Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Huogopi kusema umelala na Wanawake wengi bila kinga? kapime afya mara moja.
 
Naku
we achana na hizo za SALAMA
mwambie kidumu wako atumie hii itakutekenyesha vizuri itakukuna vizuri. na inausalama 100%
hii al
images



Nakubaliana na wewe SALAMA ni ugonjwa fungus yake sio ya nchi hii khaa
b
 
Wakavu ndo hawapendi kutumia. Pia wenye moyo wa chuma ukiwaza tu kuwa ukimwi hauna dawa loh si bora utumie mfuko wa sukari!
are those your legs? if yes, u r lucky!
 
Ebhana unavowaelezea ,,utadhani wewe ndio unaekutwa na hali hiyo
Hahahaaaaa!
Ni kuwajengea mazingira ya kuwa wazi na comfortable kushea yanayowasibu. Wao ndio husema hivyo, sio maneno yangu..

Wanasema, IF YOU WANT TO CONQUER THE BEAST, YOU HAVE TO KNOW ITS PSYCHOLOGY FIRST.
 
Kwa majanga yaliyonikuta mm sasa hv yaani ntavaa hadi mifuko ya rambo dadeki mbaya zaidi namtibu dem wang bila yeye kujua anaumwa nn ila me nishajua
 
sio kweli bana mbona mimi mademu zangu wale tunaowakuta maeneo yetu huwa wananiambia bila kinga hawaki
 
Back
Top Bottom