake huyo humuamini,sasa kama humuamini unasex nae wa nini?
 
Mkuu nilimpima mbele yangu majibu yake yalikua fresh mm tu ndo sikupima condom lazma nitumie sema bado naogopaga kupima ukimw ndo maana mara ya kwanza nikahairisha mech kisa peku peku

Kumbuka kuna kitu kinaitwa "Window Period" Tutakupoteza ndugu yangu,endelea kujitia ushujaa
 
Back
Top Bottom